Mkutano wa Dr. Slaa Kigoma 7th Dec. 2013

kura yako ni mkosi na laana kwa chadema lakini wanzania wanao ipenda chedema kama mkombozi wao wataipigia kura kama walivyo fanya.

Watakaompigia kura ni wale mbumbumbu kama wewe, am smart i cant vote for him.. Yeye na Mbowe ni majambazi tu achilia ukabira, na udini.. Chacha wangwe baada ya kuhoji Mbowe matumizi makubwa ya ruzuku, he was silenced kama unataka kujua ukweli soma waraka wake kabla hajapata ajari ya kutengeneza iliyomtoa roho. Wezi tu eti wanapiga vita mafisadi wakati wenyewe ndiyo mafisadi number moja. Tz haitakuja kutawaliwa na mchaga hata Nyerere alisema maana anawajua sana, wachaga hawafai... Labda makabira mengine
 
Slaa ameporomoka mapema mno kisiasa...

Ni kweli Slaa ameporomoka sana kwa ccm. Ningeshangaa ungemsifu kuwa amepanda chati, tungemuweka kwenye list ya Zitto ambaye ameporomoka vibaya!

Slaa ndiye kiboko ya mafisadi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
WanaJF,

Mosi,Muda huu mkutano wa hadhara unaendelea mkoani Kigoma.Katibu Mkuu anahutubia Eneo la Kagwa kilomita 46 kutoka Kigoma Mjini .Ni eneo lililopo kati ya Kasulu Mjini na Kigoma Mjini.Watu ni wengi na mkutano unaendelea huku wananchi wakiwa na hamasa kubwa

Mkutano wa kwanza ulifanyika Kikanga

Pili,Kuna jitihada zinazoendelea zinazoratibiwa na baadhi ya watu wa CCM na Vibaraka wao zinazojaribu kujenga Taswira kuwa kuna vurugu zinaendelea.Baadhi ya vyombo vya habari vimeingia studio muda huu na kujaribu kupiga simu kwa watu waliopangwa mahususi kwa shughuli hiyo huko Kigoma ili kutoa ushuhuda kwenye vyombo vya habari.

Habari hizo zipuuzwe.Tusubiri picha .

Hata hivyo,Muda huu kuna taarifa kuwa mtu anayejiita Dr.Alex ambaye ni msaidizi wa karibu wa mmojawapo wa watuhumiwa wa kuratibu mtandao wa uhaini ndani ya CHADEMA,kwa sasa anashughulika kwa hali na mali kwa kushirikiana na Viongozi wa juu wa CCM wa Mkoa wa Kigoma na ofisi ndogo ya CCM Lumumba kupanga vijana kwa ajili ya Maandamano huko Kigoma Mjini kwa ujira wa Sh.5,000.

Hata hivyo taarifa zote nyeti za mkakati huu zinafahamika pamoja na wote wanaohusika.

Mapambano ya Ukombozi wa Pili yanaendelea....![/QUOT
Kagwa ni sehemu gani kigoma ndugu yangu, mbona BAVICHA mnakurupuka sana!
 
Kamanda kuna mtu ame hack au ni wewe mwenyewe?

Kuna watu viherehere sana humu.

Kwema lakini Mkuu? Karibu Ngaleloo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Naomba umuheshimu MUNGU. Yeye siyo mwana siasa, umechanganyikiwa!!

Body without head

Kasome vizuri maandiko matakatifu kama hayasemi kuhusu watawala ambao ndo siasa zenyewe
 
watatumia mbinu zote chafu, bila mafanikio,ila kwakua chadema ni mpango wangu shetani zote zitashindwa kabisa na kulegea. hata hivyo ulinzi mkali umeimarishwa tupo imara kabisa za kupambana na mhuni yoyote akiwemo zitto zuberi kabwa. msaidisi mkuu wa mi ccm na usalama taifa.
 
Ni kweli Slaa ameporomoka sana kwa ccm. Ningeshangaa ungemsifu kuwa amepanda chati, tungemuweka kwenye list ya Zitto ambaye ameporomoka vibaya!

Slaa ndiye kiboko ya mafisadi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Haswaa... umenena mkuu na nakupa 100
 
Fina mango wa clouds kazi yake kubwa ni kusafisha na kuwa -promote viongozi wenye kashfa na mafisadi

Kwa mtangazaji wa radio ya mashooga unategemea nini? kama sio uharo mtupu!
 
Mbinu chafu sawa na za CCM: Kwani nani hafahamu kuwa
wanachofanya CHADEMA ni mchezo wa kuWanachokifanya CDM ni mchezo wa kuigiza: unaweza usiamini lakini fuatana name
1. Wameandaa ziara ya Dr. Slaa ili kuonesha umma kuwa maamuzi ya kuwatimia Zito na Dr. Mkumbo hayana madhara wala athari yeyote kwa chama
2. Ili kufanikisha hilo, wakaandaa watoa taarifa za uongo watakaokuwa wanaripoti kwenye baadhi ya vyombo vya habari (Tanzania Daima) na mitandao ya kijamii (Jamii forum) huku wakidai anapata mapokezi makubwa na kuambatanisha picha zilizopigwa muda mrefu.
3. Ukitaka kupata ladha ya ukweli huu, kama una ndugu yako anaeishi Kakonko au Kibondo muulize kumetokea nini? Na Polisi walifanya nini ili kumuokoa mzee wa watu (Dr. Slaa)? Kama huna ndugu wala jamaa huko, tafuta hata rafiki mwenye jamaa yake huko akuulizie – NI AIBU TUPU. Tuliokuwepo tumejionea
HAWA NDIO WATANZANIA, 2010 WALIKUA WAKIMSHANGILIA LEO WANAZOMEA NA KUFANYA FUJO KAMA HAWAMJUI. Wanachokifanya CDM ni mchezo wa kuigiza: unaweza usiamini lakini fuatana name

HAWA NDIO WATANZANIA, 2010 WALIKUA WAKIMSHANGILIA LEO WANAZOMEA NA KUFANYA FUJO KAMA HAWAMJUI.

Mpaka leo bado mnaendeleza porojo. Tuliokuwepo tunajionea ukweli
 
Mods unganisheni hii habari na ile ya maandamano. Kuhusu picha tayari tumeziona hakuna jipya labda za ku editiwa na tumaini makene

Sikuwahi kufikiri kuwa wazee wa Kaskazini wanaweza kuwa na mbinu za "Kichawi" kama za CCM!!

Wanachokifanya CDM ni mchezo wa kuigiza: unaweza usiamini lakini fuatana nami
1. Wameandaa ziara ya Dr. Slaa ili kuonesha umma kuwa maamuzi ya kuwatimua Zito na Dr. Mkumbo hayana madhara wala athari yeyote kwa chama
2. Ili kufanikisha hilo, wakaandaa watoa taarifa za uongo watakaokuwa wanaripoti kwenye baadhi ya vyombo vya habari (Tanzania Daima) na mitandao ya kijamii (Jamii forum) huku wakidai anapata mapokezi makubwa na kuambatanisha picha zilizopigwa muda mrefu.
3. Ukitaka kupata ladha ya ukweli huu, kama una ndugu yako anaeishi Kakonko au Kibondo muulize kumetokea nini? Na Polisi walifanya nini ili kumuokoa mzee wa watu (Dr. Slaa)? Kama huna ndugu wala jamaa huko, tafuta hata rafiki mwenye jamaa yake huko akuulizie – NI AIBU TUPU. Tuliokuwepo tumejionea
HAWA NDIO WATANZANIA, 2010 WALIKUA WAKIMSHANGILIA LEO WANAZOMEA NA KUFANYA FUJO KAMA HAWAMJUI.
 
Mods unganisheni hii habari na ile ya maandamano. Kuhusu picha tayari tumeziona hakuna jipya labda za ku editiwa na tumaini makene

Weka zako tuone ulivyo chezesha
 
Back
Top Bottom