Mkutano wa Dr. Slaa Kigoma 7th Dec. 2013

Mkutano wa Dr. Slaa Kigoma 7th Dec. 2013

Mods unganisheni hii habari na ile ya maandamano. Kuhusu picha tayari tumeziona hakuna jipya labda za ku editiwa na tumaini makene

We unamwamlisha MOd kama nani!!!! Ngoja maumivu yakuingie sawasawa. Picha za leo umeziona saa ngapi au unasema za kibondo jana. Subili tu picha ziwekwe katangebe.
 
We unamwamlisha MOd kama nani!!!! Ngoja maumivu yakuingie sawasawa. Picha za leo umeziona saa ngapi au unasema za kibondo jana. Subili tu picha ziwekwe katangebe.

Nisubiri zipi, zilizoeditiwa na tumaini makene?
 
WanaJF,

Mosi,Muda huu mkutano wa hadhara unaendelea mkoani Kigoma.Katibu Mkuu anahutubia Eneo la Kagwa kilomita 46 kutoka Kigoma Mjini .Ni eneo lililopo kati ya Kasulu Mjini na Kigoma Mjini.Watu ni wengi na mkutano unaendelea huku wananchi wakiwa na hamasa kubwa

Mkutano wa kwanza ulifanyika Kikanga

Pili,Kuna jitihada zinazoendelea zinazoratibiwa na baadhi ya watu wa CCM na Vibaraka wao zinazojaribu kujenga Taswira kuwa kuna vurugu zinaendelea.Baadhi ya vyombo vya habari vimeingia studio muda huu na kujaribu kupiga simu kwa watu waliopangwa mahususi kwa shughuli hiyo huko Kigoma ili kutoa ushuhuda kwenye vyombo vya habari.

Habari hizo zipuuzwe.Tusubiri picha .

Hata hivyo,Muda huu kuna taarifa kuwa mtu anayejiita Dr.Alex ambaye ni msaidizi wa karibu wa mmojawapo wa watuhumiwa wa kuratibu mtandao wa uhaini ndani ya CHADEMA,kwa sasa anashughulika kwa hali na mali kwa kushirikiana na Viongozi wa juu wa CCM wa Mkoa wa Kigoma na ofisi ndogo ya CCM Lumumba kupanga vijana kwa ajili ya Maandamano huko Kigoma Mjini kwa ujira wa Sh.5,000.

Hata hivyo taarifa zote nyeti za mkakati huu zinafahamika pamoja na wote wanaohusika.

Mapambano ya Ukombozi wa Pili yanaendelea....!

Umevurugwa wewe!
 
Dr Slaa is my President! Really this courage of going to Kigoma shows really we have a "down to earth" leader!! Achana na magamba na Rais wao aka "Mkiti wa Miss Tanzania" - by Ibrahim Lipumba

Slaa will neva be a president, yeye na mbowe ni mafisadi nani atawapa kura?
 
Tatizo chadema inawasumbua sana ccm na wajaribu kutega mitego yao inateguka,ili mradi iyonekane cdm inaleta vurugu lakini wameshindwa,chadema inazidi kusonga mbele.
 
lane,

..lakini na nyinyi CDM mko too slow.

..kwanini hamna watu wenu ktk vyombo mbalimbali vya habari?

..mambo ya kusubiri PICHA yamepitwa na wakati, tena ukizingatia picha zenyewe zinatoka baada ya masaa 36+.

..mlitakiwa muwe mnatoa VIDEO za hii mikutano tena haraka sana kabla upotoshaji haujafanyika.

..kwa kweli kitengo cha mawasiliano cha CDM has to do more, wahusika mnatakiwa mjipange upya.

cc Mwita Maranya, Mungi, Ben Saanane, Dr.W.Slaa, Molemo, Jasusi

JokaKuu,

Asante sana kwa constructive critiscism.

Ni kweli kuna mapungufu kadhaa lakini pia kuna tatizo la network huko
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuru Mods la sivyo wewe mzimu wa Lumumba ungenisababishia BAN. Kwani nilijitolea kukupakata na TUNTEMEKE alijitolea kununua K-Y J.

Mkuu ukiona unatukana watu usiowajua mtandaoni na hawahangaiki kukujibu, na unaendelea kupoteza muda wako kutukana tambua hupigani sawa sawa na maisha yako.

Fanya kazi kijana.
 
Mods unganisheni hii habari na ile ya maandamano. Kuhusu picha tayari tumeziona hakuna jipya labda za ku editiwa na tumaini makene

umechelewa kupevuka wewe kihio
 
Slaa will neva be a president, yeye na mbowe ni mafisadi nani atawapa kura?
kura yako ni mkosi na laana kwa chadema lakini wanzania wanao ipenda chedema kama mkombozi wao wataipigia kura kama walivyo fanya.
 
Mkuu ukiona unatukana watu usiowajua mtandaoni na hawahangaiki kukujibu, na unaendelea kupoteza muda wako kutukana tambua hupigani sawa sawa na maisha yako.

Fanya kazi kijana.

kihio cha ccm.
 
Back
Top Bottom