Mkutano wa CHADEMA Mwanza,leo tar 15.8.2013

Mkutano wa CHADEMA Mwanza,leo tar 15.8.2013

Mbowe+kuwasili+Shinyanga.JPG
 
makamanda njooni hata kigoma mbona mmetususa. tangu 2010 hakuna hata kiongozi aliye kuja kg. wanajamvi nisaidien kwa hili
Hawawezi kuja kwa kuwa Zitto hana mahusiano mazuri na wanahisa
 
Kwenye mkutano waCHADEMA ukitangazwa kuanza saa nane mie nafika saa nne asubuhi ili niwahi nafasi
 
nyomiiii ya leo.matata preeeeeeeeeeeeesha juuu
 
NAkushukuru kwa kua muelewa.GENGE la wahuni wachache ni SHONZA,MTELA,HABIB na madiwan wa ARUSHA tuliowafukuza.kwaiyo GENGE LA WAHUNI WACHACHE UNALOLISEMA HALIPO TENA.
Hahaha hahaha hahaha hahaha kamanda umeshusha nondo.
 
Back
Top Bottom