Mkutano wa John Mnyika Musoma mjini Leo!

Mkutano wa John Mnyika Musoma mjini Leo!

haya kijana mwenzie huyo aliyeko kwenye taasisi sio kikundi Gazeti mtanzania linakwambia Zitto ataiumiza CCM zaidi kwa gia ya kuiua CHADEMA
 
Uzinduzi wa Mafunzo ya Viongozi wa Mkoa wa Mara unaoendelea sasahivi Musoma.

11062633_10152678861910957_3077776768722207590_n.jpg
 
wanamara bhana, mmeamua kubadilika. its ok. ila mabadiliko yawe ktk nafsi,roho na mwili. mungu awajalie hitaji la mioyo yenu.pamoja sana.
 
Sitashangaa kuona ACT imeenda msoma kesho!
 
Huyu mnyika√√√

kaona mambo yanakaribia kaanza kupambana mapeema√√√
 
Hapa hamsemi kama wameenda kushangaa

Waambieni Viongoz wenu wamwambie naibu katibu bara aitishe Mkutano songea Mjini bila kumshirikisha ZZK . Hio ndio CDM. hata ww hapo ulipo ukitangaza mkutano wa Cdm unapata shazi balaaa. Ndio maana katibu mkuu yupo Marekani anajua Vjana wanasambaza Elimu.
 
Kwa hiyo maneno maneno ya nini sasa kwa nini kila mtu asikae akafanya yake huoni km tutakua tumefanya la maana
 
Back
Top Bottom