Mkutano wa JK na Wazee wa Darisalama: Dana Dana Inaendelea!. Sasa ni J3!.

Moma2k, ukubwa dawa!, hawa ni Wazee wa Busara!. Thamani yao ni hekima zao!

Mkuu Pasco nakubaliana kabisa na wewe,ila tatizo ni kua,rais atakapo ongea nao,wao wazee hawatakua na nafasi ya kuweza kumpa busara na hekima zao rais,maana itakua ni kama wao wanasikiliza tu hotuba ya rais bila kuchangia lolote,sina uhakika sana ila if im wrong nisahihishe,pili hao wazee wanaoudhuriaga hiyo kitu wengi wao wanakua ni wenye mrengo wa chama fulani,na mbaya zaidi inaonekana hata kinachowapelekaga hawakajihi!
 
Sasa inaonekana hili halimaliziki bila mabadiliko makubwa ya baraza la mawaziri which in essence will be purely cosmetic in nature.
Mzee Mwanakijiji, nilipokusoma asubuhi, nikajisemea kimoyomoyo, "ingekuwa JK ana intellect ya kusoma ulichoandika, leo hatazungumza kwanza na Wazee bali kuzitathmini kwa kina hoja kama zile!". Nliposikia mkutano umeahirishwa, nikaelewa, sasa kazi ni kesho kina Uliomboka waliolainishwa, kuwa convince wenzao, ugomo umalizike unconditional!. Subirini, mtaniambia!.
 
kupata ushauri kwa wadau mbalimbali ni muhimu sana ili kufikia suluhisho la kila upande kuridhika na muafaka lakini pia tukumbuke kwamba baada ya kutoka Ikulu viongozi wa madaktari wanatakiwa kuwa na kikao na wenzao ili kujadili yaliyojiri Ikulu na kutoa maazimio mapya.

Rais yuko sahihi kungoja majibu ya madaktari kabla hajasonga mbele kukutana na wazee.
 
Mkuu Pasco nakubaliana kabisa na wewe,ila tatizo ni kua,rais atakapo ongea nao,wao wazee hawatakua na nafasi ya kuweza kumpa busara na hekima zao rais,maana itakua ni kama wao wanasikiliza tu hotuba ya rais bila kuchangia lolote,sina uhakika sana ila if im wrong nisahihishe,pili hao wazee wanaoudhuriaga hiyo kitu wengi wao wanakua ni wenye mrengo wa chama fulani,na mbaya zaidi inaonekana hata kinachowapelekaga hawakajihi!
Mkuu 1800, JK anapenda sifa, hivyo role ya hao wazee sio kumpa ushauri wala kujadiliana nao lolote, bali kutangaza maamuzi magumu, na kitendo cha kuwaita wazee ni justification kuwa maamuzi hayo yamepata baraka za wazee, na kama sio ule wa Mzee Mwanakijiji, JK akapiga nyundo ya kufa mtu na madokta cha moto wangekipata!. Role ya wale wazee ilikuwa ni kupiga tuu na makofi na kushangilia, ndicho jk alichokitaka mwanzo!. Sasa amechange mind, amewaita madaktari, amezungumza nao, kawaambia wakawaambie wenzao walichokubaliana. Kesho kina Ulimboka watakutana na kuelezena na kuna statement itatolewa!. By now mgomo umeishakwisha, JK ndio shujaa!.
 
mi nadhani tunakosea tukiita mkutano; mkutano unakuwa na mwenyekiti na wajumbe alafu unakuwa na agenda
baada ya kikao kufunguliwa agenda moja baada ya nyingine zitajadiliwa na wajumbe wote wakikao na ku fikia uamuzi au maazimio.
kwa uzoefu naona kama yeyea takuwa anapresent paper aliloandaliwa na wajumbe hawatakuwa na muda kuhoji wala kufanya maamuzi yoyote.
mwache aimalize ccm yake bila kujua
 
Akina Ulimboka hawakwenda na agenda binafsi Ikulu bali walibeba agenda za madaktari wote suala la kusema watalainika wakifika Ikulu halipo wala suala la kusema Rais atawalainisha halipo muafaka hautafuti mshindi unatafuta suluhu kwa maslahi yetu wote na hasa ya wagonjwa waliopo hospitali katika kipindi hiki cha mgomo na wale watakaougua kabla muafaka haujapatikana.
 
Mkuu 1800, JK anapenda sifa, hivyo role ya hao wazee sio kumpa ushauri wala kujadiliana nao lolote, bali kutangaza maamuzi magumu, na kitendo cha kuwaita wazee ni justification kuwa maamuzi hayo yamepata baraka za wazee, na kama sio ule wa Mzee Mwanakijiji, JK akapiga nyundo ya kufa mtu na madokta cha moto wangekipata!. Role ya wale wazee ilikuwa ni kupiga tuu na makofi na kushangilia, ndicho jk alichokitaka mwanzo!. Sasa amechange mind, amewaita madaktari, amezungumza nao, kawaambia wakawaambie wenzao walichokubaliana. Kesho kina Ulimboka watakutana na kuelezena na kuna statement itatolewa!. By now mgomo umeishakwisha, JK ndio shujaa!.

Pasco,

haufai kuwa mwenyekiti wa kusuluhisha migogoro. Mgogoro unapofikia mwisho baada ya juhudi za upatanishi maneno kama upande fulani umeshinda, kundi moja ni shujaa ni ya uchochezi. wote watakuwa wameshinda na wote ni mashujaa. Kundi moja likijitoa kwenye mazungumzo hatapatikana shujaa wala mshindi. Tuwape support watoke kwenye mazungumzo na kauli moja ya ushindi.
 
akina ulimboka hawakwenda na agenda binafsi ikulu bali walibeba agenda za madaktari wote suala la kusema watalainika wakifika ikulu halipo wala suala la kusema rais atawalainisha halipo muafaka hautafuti mshindi unatafuta suluhu kwa maslahi yetu wote na hasa ya wagonjwa waliopo hospitali katika kipindi hiki cha mgomo na wale watakaougua kabla muafaka haujapatikana.

pamoja na kuwa ulikuwa ukitoa kauli za mayzi kwa ma drs,kwa hii post umenifurahisha madam!
 
Kuna rafiki yangu daktari pale Amana ameni txt kuwa Jk kawasoundisha kina Ulimboka na wameingialine na kukubali kusitisha mgomo bila masharti yoyote. Madai yao yatashughulikiwa na jk, na kupitia waziri wa afya Dr. Mponda atatoa mrejesho baada ya miezi 6.

Jk kaairisha kukutana na wazee wa darisalama kesho ili asubiri feedback toka kwa madaktari. Jumatatu ndo atafunguka na kutema biti zito pale Diamond kuwa kwa yeyote yule atakaye sababisha nchi isitawalike atakiona cha mtema kuni. Na kwa kuwa amekuwa akitii utawala wa sheria kwa kipindi chote cha miaka 7 ya urais wake kw kuwa mpole na kuruhusu vyama vya siasa, asasi za kiraia, makundi ya kitaaluma, vyama vya wafanyakazi na raia mmoja mmoja kuwa huru kuelezea hisia zao sasa atabadilika na kuwa mbogo aliyejeruhiwa kwa kuto entertain upuuzi.
 
Pasco na wewe bana,

Jana umetoa maneno kuwa Kikwete atawawashia moto leo Madokta.

Sasa mambo yamebadilika na mtu kabadili mchezo ingawa bado unamwita shujaa.

Ninavyofahamu mimi, Ulimboka hana mamlaka ya kuanzisha au kusimamisha mgomo zaidi ya kuitisha mkutano.

Kama kuna kitu wameongea, basi Ulimboka na kundi lake nina imani wamefanya kama ilivyokuwa na Pinda. Wamewaita wenzao/watawaita wenzao na kujadiliana na mwisho watamrudishia jibu Rais kama wanakubaliana au lahh.

Hili la kuja hapa na kumpandikiza maneno/action Ulimboka na viongozi wenzake ambalo hata hamna uhakika kama ilikuwa hivyo, naona mnapishana na ukweli. Kwa nini kuwa na haraka wa swala ambalo hamna uhakika nalo?

Tusubiri maneno ya Kikwete au Viongozi wa Madaktari ambayo ndiyo yatamaliza mzizi wa fitina. Mengine haya ni zile story za Kuruta wamefungwa Lupango (jela JKT) na wakisikia kishindo nje wanaambizana "Huyo atakuwa Afande Magwega."
 
ulimboka ana sharti moja! pinda afute kauli dhidi yake, hapo ndo ugumu unaanzia. kinyume chake hiyo ni hoja tosha bungeni kwenye maswali ya papo kwa papo. pinda lazima alie tena ukizingatia majibu kutoka kwa makinda kwenye ushahidi wa pinda kulidanganya bunge, joshua ataanza na pinda kulidanganya na kulitia hofu taifa ya kuwa tunatibiwa na eti kina ulimboka ambao si madaktari. kwa ufupi serikali yetu haijitambui, fahamu zitaanza kuja 2014.
 
Pasco na wewe bana,

Jana umetoa maneno kuwa Kikwete atawawashia moto leo Madokta.

Sasa mambo yamebadilika na mtu kabadili mchezo ingawa bado unamwita shujaa.

Ninavyofahamu mimi, Ulimboka hana mamlaka ya kuanzisha au kusimamisha mgomo zaidi ya kuitisha mkutano.

Kama kuna kitu wameongea, basi Ulimboka na kundi lake nina imani wamefanya kama ilivyokuwa na Pinda. Wamewaita wenzao/watawaita wenzao na kujadiliana na mwisho watamrudishia jibu Rais kama wanakubaliana au lahh.

Hili la kuja hapa na kumpandikiza maneno/action Ulimboka na viongozi wenzake ambalo hata hamna uhakika kama ilikuwa hivyo, naona mnapishana na ukweli. Kwa nini kuwa na haraka wa swala ambalo hamna uhakika nalo?

Tusubiri maneno ya Kikwete au Viongozi wa Madaktari ambayo ndiyo yatamaliza mzizi wa fitina. Mengine haya ni zile story za Kuruta wamefungwa Lupango (jela JKT) na wakisikia kishindo nje wanaambizana "Huyo atakuwa Afande Magwega."
huyo ni pasco mzee wa dana dana...kesho atakuja na kauli nyingine tena...!
 
Mzee Mwanakijiji, nilipokusoma asubuhi, nikajisemea kimoyomoyo, "ingekuwa JK ana intellect ya kusoma ulichoandika, leo hatazungumza kwanza na Wazee bali kuzitathmini kwa kina hoja kama zile!". Nliposikia mkutano umeahirishwa, nikaelewa, sasa kazi ni kesho kina Uliomboka waliolainishwa, kuwa convince wenzao, ugomo umalizike unconditional!. Subirini, mtaniambia!.

Mgomo hauwezi na haupaswi kumalizika "unconditionally" kwani kufanya hivyo ni kujifungia mahali pasitotakiwa. Mgomo utasitishwa kwa Mponda na Nkya kuondoka/kuondolewa kwanza. As long as the status quo is maintained mgomo ni vigumu kumalizwa.
 
Tatizo lako Pasco ni kurukia kwenye conclusion kama wewe ndiye mhusika mkuu au ulikwepo kwenye mazungumzo. Hapa unatuletea story za mgomo kumalizika wakati hujui kilichozungumzwa, endapo kesho mgomo ukiendelea utasemaje. Unaposhangilia JK kashinda unaweza kutuambia kashinda nini, kuna mchangiaji mmoja kakuambia wewe hufai kuwa mpatanishi, kwenye migogoro kama hii huwa haipaswi kushangilia hata kama unajua wewe ndiye umeshinda. Kina Ulimboka hawana final say wao ni kama ma mesenja tu, kesho wanatakiwa wa ripoti kwenye mkutano waokile walichoongea ikulu, mkutano ndio utakaosema mgomo uendelee ama la na siwewe Pasco.
 
Wanabodi, Ule mkutano kati ya Rais Jakaya Kikwete na Wazee wa Darisalaam, uliokuwa ufanyike leo, ukaahirishwa na kutangazwa ungefanyika kesho, umeahirishwa tena, sasa kufanyika Jumatatu!.Taarifa toka Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, iliyosomwa na TBC, imeeleza lengo la kusogezwa mbele mkutano huo, ni ili kutoa nafasi kwa Rais Kikwete, kujadiliana na wadau mbalimbali.My Take!.Nilipita mbele ya ukumbi Diamond, nikashuhudia masikini baadhi ya wabibi na wababu, walishajitanguliza mapema pale ukumbini, bila kujua mkutano umeahirishwa, na nadhani kulikuwa na ahadi ya kupeana japo nauli!, hivyo kujikuta hawana hili wa lile!.Kuelezwa huelezwa kwa mdomo, lakini ahirisho ni kupitia electronic media, masikini wa watu, hawana redio wala TV, na siajabu kesho asubuhi, wengine wakadamkia Ukumbini!. Naamini sababu kuu ya JK kutokutana na wazee hao, ni atakuwa ameisoma ile thread ya Mzee Mwanakijiji humu jukwaani na kuamua kuufuata ushauri wa JF!.Kwa mliosoma baadhi ya sifa nzuri za JK ni "a good sense of humour", hivyo JK baada ya kusoma JF, akaamua kuwatafuta madaktari, aka wa 'charm' with a good sense of humour, kina Ulimboka wakalainika, kesho mtashuhudia wakimeza matapishi yao, kwa kutoa tamko la kuumaliza rasmi mgomo huo bila masharti yoyote!. JK atakapokutana na Wazee hiyo Jumatatu itakuwa ni kuwapatia tuu mrejesho!.Hongera Mzee Mwanakijiji kwa kutoa angalizo muhimu!. Hongera JK kwa kumaliza kila kitu, na baada ya kina Ulimboka kuumaliza rasmi mgomo, Dr. Mponda na Dr. Nkya wajifungashie virago vyao na kujiondokea kwa amani na kwa heshima!.Pasco.
Cio wazee wa daslam bali ni wazee wa ccm wa daslam maana kaz aliyokua nayo masuburi ya kuwa2mia msg na kuweka msisitzo wasivae jez ni kubwa
 
Hivi wazee wa Dar ni nani hao ktk nchi hii huru?
.

sidhani kama ni wazee kwa maana ya kukutana na wazee na kukaribisha ushauri na maoni yao bali kinachotafutwa ni forum tu ya kuweza kuongelea hilo jambo...

ni muendelezo tu wa hulka za kibongo za kupenda kuzungusha maneno na kupiga soga na porojo nyingi.
 
Mzee Mwanakijiji, nilipokusoma asubuhi, nikajisemea kimoyomoyo, "ingekuwa JK ana intellect ya kusoma ulichoandika, leo hatazungumza kwanza na Wazee bali kuzitathmini kwa kina hoja kama zile!". Nliposikia mkutano umeahirishwa, nikaelewa, sasa kazi ni kesho kina Uliomboka waliolainishwa, kuwa convince wenzao, ugomo umalizike unconditional!. Subirini, mtaniambia!.

Jamani mniwie radhi kama mnaweza kuniambia ni thread ipi anayoiongelea Pasco inayohusiana na Mwanakijiji kutoa ushauri kwa Mkulu ? Mimi sikuweza kuingia jamvini maana nilikuwa safari. Nitashukuru sana
 
hana lolote amejua magazeti mengi yatakuwa off, so he just wait on monday to get more coverage...stupid idea. rather than looking the problems the country facing he just try to show off he's mad brains.
 
Back
Top Bottom