Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Halafu hawahawa ndo walioratibu tamko la Zito na Kitila, Serena na kuendelea kuandaa matamko huko pembezoni. Lakin MUNGU mkubwa. hawajafanikiwa kuharibu move ya chadema mpaka leo, na hawataweza kamwe

Msukumo wa hisia huu..
 
Kama unafikiri ni mpuuzi,anzisheni Chama chenu,mnapiga kelele wakati wahusika wapo chamani wanaendelea na shughuli zao.
 
BAVICHA endeleeni kudanganya watanzania ambao hawakuwepo eneo la tukio, kwa taarifa yako aliyezungumza ni Mwenyeiti CDM Wilaya na M/Kiti CDM wa Kanda na baadaye Babu Slaa aliponyenyuka tuu purukushani zikaanza na ukweli ni kwamba jiwe la uso lilimpata.

Weka picha tukuamini kama wewe ulikuwepo ktk hicho kikao maana watanzani tunatatizo la kudanganyana unasikia tetesi unaifanya ndo habari
 
Baada ya dr.slaa kuparamia jukwa ,wanainchi wa kasulu kuka stand bye kwakumsikiliza,gafla mabango yakapandishwa hewani na vurugu kwasana.dr akawaomba wanainchi kutulia ili aweze kusoma mabango ilishindikana nahatimaye watu wasio fahamika wakaanza kurusha mawe,polisi hawakuchewa kurusha mabomu ya machozi,watu wakatoweka eneo la tukio,walipo rudi kuendelea na vurugu dr.slaa jukwaani hayupo tena na wafuasi wake wameondoko.mkutano hakufanyika.kwasasa anaelekea kigoma sipati picha itakuwaje!
.

... bilashaka hao watakuwa ni abiria wa gari hili, lilo Kukosa mwelekeo

attachment.php
 
Mwache atandikwe! Asiefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu.Amescha kanisa kwa ajili ya siasa Laana ya Mungu ndio inayomtesa sasa, ona sasa siasa inamtokea puani,yaani anapopolewa kwa mawe kama kibaka vile! Chezea ZZK atakoma kuburuzwa na wachaga,Kwishney Babu Slaa.
 
Hata kama 100% ya kura zote alizozipata Dk Slaa zingekuwa zimetoka Kigoma, hatuwezi kukubaliana na hali hii tunayoiona kwa uhai wa CHAMA, kuwa na mapenzi kwa mtu kuliko chama ni kufilisika kisera na kifikra. Vyama vya namna hiyo havidumu hata kidogo. Ndio maana Mrema alipotoka NCCR kilikufa. Hivyo hatutaki haya yatokee kwa CDM. Nafikiri kama tatizo ni Zito basi aondolewe haraka, huu (Zito) ni uchafu au taka ndani ya chama. Ni bora wabaki wachache ambao wanaipa chama sifa yake stahiki kuliko -------- mmoj kukihodhi chama.

Lazima CDM kifanye maamuzi magumu kwa faida ya chama. Toka lini chama pinzani (CCM) ione kwenye chama kingine kuwa baadhi ya wanachama wanaonewa? Kwa nini tusione jambo hili kama mtego wa CCM? Wao CCM wamekuwa wa kwanza kutetea huu uchafu (Zito) ndani ya CDM halafu sisi tunaona kuwa ni sawa. Heri nusu shari kuliko shari kamili, fukuza wababaishaji ndani ya chama.

Zito angekuwa na mapenzi mema na CDM, basi angewaonya mashabiki wake kuwa chama ni zaidi ya yeye hivyo waheshimu maamuzi ya chama hata kama ni machungu. Tofauti na hivi ni kuwa analelea hali hiyo iendelee kutokea.

Najua pia kuwa mwisho wake umefika kisiasa hata kama chama kitaamua kumwacha ajifie mwenyewe. Pale ambapo chama kitamwacha abaki kuwa mwanachama ataendelea kukivuruga lakini kama walivyosema ''Debe tupu haliachi kulia'' atajifia mwenyewe.

Tuone sasa hali itakuwa vipi.

Mungu ilinde CDM na uwasamehe hawa wahuni kwa kuwa ni tamaa ya madaraka na utoto unawasumbua.

Hakuna aliyekukemea wewe kwa kumuita uchafu.. takataka... yeye akemee nini???
 
Mwache atandikwe! Asiefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu.Amescha kanisa kwa ajili ya siasa Laana ya Mungu ndio inayomtesa sasa, ona sasa siasa inamtokea puani,yaani anapopolewa kwa mawe kama kibaka vile! Chezea ZZK atakoma kuburuzwa na wachaga,Kwishney Babu Slaa.

mbona kikwete anaburuzwa na mchaga edward lowasa! Je mnataka na sisi kama wanachadema tuanze kuubili siasa kama za kwenu?
 
sasa huo ni ujinga au ushamba,siasa za kurushiana mawe yanamuongezea nini zitto kama sio Kumpunguzia heshima,zitto ongea na mdogo wako aache kuratibu the type of hooliganism we are experiencing...umekuwa ukipreach kwamba wewe ni muumini wa siasa safi,sasa imekuaje leo wapambe wako wanakuaribia sifa na wewe usemi kitu
lies.jpg
 
Niliwahi kuambiwa na watu watu wa kigoma wana asili ya burundi, nimeamini kabisa! Kilichofanyika kigoma hakikubaliki hata kidogo, pia kitendo cha zitto kukaa kimya dhidi ya uharamia uhuu ni zaidi ya usaliti. Nimeamini watu wa kigoma si watanzania halisi.
 
Jinsi vurugu zinavyoelezewa tbc ingeishazirusha hewa, tv ya taifa, au kigoma ipo nchi nyingine?
 
Baada ya dr.slaa kuparamia jukwa ,wanainchi wa kasulu kuka stand bye kwakumsikiliza,gafla mabango yakapandishwa hewani na vurugu kwasana.dr akawaomba wanainchi kutulia ili aweze kusoma mabango ilishindikana nahatimaye watu wasio fahamika wakaanza kurusha mawe,polisi hawakuchewa kurusha mabomu ya machozi,watu wakatoweka eneo la tukio,walipo rudi kuendelea na vurugu dr.slaa jukwaani hayupo tena na wafuasi wake wameondoko.mkutano hakufanyika.kwasasa anaelekea kigoma sipati picha itakuwaje!
.

kusema ukweli nimechukizwa sana na tabia ya kumpiga Mawr dr Slaa,vijana wa chadema hawana nidhamu kwa kiongozi ambaye mimi ni kama mzazi kwangu,ni dhambi mbele za Mungu kumdhalilisha mtu kisa siasa,imani ya ccm chama changu ni upendo,waliohusika wachukuliwe hatua kali za kinidhamu
 
Slaa alienda Kigoma kumuonyesha Zitto kwamba yeye si chochote si lolote. Lakini Mziki wake ameuona na imekula kwake. UBISHI UBISHI TUU, HUYU MZEE HAAMBILIKI
 
Hivi kapigwa kweli????!!!!!!!

Nchi haitatawalika!!!!!!

Muwe mnaweka akiba ya maneno ati sio mkipandwa mizuka mnasema bila kuchuja! !!!!!!!

Hapo mawe tu bado mortars,granades na mengineyo ya caliber tofauti....amri ya time limit na hakuna mikusanyiko!!!!!!!

Mpime kauli zenu next time;mwenyeezi Mungu ampe afueni kama kaumia




Ni ya kheri kuwa maskini wa kipato kulko maskini was kifkira,mtumwa wa kifkira hata angekuwa na digrii ngapi kamwe hawezi kuwa mwelewa hadi kiama.
 
Hivi huko kigoma hakuna hata mtu mwenye kasimu ka mchina kenye kamera. Maana hizo "vurugu" kwa jinsi mnavyozieleza isingeshindikana kupata japo kapicha kamonga. Jinsi magamba mlivyojipanga kutekeleza propaganda hii iweje mshindwe kuleta picha za hizo vurugu?

Watapokonywa hizo Simu zenyewe na kina Lema kama walivyofanya kwa Mwigamba.
 
Back
Top Bottom