Sasa Ccm wanatakiwa wajue karata waliyocheza ni magarasha maana wanaohudhuria mikutano ya ACT ni wana Ccm. Chadema hawaja poteza wapenzi wao. Tqende Chadema!!! Hakuna kulala hakuna kula hadi kieleweke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.