Mkutano wa Dr. Slaa Kigoma 7th Dec. 2013

We'unamjua yupi angalia usicheze namambo ya mungu kweli mafisadi mmepoteza ma2maini.
 
QUOTE=pcm;8030034]NINAVYOMFAHAMU ZITTO ZUBER KABWE
-KILIO CHA USALITI (Sehemu ya Jina Langu ni MTELA ALLAM MWAMPAMBA mwanachama mchanga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

Nikiwa ni Mwanachama wa CCM, nimeapa kwa Imani ya Chama Changu kuwa NITASEMA KWELI DAIMA NA FITINA KWANGU MWIKO. Kiapo hiki ni ndani ya Chama Changu, Serikali yangu na mbele ya Jamii yangu.

Kwa kuwa LENGO langu si KUFITINISHA wala KUJIHUSISHA NA CHAMA CHAKE, Nitabainisha (kwa Ufupi) namna ninavyomfahamu ZITTO ZUBER KABWE, tena ikibidi nitabainisha kinagaubaga na wazi wazi (kama italazimu kufanya Hivyo) kiasi Umma ubaini ni nani ZITTO ZUBER KABWE ndani ya Chama mjenzi, nguzo, mhimili ama mhujumu chama. Nafanya hivyo kwa lengo la kutetea maslahi ya Kitaifa, maana watu hawa wanabeba nembo na sura ya Utaifa, na ni ubaya ulioje watu wasio na DHATI ya kiutawala kuaminiwa katika Utawala. Na kwa bahati mbaya katika taarifa hiyo nimetajwa tena kwa jina langu kamili, hivyo jukumu la kunyoosha maelezo ya ZITTO ni la msingi na lenye msukumo Binafsi (Si chama Changu kwa namna yeyote) Ni kwa

SEHEMU HII YA KWANZA: Nakubaliana kabisa na Zitto kuwa hakukuwa na kikao ambacho kilitukutanisha Sisi Wanne pamoja, pale LUNCH TIME,hayo ni ya mwandishi mwenyewe, maana Mimi si chanzo chake. Lakini hiyo hainamaanishi kwamba sisi hatukuwa tukikutana.

Kama pamoja na yote ambayo yaliyopita na yanayoendelea CHADEMA hadi hivi sasa bado yupo anayeamini maneno ya ZITTO kuwa hamfahamu BEN SAANANE na kuwa anaweza kupishana nae njiani bila kumtambua na aendelee kuamini hivyo lakini nasema hiyo ni too much of exaggeration on his expressions.

kuondoka kwangu na wengine ni kafara ya jambo hilo. Kuna mambo si sahihi kuyaeleza kiundani na hadharani kwasababu tuliambizana na kupanga kwa Usiri na Kuaminiana, hatujafikia hatua hiyo ya kuuvunja hata Uamini tuliopeana kwa Viapo ila kama tutaendelea na maneno ya namna hii na UZANDIKI,

Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yako kama mwanachadema iko mikononi mwetu, Please brother, Don’t mess with your last poker chip, will lose the game. Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wako ndani ya Chadema.,

Mwisho kabisa katika signature yako ya JF umetumia nukuu ya Mwalimu Nyerere kwenye kitabu chake cha TUJISAHIHISHE cha mwaka 1962 mwaka mmoja baada ya Uhuru, kuwa UKWELI haupendi kupuuzwa puuzwa, soma tena kitabu hicho upate hazina ya mawazo ya kiutawala na uondokane na UNAFSI kwa tafsir ya Mwalimu Nyerere ya neno hilo katika kitabu hicho.[/QUOTE]

HAPO MTU UTAONGEZA NINI ZAIDI!?

cc. Ritz, Faiza Mbwa, Chamviga, Taswira, Simiyu yetu, Chabruma, Sixgeto, Ze marcopolo, Tandaleone, Utaifakwanza a.k.a Juliana Shenzi, buku7fc Lumumba.
 
Buldoza hiyo post yako inasaidia nini?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
wakati huohuo bunge linaendelea Dodoma, hoja kuu ikiwa ni sheria ya kura ya maoni juu ya Katiba
 
WanaJF,

Mosi,Muda huu mkutano wa hadhara unaendelea mkoani Kigoma.Katibu Mkuu anahutubia Eneo la Kagwa kilomita 46 kutoka Kigoma Mjini .Ni eneo lililopo kati ya Kasulu Mjini na Kigoma Mjini.Watu ni wengi na mkutano unaendelea huku wananchi wakiwa na hamasa kubwa

Mkutano wa kwanza ulifanyika Kikanga

Pili,Kuna jitihada zinazoendelea zinazoratibiwa na baadhi ya watu wa CCM na Vibaraka wao zinazojaribu kujenga Taswira kuwa kuna vurugu zinaendelea.Baadhi ya vyombo vya habari vimeingia studio muda huu na kujaribu kupiga simu kwa watu waliopangwa mahususi kwa shughuli hiyo huko Kigoma ili kutoa ushuhuda kwenye vyombo vya habari.

Habari hizo zipuuzwe.Tusubiri picha .

Hata hivyo,Muda huu kuna taarifa kuwa mtu anayejiita Dr.Alex ambaye ni msaidizi wa karibu wa mmojawapo wa watuhumiwa wa kuratibu mtandao wa uhaini ndani ya CHADEMA,kwa sasa anashughulika kwa hali na mali kwa kushirikiana na Viongozi wa juu wa CCM wa Mkoa wa Kigoma na ofisi ndogo ya CCM Lumumba kupanga vijana kwa ajili ya Maandamano huko Kigoma Mjini kwa ujira wa Sh.5,000.

Hata hivyo taarifa zote nyeti za mkakati huu zinafahamika pamoja na wote wanaohusika.

Mapambano ya Ukombozi wa Pili yanaendelea....!
Wacheni uzushi. Mnadhani mnaweza kumdhalilisha kijana wao kwa kumzushia hila mbaya halafu wakushangilieni? Wala msimuandame zaidi zitto hahusiki, ni hasira ya wapenzi wake.
 
wapendwa kinachofanywa na hawa jamaa wa ccm ni mbinu za kizamani walizotumia kuiua ncccr-mageuzi na cuf,
Hizo ni mbinu za zamani saaana ambazo hakika hazitafua dafu kwa uongozi makini wa cdm ulio makini hata kuliko serikali ya kikwete ambayo hata wabunge wenyewe wa ccm wameanza kukili kuwa imekuwa legelege.
Hebu tufikirie wakaanza na mbinu ya udini(wakadhindwa), ukanda (wakashindwa), ukabila (wakashindwa), ugaidi (wakashindwa) na sasa karata ya zzk ambayo naamini mpaka sasa imeshashindwa sijui watakuja na staili gani ( kweli mfa maji........).
Alafu mie ninavyodhani zzk yuko nyuma ya mpango huu under ccm monitoring maana haiwezekani mtu anayesema hataki awe sehemu ya kifo cha cdm wanachokiota then eti asikemee wahuni wanaotoa matamko feki na maandamano ya kushinikizwa tena nyumbani kwake,
"tumeanza safari ya mabaliko, wale waoga wote hatutawasubiria, watatukuta mbele ya safari na kujiunga nasi"
Jumapili njema.
 
bwana wa ma bwana mungu wa miungu,kama ulivyochafua ndimi za wale waliokuwa wanajenga mnara wa baberi ,chafua ndimi za wote wanaopanga kuvuga mkutano wa dr,ninatuma roho ya mafarakano miongoni mwao wakafarakane wenyewe kwa wenyewe,roho yako ya utiisho ikamtangukie dr,popote atokapo aingiapo ni katika jina la yesu na wote tuseme aminaaaaaaaaaaaa.isaya 41:11 inasema Tazama wote walioona hasira juu yako watatayarika na kufadhaika ,watu washinadanao nawe watakuwa si kitu na kuangamia,13 kwa maana mimi bwana mungu wako nitakushika mkono wako wa kuume nikikuambia usiogope mimi nitakusaidia

Amen.............ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeni
 
Chama kinachokufa ni ccm.Hebu tazama kwa umakini utaona ccm inatumia nguvu kubwa kupambana na chadema na utaona nguvu yao ccm imegonga mwamba wakina chadema wameshituka mapema na kuwafyeka wasaliti ambao wangekiangamiza chama. ukitazama pia kwa umakini hiliswala utaona limewaogopesha sana ccm. chadema itavuka hiki kikwazo na itachukua dola 2015 kirahisi ccm hawajui wanaipigia debe chadema ishinde kwa vitendo vyao vinavyo onekana waziwazi kama vile kuandaa watu kwa garama kuharibu mikutano ya chadema huko kigoma,kuwanunua wakina zito,kitila, said arfi na wengine wengi nasema wengi kwa sababu pesa aliyopewa zito aliitumia kuwannua viongozi wandamizi wa chadema mikoani. mfano juzi hivi nikiwa ndani sa usafiri mjadala ukaanza 99% wakaunga mkono maamuzi ya kamati kuu chadema mmoja alikuwa akipinga sana basi lote lilimshambulia sana akapigwa swali kwa jinsi alivyokuwa amepaniki akalopoka msaada aliopatiwa na zito mil12 + ushauri wa kibiashara na akajitambulisha yeye ni diwani wa kahama(nyasubi). Hapa ccm wanajichanganya tu watanzania 99% tunaona na tutawapiga chini vibaya kwa aibu!!!
Habari ya Kigoma, leo uko mkoa gani ki-jf
 
WanaJF,

Mosi,Muda huu mkutano wa hadhara unaendelea mkoani Kigoma.Katibu Mkuu anahutubia Eneo la Kagwa kilomita 46 kutoka Kigoma Mjini .Ni eneo lililopo kati ya Kasulu Mjini na Kigoma Mjini.Watu ni wengi na mkutano unaendelea huku wananchi wakiwa na hamasa kubwa

Mkutano wa kwanza ulifanyika Kikanga

Pili,Kuna jitihada zinazoendelea zinazoratibiwa na baadhi ya watu wa CCM na Vibaraka wao zinazojaribu kujenga Taswira kuwa kuna vurugu zinaendelea.Baadhi ya vyombo vya habari vimeingia studio muda huu na kujaribu kupiga simu kwa watu waliopangwa mahususi kwa shughuli hiyo huko Kigoma ili kutoa ushuhuda kwenye vyombo vya habari.

Habari hizo zipuuzwe.Tusubiri picha .

Hata hivyo,Muda huu kuna taarifa kuwa mtu anayejiita Dr.Alex ambaye ni msaidizi wa karibu wa mmojawapo wa watuhumiwa wa kuratibu mtandao wa uhaini ndani ya CHADEMA,kwa sasa anashughulika kwa hali na mali kwa kushirikiana na Viongozi wa juu wa CCM wa Mkoa wa Kigoma na ofisi ndogo ya CCM Lumumba kupanga vijana kwa ajili ya Maandamano huko Kigoma Mjini kwa ujira wa Sh.5,000.

Hata hivyo taarifa zote nyeti za mkakati huu zinafahamika pamoja na wote wanaohusika.

Mapambano ya Ukombozi wa Pili yanaendelea....!Chama kinachokufa ni ccm.Hebu tazama kwa umakini utaona ccm inatumia nguvu kubwa kupambana na chadema na utaona nguvu yao ccm imegonga mwamba wakina chadema wameshituka mapema na kuwafyeka wasaliti ambao wangekiangamiza chama. ukitazama pia kwa umakini hiliswala utaona limewaogopesha sana ccm. chadema itavuka hiki kikwazo na itachukua dola 2015 kirahisi ccm hawajui wanaipigia debe chadema ishinde kwa vitendo vyao vinavyo onekana waziwazi kama vile kuandaa watu kwa garama kuharibu mikutano ya chadema huko kigoma,kuwanunua wakina zito,kitila, said arfi na wengine wengi nasema wengi kwa sababu pesa aliyopewa zito aliitumia kuwannua viongozi wandamizi wa chadema mikoani. mfano juzi hivi nikiwa ndani sa usafiri mjadala ukaanza 99% wakaunga mkono maamuzi ya kamati kuu chadema mmoja alikuwa akipinga sana basi lote lilimshambulia sana akapigwa swali kwa jinsi alivyokuwa amepaniki akalopoka msaada aliopatiwa na zito mil12 + ushauri wa kibiashara na akajitambulisha yeye ni diwani wa kahama(nyasubi). Hapa ccm wanajichanganya tu watanzania 99% tunaona na tutawapiga chini vibaya kwa aibu!!!
Chama kinachokufa ni ccm.Hebu tazama kwa umakini utaona ccm inatumia nguvu kubwa kupambana na chadema na utaona nguvu yao ccm imegonga mwamba wakina chadema wameshituka mapema na kuwafyeka wasaliti ambao wangekiangamiza chama. ukitazama pia kwa umakini hiliswala utaona limewaogopesha sana ccm. chadema itavuka hiki kikwazo na itachukua dola 2015 kirahisi ccm hawajui wanaipigia debe chadema ishinde kwa vitendo vyao vinavyo onekana waziwazi kama vile kuandaa watu kwa garama kuharibu mikutano ya chadema huko kigoma,kuwanunua wakina zito,kitila, said arfi na wengine wengi nasema wengi kwa sababu pesa aliyopewa zito aliitumia kuwannua viongozi wandamizi wa chadema mikoani. mfano juzi hivi nikiwa ndani sa usafiri mjadala ukaanza 99% wakaunga mkono maamuzi ya kamati kuu chadema mmoja alikuwa akipinga sana basi lote lilimshambulia sana akapigwa swali kwa jinsi alivyokuwa amepaniki akalopoka msaada aliopatiwa na zito mil12 + ushauri wa kibiashara na akajitambulisha yeye ni diwani wa kahama(nyasubi). Hapa ccm wanajichanganya tu watanzania 99% tunaona na tutawapiga chini vibaya kwa aibu!!!
 
Buldoza hiyo post yako inasaidia nini?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums Chama kinachokufa ni ccm.Hebu tazama kwa umakini utaona ccm inatumia nguvu kubwa kupambana na chadema na utaona nguvu yao ccm imegonga mwamba wakina chadema wameshituka mapema na kuwafyeka wasaliti ambao wangekiangamiza chama. ukitazama pia kwa umakini hiliswala utaona limewaogopesha sana ccm. chadema itavuka hiki kikwazo na itachukua dola 2015 kirahisi ccm hawajui wanaipigia debe chadema ishinde kwa vitendo vyao vinavyo onekana waziwazi kama vile kuandaa watu kwa garama kuharibu mikutano ya chadema huko kigoma,kuwanunua wakina zito,kitila, said arfi na wengine wengi nasema wengi kwa sababu pesa aliyopewa zito aliitumia kuwannua viongozi wandamizi wa chadema mikoani. mfano juzi hivi nikiwa ndani sa usafiri mjadala ukaanza 99% wakaunga mkono maamuzi ya kamati kuu chadema mmoja alikuwa akipinga sana basi lote lilimshambulia sana akapigwa swali kwa jinsi alivyokuwa amepaniki akalopoka msaada aliopatiwa na zito mil12 + ushauri wa kibiashara na akajitambulisha yeye ni diwani wa kahama(nyasubi). Hapa ccm wanajichanganya tu watanzania 99% tunaona na tutawapiga chini vibaya kwa aibu!!!
Chama kinachokufa ni ccm.Hebu tazama kwa umakini utaona ccm inatumia nguvu kubwa kupambana na chadema na utaona nguvu yao ccm imegonga mwamba wakina chadema wameshituka mapema na kuwafyeka wasaliti ambao wangekiangamiza chama. ukitazama pia kwa umakini hiliswala utaona limewaogopesha sana ccm. chadema itavuka hiki kikwazo na itachukua dola 2015 kirahisi ccm hawajui wanaipigia debe chadema ishinde kwa vitendo vyao vinavyo onekana waziwazi kama vile kuandaa watu kwa garama kuharibu mikutano ya chadema huko kigoma,kuwanunua wakina zito,kitila, said arfi na wengine wengi nasema wengi kwa sababu pesa aliyopewa zito aliitumia kuwannua viongozi wandamizi wa chadema mikoani. mfano juzi hivi nikiwa ndani sa usafiri mjadala ukaanza 99% wakaunga mkono maamuzi ya kamati kuu chadema mmoja alikuwa akipinga sana basi lote lilimshambulia sana akapigwa swali kwa jinsi alivyokuwa amepaniki akalopoka msaada aliopatiwa na zito mil12 + ushauri wa kibiashara na akajitambulisha yeye ni diwani wa kahama(nyasubi). Hapa ccm wanajichanganya tu watanzania 99% tunaona na tutawapiga chini vibaya kwa aibu!!!
 
Mbinu chafu sawa na za CCM: Kwani nani hafahamu kuwa
wanachofanya CHADEMA ni mchezo wa kuWanachokifanya CDM ni mchezo wa kuigiza: unaweza usiamini lakini fuatana name
1. Wameandaa ziara ya Dr. Slaa ili kuonesha umma kuwa maamuzi ya kuwatimia Zito na Dr. Mkumbo hayana madhara wala athari yeyote kwa chama
2. Ili kufanikisha hilo, wakaandaa watoa taarifa za uongo watakaokuwa wanaripoti kwenye baadhi ya vyombo vya habari (Tanzania Daima) na mitandao ya kijamii (Jamii forum) huku wakidai anapata mapokezi makubwa na kuambatanisha picha zilizopigwa muda mrefu.
3. Ukitaka kupata ladha ya ukweli huu, kama una ndugu yako anaeishi Kakonko au Kibondo muulize kumetokea nini? Na Polisi walifanya nini ili kumuokoa mzee wa watu (Dr. Slaa)? Kama huna ndugu wala jamaa huko, tafuta hata rafiki mwenye jamaa yake huko akuulizie – NI AIBU TUPU. Tuliokuwepo tumejionea
HAWA NDIO WATANZANIA, 2010 WALIKUA WAKIMSHANGILIA LEO WANAZOMEA NA KUFANYA FUJO KAMA HAWAMJUI. Wanachokifanya CDM ni mchezo wa kuigiza: unaweza usiamini lakini fuatana name

HAWA NDIO WATANZANIA, 2010 WALIKUA WAKIMSHANGILIA LEO WANAZOMEA NA KUFANYA FUJO KAMA HAWAMJUI.

Mpaka leo bado mnaendeleza porojo. Tuliokuwepo tunajionea ukweli
pole mkuu ngoja maumiivu yakupate
 
QUOTE=pcm;8030034]NINAVYOMFAHAMU ZITTO ZUBER KABWE
-KILIO CHA USALITI (Sehemu ya Jina Langu ni MTELA ALLAM MWAMPAMBA mwanachama mchanga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

Nikiwa ni Mwanachama wa CCM, nimeapa kwa Imani ya Chama Changu kuwa NITASEMA KWELI DAIMA NA FITINA KWANGU MWIKO. Kiapo hiki ni ndani ya Chama Changu, Serikali yangu na mbele ya Jamii yangu.

Kwa kuwa LENGO langu si KUFITINISHA wala KUJIHUSISHA NA CHAMA CHAKE, Nitabainisha (kwa Ufupi) namna ninavyomfahamu ZITTO ZUBER KABWE, tena ikibidi nitabainisha kinagaubaga na wazi wazi (kama italazimu kufanya Hivyo) kiasi Umma ubaini ni nani ZITTO ZUBER KABWE ndani ya Chama mjenzi, nguzo, mhimili ama mhujumu chama. Nafanya hivyo kwa lengo la kutetea maslahi ya Kitaifa, maana watu hawa wanabeba nembo na sura ya Utaifa, na ni ubaya ulioje watu wasio na DHATI ya kiutawala kuaminiwa katika Utawala. Na kwa bahati mbaya katika taarifa hiyo nimetajwa tena kwa jina langu kamili, hivyo jukumu la kunyoosha maelezo ya ZITTO ni la msingi na lenye msukumo Binafsi (Si chama Changu kwa namna yeyote) Ni kwa

SEHEMU HII YA KWANZA: Nakubaliana kabisa na Zitto kuwa hakukuwa na kikao ambacho kilitukutanisha Sisi Wanne pamoja, pale LUNCH TIME,hayo ni ya mwandishi mwenyewe, maana Mimi si chanzo chake. Lakini hiyo hainamaanishi kwamba sisi hatukuwa tukikutana.

Kama pamoja na yote ambayo yaliyopita na yanayoendelea CHADEMA hadi hivi sasa bado yupo anayeamini maneno ya ZITTO kuwa hamfahamu BEN SAANANE na kuwa anaweza kupishana nae njiani bila kumtambua na aendelee kuamini hivyo lakini nasema hiyo ni too much of exaggeration on his expressions.

kuondoka kwangu na wengine ni kafara ya jambo hilo. Kuna mambo si sahihi kuyaeleza kiundani na hadharani kwasababu tuliambizana na kupanga kwa Usiri na Kuaminiana, hatujafikia hatua hiyo ya kuuvunja hata Uamini tuliopeana kwa Viapo ila kama tutaendelea na maneno ya namna hii na UZANDIKI,

Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yako kama mwanachadema iko mikononi mwetu, Please brother, Don’t mess with your last poker chip, will lose the game. Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wako ndani ya Chadema.,

Mwisho kabisa katika signature yako ya JF umetumia nukuu ya Mwalimu Nyerere kwenye kitabu chake cha TUJISAHIHISHE cha mwaka 1962 mwaka mmoja baada ya Uhuru, kuwa UKWELI haupendi kupuuzwa puuzwa, soma tena kitabu hicho upate hazina ya mawazo ya kiutawala na uondokane na UNAFSI kwa tafsir ya Mwalimu Nyerere ya neno hilo katika kitabu hicho.

HAPO MTU UTAONGEZA NINI ZAIDI!?

cc. Ritz, Faiza Mbwa, Chamviga, Taswira, Simiyu yetu, Chabruma, Sixgeto, Ze marcopolo, Tandaleone, Utaifakwanza a.k.a Juliana Shenzi, buku7fc Lumumba.[/QUOTE]

Wewe boya si ulishaondoka CHADEMA sasa Unataka nini tena kama ni ZITO anakuuma kutimuliwa si nafasi ipo wazi mchukue mkaungane naye huko ambako unakuona nguvu zako na zake zitasaidiana, unalalaaaama utazani huna nyuma bwana, chukua Kizito chako peleka huko magamba wewe huna hatA aibu lione kwanza sura kama fenesi.
 
Mrema aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kubebwa na kusukumwa kwenye gari.

Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kurushiwa mawe na kufukuzwa jukwaani kwa mabango.

Lipumba aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kupewa kibano na polisi.

Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kuwaamrisha polisi wawadhibiti wananchi na kuokolewa na kuhifadhiwa na polisi ili asidhuriwe.

Haya yote ni maendeleo...

Cc Nicholas
 
Si kila siku anawaponda leo wamekua rafiki zake? Chezea mawe bado kigoma town
 
Last edited by a moderator:
Dawaa ni wananchi kigoma kuukataa ufisadi/ujangili wa ccm kwa kuwatwanga vijana wanaoleta fujo Muhimu ni kwamba ccm ni Janga la kitaifa
 
Back
Top Bottom