Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

huyu mtangazaji amesema lazima hao wahuni walioanzisha mfuko wa mbunge bila kushirikisha madiwani wa chadema lazima wavue gamba kama Mawazo alivyovua gamba akavaa gwanda.

Huyu Mawazo ni nani?

diwani wa zamani sombetini
 
Kati ya ilani alizoahidi Slaa wakati wa kampeni ambazo cdm inaelekea kuzitekeleza ni KATIBA MPYA.
Sio maneno yangu ni diwani wa Sekei Mh. Crispin Tarimo.
 
Zamu ya Diwani Isaya Doita diwani wa Ngarenaro
 
Watu wamejaa wakuu,. Mkutano bado hujanza tunawasubiri viongozi wafike
 
Diwani wa Chadema anazungumza sasa ktk kujaribishwa na kasema ndani ya manispa ya Arusha umeshafanyika ufisadi mkubwa na Meya Wa Arusha akishirikiana na madiwani wa ccm.Amedai ufisadi mmojawapo ni manispaa ktk taarifa zake wanadai wameshatoa ajira za vijana 50 kati ya vijana 150 wanaotarajiwa kupewa ajira kuwa wameshaajiriwa na kila siku vijana hawa hupewa kiasi cha sh 10,000/= Kama malipo.Vijana hawa inadaiwa wanakusanya ushuru Wa manispaa.Amedai pia risiti(stakabadhi)wanazozitoa manispaa hazina mihuri ya manispaa ktk kukusanya huku ushuru.Manispaa ni moja lakini pana ushuru Wa kulipia maegesho ya magari ambapo pana kampuni Zaidi ya moja zinazotoza ushuru ndani ya manispaa moja.Unalipia ushuru mara mbili Wa kuegesha magari isivyo halali.0
 
mwenyekiti wa madiwani; Isaya Doita

Sisi kama madiwani pamoja na kwamba tumebaki wachache tunapambana na kila hali katika manispaa yetu..

Mwaka Jana ilikuwa Bil 48 na sasa bil. 56 lakini watendaji wakuu Meya na Mkuruganzi hawajishughulishi na taasisi za uma kama hospitali, mashule n.k

Shime wananchi wote tuwe viongozi na tuwafinye viongozi wote katika maeneo yetu na kama viongozi hawana uwezo tuwawajibishe!!

Uadilifu unaanza na kila mmoja wetu, tufanye kazi kwa bidii..

Walikuwa wanasema vijana wanmkimbilia Lema na sasa wanasema vijana wamfuate sasa.

Namwambia mwanasheria wa manispaa kuwa Lema atarudi kuwa mbunge watake wastake!!

Wao wanakula kwa kupelekewa kodi, vijana wanhangaika, tutapambana mpaka mwisho!!
 
Natamani sn kufika,ila nipo mbali.Ile sayansi ya kiafrika huwa inatumika usiku tu?maana nasikia huwa ni usafiri wa fasta kama air41 ngoja nimcheki mmagamba 1 aniekekeze fundi mkali,maana wenyewe wanawatumia sn.KUNA KIPINDI HATA IKULU ILIKUWA INA MTAALAM MAALUM WA AINA HII.

ha ha ha ha.... umeniacha hoi.
 
Hivi sasa Madiwani wa Kata zinazoongozwa na Chadema wanasalimia na kuhutubia wananchi wakieleza hali ya siasa, utekelezaji wa majukumu yao na ueneshwaji wa vikao katika manispaa ya Arusha
 
Aisee natamani sana ningekuwa hapo NMC!!

Nasikiliza kwenye PC yangu ni nooooooooooma wakuu,

CCm maji machafu hayafai hata kuchamba!!
 
where are the updates!! sasa hata kama mwitikio umekuwa tofauti na mlivyotarajia si muwe wa kweli tu!! au kwa vile James Millya kaingia mitini!!????. poleni sana!!
 
Naipenda chadema ndo mana ccm wanajivua magamba/
ccm haifai ni kama maji machafu hata hayafai kuchamba/


teh teh nimekubali hi verse ya walioimba
 
Arusha Mambo itatangaza moja kwa moja [Live] mkutano huo kutoka Arusha kuanzia saa 8 Mchana, visit www.arushamambo.com kisha click "Sikiliza Arusha Mambo FM......" page ya tunein ikifunguka click LIKE ili kusikiliza,

Source: Arusha Mambo
asante mkuu,sasa nasikia live,viongozi ndo wanaingia hv sasa saa 9.30 na wimbo wa chadema..chadema..pipozz pawa unapigwa
 
Kila siku Arusha tu Makamanda jaribuni kujitanua kitaifa zaidi kuliko kikanda.

Lini tutasikia Chadema wameweka kambi maeneo mengine kama.

Kilwa.
liwale.
Ruangwa.
Nachingwea.
Newala.
Nanyumbu.
Tandahimba.
Ngara.
Karagwe.
Muleba.
Kyerwa.

Nenda na wewe huko, si nasikia umevua gamba?
 
Nimefika hapa uwanjani upepo ukiwa umetulia,baridi kama kawa hapa Arush na watu wameanza kujitokeza ktk mkutano huu uliomahsusi kuzindua mpango uitwao 'VUA GAMBA VAA GWANDA' karibuni sana ktk eneo hili maarufu 'chadema square' 2peane updates..

DALLAI LAMA umesusa kutoa updates...!!
 
Aiseeeeeeeeeee!!

Hiyo reggae imegongwa na nani??
 
Back
Top Bottom