Mkutano wa John Mnyika Musoma mjini Leo!

Mkutano wa John Mnyika Musoma mjini Leo!

Siku hizi habari za magamba zimetoweka kabisaa. Ama ndio wamehamia timu act
 
Huwa nakwambia acha unafiki?

Mbunge wa Nyamagana, Ilemela na Musoma mjini minus Shibuda ni wa wapi?

Tatzo la ACT ni mnategemea mtu mmoja kunadi chama! Kitu ambacho ni kigumu mno October. Make leo CCM maskioni mwa raia, kesho ACT maskioni mwa raia, kesho kutwa Mfano, CDM/UKAWA.

CDM wanauwezo wa kumtuma kijana mdogo tu mfano MAWAZO, J.HECHE, H.MDEE, SUGU, WENJE, V.NYERERE, T.LISSU, MKOSAMALI, MACHEMLI, MACHALI, SILINDE, nk watu wakaa kati.

Tofauti na ACT inayo mnadi mtu binafsi. Atatua hapa leo, kesho CDM wanarudipo na kufuta nyao zake.

Cha mhimu kwa CDM/ UKAWA ni kusoma tu ratiba za ACT na kuwa acha watangulie wiki nzima kila mahala na nyie kumtokea nyuma hasa kwa nyakati hizi.
ONYO: Kwa mwezi wa October msiwaruhusu ACT wawatangulie jimbo lolote, ukijumlisha na harakati na mbunge pendekezwa kutoka UKAWA kila kukicha matokeo yake hata ZZK Ubunge atapumlia mashine!

Mkuu, hao umewataja ni watu wakubwa saana. Ukiwatoa wagombea udiwani watatu kutoka wilaya au mkoa mmoja wanaweza kutosha kufuta ujinga wa ZZK MIKOA YOTE.
 
tuliza pressure dawa iingie,mwaka huu na saccos yenu ya wachaga ndo mwisho kutafuna ruzuku,kafulila alishasema laana ya ubaguzi na udini itatafuna saccos yenu na wakati ndo huu

act haiwezi kusonga mbele kwa siasa za udini, ukanda na ukabila. Hicho chama hivi kina wachaga? Wanajisikiaje mnapowaponda? Hii saccos ya zitto hela inapata wapi?
 
Hivi jamani mikutano ya CCM imeishia wapi, au zaidi ya Kinana hakuna mikutano mingine inayoendelea. Maana sioni picha zao kabisa
 
Picha mbali mbali ya mkutano wa kamanda John Mnyika Musoma mjini hii Leo.

attachment.php
safi sana , tutahakikisha magamba na vikaragosi vyake vinatokomea kabisa nchi hii .
 
Act wazalendo ndiyo chama cha ukombozi.

Chadema waachien wenyewe wachaga
 
Act wazalendo ndiyo chama cha ukombozi.

Chadema waachien wenyewe wachaga

Mzee Moyo muasisi wa vijana ASP na mmoja wa waandishi wa katiba ya kwanza ya Tanzania kafukuzwa uanachama ccm, mbona hulizungumzii hili? Huu nao ni udini na ukabila au? Maana ccm bara hata wafanye nini hawafukuzwi! Mzungumze na ya kwenu basi sio CDM tu.
 
hivi haka kajamaa kana nini mpaka kanavuta watu wengi hivi kwenye mikutano yake ...inaonekana ana nyota ya samaki maana naskia watu wenye nyota hiyo wana mvuto kawaida ya kuvutia watu...halafu cha kustaajabisha watu wote kwenye mikutano yake wanaonyesha mwitikio mkubwa sana .......mnyika punguza aisee lumumba hapakaliki kwa sasa viti vyote vimoto......mwenye zile picha anaweza kujazia nyama hii thread
 
Hata wewe jibaba unavutiwa na bwanamdogo?
Hebu thubutu kisema hayo maneno kwa kamanda Lema
 
Taarifa na takwimu rasmi (sio za magumashi) tena zilizo wazi kabisa hata kwa mtoto mdogo, Mnyika ndiye Mbunge anayeongoza kwa kuchangia na kutoa hoja zenye mashiko Bungeni na hata nje ya Bunge kwa sasa. Hakuna cha ushirikina (nyota) hapo kaka.
 
Back
Top Bottom