TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,102
Mwajiri wako anadhalilika huko Kigoma.
Ubishi umemponza...
Pole sana gamba
Mwajiri wako anadhalilika huko Kigoma.
Ubishi umemponza...
Kila mkitibuana wenyewe mnasingizia CCM
Pole sana gamba
Hongera njoo j3 uwanja wataifa umshuhudie akipigiwa mizinga 21Dr Slaa is my President! Really this courage of going to Kigoma shows really we have a "down to earth" leader!! Achana na magamba na Rais wao aka "Mkiti wa Miss Tanzania" - by Ibrahim Lipumba
Mkuu hiyo nyekundu ni KWAGA si Kagwa.WanaJF,
Mosi,Muda huu mkutano wa hadhara unaendelea mkoani Kigoma.Katibu Mkuu anahutubia Eneo la Kagwa kilomita 46 kutoka Kigoma Mjini .Ni eneo lililopo kati ya Kasulu Mjini na Kigoma Mjini.Watu ni wengi na mkutano unaendelea huku wananchi wakiwa na hamasa kubwa
Mkutano wa kwanza ulifanyika Kikanga
Pili,Kuna jitihada zinazoendelea zinazoratibiwa na baadhi ya watu wa CCM na Vibaraka wao zinazojaribu kujenga Taswira kuwa kuna vurugu zinaendelea.Baadhi ya vyombo vya habari vimeingia studio muda huu na kujaribu kupiga simu kwa watu waliopangwa mahususi kwa shughuli hiyo huko Kigoma ili kutoa ushuhuda kwenye vyombo vya habari.
Habari hizo zipuuzwe.Tusubiri picha .
Hata hivyo,Muda huu kuna taarifa kuwa mtu anayejiita Dr.Alex ambaye ni msaidizi wa karibu wa mmojawapo wa watuhumiwa wa kuratibu mtandao wa uhaini ndani ya CHADEMA,kwa sasa anashughulika kwa hali na mali kwa kushirikiana na Viongozi wa juu wa CCM wa Mkoa wa Kigoma na ofisi ndogo ya CCM Lumumba kupanga vijana kwa ajili ya Maandamano huko Kigoma Mjini kwa ujira wa Sh.5,000.
Hata hivyo taarifa zote nyeti za mkakati huu zinafahamika pamoja na wote wanaohusika.
Mapambano ya Ukombozi wa Pili yanaendelea....!
Mwajiri wako anadhalilika huko Kigoma.
Ubishi umemponza...
Ndiyo kilicho baki kwa maccm,mbinu tu.Angalia wanavyo muumbua waziri mkuu wao.wanasema hatoshi.Yani hata gari lao likipata pancha tu, wanasema ni CCM khaaa!!!
nani hajaporomoka mapema mkuu?Slaa ameporomoka mapema mno kisiasa...
loh, umelewa ukabila!!Watakaompigia kura ni wale mbumbumbu kama wewe, am smart i cant vote for him.. Yeye na Mbowe ni majambazi tu achilia ukabira, na udini.. Chacha wangwe baada ya kuhoji Mbowe matumizi makubwa ya ruzuku, he was silenced kama unataka kujua ukweli soma waraka wake kabla hajapata ajari ya kutengeneza iliyomtoa roho. Wezi tu eti wanapiga vita mafisadi wakati wenyewe ndiyo mafisadi number moja. Tz haitakuja kutawaliwa na mchaga hata Nyerere alisema maana anawajua sana, wachaga hawafai... Labda makabira mengine
mkuu ccm bila washamba wa vijijini, mambo hayaendi?Dr endelea kufunika maana kinana leo ameumbuka alitaka kuhutubia Njombe,watu hawa kufika,makada wakatuma fuso zikasombe Lupembe na Matembwe mvua imenyesha fuso zime kwama kwenye matope.Nasikia anataka a sepe.
Pole sana gamba
Pole mi ya nini?
Siku zote cdm ni wepesi wa kuweka story na picha hata kama za zamani, lakini safari hii kwa Kigoma ni porojo tu. Kuna aibu tupu huko.
Siku zote cdm ni wepesi wa kuweka story na picha hata kama za zamani, lakini safari hii kwa Kigoma ni porojo tu. Kuna aibu tupu huko.
Mimi hata sina haja sana kwa at most tulihitaji kuwaambia watanzania kuwa CCM+Zitto+uchafu mwingine kuwa tunafanya mkutano km lema alivyokwenda meru...hilo ndilo bao mengine ni km kufunga kwa kisigino, kuburuza mpira ukiwa unatambaa km nyoka na kusukuma na kichwa, kufunga ukiwa umefunga macho.hakuongezi poins za goli ila furaha kwa washabiki.