Mkutano wa Dr. Slaa Kigoma 7th Dec. 2013

Naomba umuheshimu MUNGU. Yeye siyo mwana siasa, umechanganyikiwa!!

Body without head
Mkuu sema kweli kisa kinachokufanya uichukie CCM kwa kweli visa ni kwamba
1. Ufisadi(ujangili,wizi,uporaji,ulanguzi,uhujumu uchumi,mauaji,utesaji,wapiga dili) mfano madini(almasi,Dhahabu,tanzanite coper nk) yanapigwa dili kwa kigezo cha uwekezaji/twiga wameporwa njenje kweupe wakapanda lidege la kijeshi Quartor kwenda Doha,Tembo/kifaru wanaelekea kupotea katika ardhi ya tanzania badala ya kupambana na hali hii ccm iko busy kuiangamiza chadema ili inchi hii ipigwe dili la kufa na kupoa. Jamani tulikatae hili watanzania tupambane kuiondoa ccm ccm ni adui No.1 Tanzania.
2. Watanzania tukae macho tutambu7a uhuni unaofanywa na majangili ya ccm leo yanapita mitaani yakihubili udini na ukanda Niwaombe watanzania kwamba leo tunataza na kushangilia pale tunaposikia viongozi(majangili) ya ccm yakihubili udini bila kutafakari kwamba siku limebuma wote ni wahanga isipokuwa majangili(ccm) yenye mipesa uswizi na ulaya .Hivyo tukatae kwa nguvu zote.
3. Dalili za hili ni nyingi sisi waislam tuposhap sana tunaposikia na kuhubiliwa udini hatulazi damu wote hujingiza mkenge upande ambao shehe anahubili. Hili naliona si zuri ni lazima watanzania tutafakari mahubili yanayokuwa yanafanywa na wanasiasa hususani ya ccm Tafakari kabla ya kuchukua hatua . Mara nyingi sana tumekosea kwa kusikiliza na kuamini maneno ya udini yanayosambazwa na ccm kwa lengo la kuifight chadema. hapo mwanzo walitumia njia hi hi kuifight CUF
4 Leo wanaanza kutumia vijana kwa kuwateka na kuwanunua wakachafue mikutano ya chadema.
 
WanaJF,

Mosi,Muda huu mkutano wa hadhara unaendelea mkoani Kigoma.Katibu Mkuu anahutubia Eneo la Kagwa kilomita 46 kutoka Kigoma Mjini .Ni eneo lililopo kati ya Kasulu Mjini na Kigoma Mjini.Watu ni wengi na mkutano unaendelea huku wananchi wakiwa na hamasa kubwa

Mkutano wa kwanza ulifanyika Kikanga

Pili,Kuna jitihada zinazoendelea zinazoratibiwa na baadhi ya watu wa CCM na Vibaraka wao zinazojaribu kujenga Taswira kuwa kuna vurugu zinaendelea.Baadhi ya vyombo vya habari vimeingia studio muda huu na kujaribu kupiga simu kwa watu waliopangwa mahususi kwa shughuli hiyo huko Kigoma ili kutoa ushuhuda kwenye vyombo vya habari.

Habari hizo zipuuzwe.Tusubiri picha .

Hata hivyo,Muda huu kuna taarifa kuwa mtu anayejiita Dr.Alex ambaye ni msaidizi wa karibu wa mmojawapo wa watuhumiwa wa kuratibu mtandao wa uhaini ndani ya CHADEMA,kwa sasa anashughulika kwa hali na mali kwa kushirikiana na Viongozi wa juu wa CCM wa Mkoa wa Kigoma na ofisi ndogo ya CCM Lumumba kupanga vijana kwa ajili ya Maandamano huko Kigoma Mjini kwa ujira wa Sh.5,000.

Hata hivyo taarifa zote nyeti za mkakati huu zinafahamika pamoja na wote wanaohusika.

Mapambano ya Ukombozi wa Pili yanaendelea....!
 
pole sana babu kwa hayo yote, ila ukweli unao ila unaficha usiwe kama babu masabike ambikile aliyejifanya anadawa kumbe anataka msingi
 
hata mimi mwanzo nilimwona kama chaguo sahihi ila hapana kwasababu mbili , kuhusu kuvua viongozi vyeo, kuchukua milioni arobaini ili akakarabatie nyumba kutoka chamani, kuhimiza IPD iliyohongwa mwanamke ilipwe na chama , kupokea milioni kumi na moja kama mshahara wake kwa mwezi, kujiona yeye ndiye bora
 
watashindwa tu wasifikiri waha hawamjua kijana wao Zitto kuwa ni power monger
 
Back
Top Bottom