Lekakui
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,451
- 590
Siri yake ni moja tu,anautumia ubongo wake vizuri,kwa kusoma na kujifunza mambo mengi,sio mvivu kama tulivyo wengine humu jumvini,tumemaliza madegree,maphd,lakini vyote tumefungia makabatini na hatujishughulishi tena hata kusoma na kuongeza ujuzi,so ndo silka yetu watz