Mkutano wa Lowassa Arusha Mjini Oktoba 8, 2015

Mkutano wa Lowassa Arusha Mjini Oktoba 8, 2015

Katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Sinoni, Kata ya Sinoni!

Jemedari Kamanda Mpambanaji (Mussa wa Tanzania) Edward Lowassa atahutubia maelfu ya wapiga Kura Arusha ....wafanyabiashara mama ntilie bodaboda kesho ndiyo kesho .....

Angalizo ; hakutakuwa na Fiesta bali ni hoja na sera tu kuelekea Tanzania mpyaa kesho kutwa

Karibuni sana

Mungu ibariki UKAWA Mungu ibariki Tanzania


Where? Shule ya sekondari ya Sino what? Kwa nini asiende Sheikh Amri Abedi? Au Mbauda mnadani? Au Sanawari? Wanataka wazimie tena! WM
 
Jemedari Kamanda Mpambanaji (Mussa wa TZ).
Haya maneno sio saizi yake Mzee Lowasa. Enzi zake Dkt. Slaa alithubutu hata kukabiliana na polisi na mabomu yao ya machozi katika upambanaji ila sio huyu anaeshindwa hata kutembea kwa amani robo kilomita.
 
Magufuli nilimsikia jana kwenye mkutano wake Arusha kuwa anawataka wagombea ubunge na waliokuwa wakirudisha kadi za CUF na CHADEMA, wasiendelee kujieleza kwani anataka kuwapisha wasanii jukwaani ili kutimiza malengo ya waliowengi.

Ina maana nyomi zile huwa zinalenga kupata burudani ya bure, wala sio kusikiliza sera za ccm.

Mabadiliko ni lazima.

Duuu!! Kumbe huwa show wanasubiria hadi wamalize kuhadaa watu ndo linapigwa ili watu wasiwakimbie!!!
 
....

....pesa tulizo piga jana ndo najazia mafuta Subaru mwamwayee full tank wajinga ndo waliwao Lowasssaaa!!!
 
Katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Sinoni, Kata ya Sinoni!

Jemedari Kamanda Mpambanaji (Mussa wa Tanzania) Edward Lowassa atahutubia maelfu ya wapiga Kura Arusha wafanyabiashara mama ntilie bodaboda kesho ndiyo kesho .

Angalizo: Hakutakuwa na Fiesta bali ni hoja na sera tu kuelekea Tanzania mpyaa kesho kutwa

Karibuni sana

Mungu ibariki UKAWA Mungu ibariki Tanzania

Wa kutoa sera ni nani?Yule yule au mmeazima.Kuvuta watu kisayansı nı murwa zaidi kuliko kuvuta watu kwa uchawi na ushrikina.Moja ya kazi ya sanaa ya mziki nı kuhamasısha.Mwambıe Edo amrudıe Mungu,aache kuabudu mizımu ya Gwajima Tb Josh.
 
Back
Top Bottom