Mkutano wa CHADEMA Mwanza,leo tar 15.8.2013

Mkutano wa CHADEMA Mwanza,leo tar 15.8.2013

CCM kwishneiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Wenzenu wako bize na madawa ya kulevya na kushutumiana na madiwani kule Mwanza, kazi moja. tandika kwote kwote!
 
Amepanda Wenje namshugurikia kinana anasewa ni jangiri namba moja.
 
Wenje anatema Sumu. Anasema Kinanaaaa!! watu waitikie "weka mbali na tembo".
 
atakayemfuata wenje aingie kwa salamu hii pia!!
Nchembeeeeeeee "gaidi no.1" weka mbali na roho za watu.
 

Attachments

  • 15082013777.jpg
    15082013777.jpg
    279 KB · Views: 885
kasimu kangu ka mchina kameshindwa kupata picha vizuri.

Nyingine kutoka uwanja wa magomeni. Samahani nimetumia mchina kupiga picha.
 

Attachments

  • 15082013778.jpg
    15082013778.jpg
    441.2 KB · Views: 876
Kamanda Mnyika ameshamaliza, sasa ni zamu ya kamanda mzee anga, Mbowe anashusha elimu ya uraia.
 
Back
Top Bottom