Mkutano wa John Mnyika Musoma mjini Leo!

Mkutano wa John Mnyika Musoma mjini Leo!

Well said mkuu watakuwa mara kesho ndio maana CCM itatawala nchi hii milele kwa upinzani ulivyo


Jamaa anatumika vibaya, lakini naamini Tutashinda! Ondoa shaka [MENTION]measkron
[/MENTION]
 
attachment.php


Chadema kazini...tunazungumzia masuala ya watu. Tunakutana na wananchi. Kazi hii imefanyika kwa miaka mfululizo...sasa wananchi wanaandaliwa kwenda kufanya mabadiliko na kuweka madarakani uongozi mpya.
 
picha bila maelezo ni danganya toto, tuwekee hapa hoja alizotoa leo zenye maslahi kwa wana musoma
 
Tunasonga mbele pamoja, kwenda kushinda dola na kuongoza serikali. Serikali ni watu. Watu wetu ni hawa...mabadiliko ya kweli, uhuru wa kweli...
 

Attachments

  • IMG-20150419-WA0008.jpg
    IMG-20150419-WA0008.jpg
    139.9 KB · Views: 727
  • IMG-20150419-WA0009.jpg
    IMG-20150419-WA0009.jpg
    136.6 KB · Views: 1,224
Wananchi wakizuia gari ili watembee na kiongozi wao kuelekea 'nyumbani'. Jitihada za polisi kutaka kuweka kiwingu kutaka kuvuruga hali ya hewa hakikufua dafu na maandamano ya kumsindikiza kiongozi yakafanyika kwa amani na utulivu kabisa.

attachment.php
 
jamaa anatumika vibaya, lakini naamini tutashinda! Ondoa shaka measkron

kamanda lakini usisahau kuwa tulimfukuza wenyewe, haya ndo matokeo yake, tuombe tu mungu
 
CHADEMA mmetukana mmedharaulika kwa kuhamasisha maandamano hamna sera? aina ya siasa yenu ni siasa ya ukombozi je mnakomboa nini??? sera safi hukifikisha chama madarakani je! wao wanasubiri lini?
 
Back
Top Bottom