View attachment 244933
Hapo vipi?......
Wacha kushindanisha usingizi na kifo..
Uliona wapi mtu mmoja akashindana na taasisi!!?
View attachment 244933
Hapo vipi?......
Teh teh teh ....Kiingereza tena?Endeleni kujidanganya our program is big
Hiyo dressing code YA Mnyika ni kibooooko.CDM tengenezeni mashati YA kutosha jamani Hata mimi nitanunua.HAkika mmejiandaa kukaa magogoniPicha mbali mbali ya mkutano wa kamanda John Mnyika Musoma mjini hii Leo.
![]()
Tunasonga mbele pamoja, kwenda kushinda dola na kuongoza serikali. Serikali ni watu. Watu wetu ni hawa...mabadiliko ya kweli, uhuru wa kweli...
View attachment 244963
msalani huyu Prof.Muhongo yuko wapi
Ngosha MakwiMikutano Kama Hii Binafsi Huwa Hainiflahishi Sana Napendelea Ile Mikutano Ya Kuwajengea Uwezo Viongozi Ili Kuweka Misingi Imala Wakati Wa Uchaguzi Maana Hawa Viongoz Ngazi Za Chini Hata Baada Ya Mkutano Wao Hubaki Kuwa Mabalozi Wazuli
anasilimishwa ili akagombee Urais.
Hivi bado kuna Chadema Kanda ya Ziwa?
Huwa nakwambia acha unafiki?
Mbunge wa Nyamagana, Ilemela na Musoma mjini minus Shibuda ni wa wapi?
Tatzo la ACT ni mnategemea mtu mmoja kunadi chama! Kitu ambacho ni kigumu mno October. Make leo CCM maskioni mwa raia, kesho ACT maskioni mwa raia, kesho kutwa Mfano, CDM/UKAWA.
CDM wanauwezo wa kumtuma kijana mdogo tu mfano MAWAZO, J.HECHE, H.MDEE, SUGU, WENJE, V.NYERERE, T.LISSU, MKOSAMALI, MACHEMLI, MACHALI, SILINDE, nk watu wakaa kati.
Tofauti na ACT inayo mnadi mtu binafsi. Atatua hapa leo, kesho CDM wanarudipo na kufuta nyao zake.
Cha mhimu kwa CDM/ UKAWA ni kusoma tu ratiba za ACT na kuwa acha watangulie wiki nzima kila mahala na nyie kumtokea nyuma hasa kwa nyakati hizi.
ONYO: Kwa mwezi wa October msiwaruhusu ACT wawatangulie jimbo lolote, ukijumlisha na harakati na mbunge pendekezwa kutoka UKAWA kila kukicha matokeo yake hata ZZK Ubunge atapumlia mashine!
Wacha kushindanisha usingizi na kifo..
Uliona wapi mtu mmoja akashindana na taasisi!!?
Tuliza pressure dawa iingie,mwaka huu na saccos yenu ya wachaga ndo mwisho kutafuna ruzuku,Kafulila alishasema laana ya ubaguzi na udini itatafuna saccos yenu na wakati ndo huu
Picha mbali mbali ya mkutano wa kamanda John Mnyika Musoma mjini hii Leo.
![]()
hapa hamsemi kama wameenda kushangaa
hivi bado kuna chadema kanda ya ziwa?
kwa hiyo maneno maneno ya nini sasa kwa nini kila mtu asikae akafanya yake huoni km tutakua tumefanya la maana
hapo vipi?......
huyu jamaa anamfanya mbowe alale saa 1 kamili,na amemfanya babu slaa kuamia marekani,mwaka huu saccos ya wachaga ndo mwisho kutafuna ruzuku