Nasikiliza Arusha mambo hapa LIVE, kuna ngoma zinagongwa kinyama hapo NMC..
HIP HOP concious za ukweli!!
Lol!! Kama niko Arusha aisee!!
Una hasira balaa!
Natamani sn kufika,ila nipo mbali.Ile sayansi ya kiafrika huwa inatumika usiku tu?maana nasikia huwa ni usafiri wa fasta kama air41 ngoja nimcheki mmagamba 1 aniekekeze fundi mkali,maana wenyewe wanawatumia sn.KUNA KIPINDI HATA IKULU ILIKUWA INA MTAALAM MAALUM WA AINA HII.
Wale watu Milioni 1 tayari wameishachukwa kadi za Chadema? Tupeni Updates mliopo Arusha.