MASIKITIKO
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 959
- 429
Kuendelea kukaa na Zitto ndani ya Chadema sawasawa kukaa na Bomu lililo expire
kijana wapi..wakati ni mzee kabisa ( kapuya) ..vijana hawana mawazo ya ubakaji ( usaliti)
hakika zzk hatufai tena makamanda...aende tu ccm
akafie mbali iskariote
Tufinyange tutupe kule...sielewi kwanini Zitto bado Yuko CDM mpaka leo
Hakika kinachoendelea Kigoma dhidi ya Dr. Slaa kina uhusiano mkubwa na uchochezi wa ZITTO. Nasema hivi kwa sababu ukichunguza kiundani utaona kuwa wanaoeneza siasa za kuwapinga kina Slaa na Mbowe ni wafuasi wa Zitto na si wafuasi wa CHADEMA. Inavyoonekana ni kuwa wafuasi wa Zitto walioko Kigoma, Arusha, Singida na hata Mwanza wanafuata mtu ndani ya chama na si maslahi ya chama. Ingekuwa watu hawa wana nia ya dhati na CHADEMA basi wasingemuunga mkono 'YUDA' huyu na kusubiri maamuzi ya chama baada ya 'YUDA'kujitetea. Ila, ni pendekezo tu kwamba, ili tufikie malengo yetu 2015 hatuna budi kumtupilia mbali Zitto kwani chama si yeye tu. Hatuwezi kupoteza nchi nzima kwa kufuga msaliti mmoja.......
Wakimvua uwanachama jiandaeni na maandamano ya nchi nzima......
Mi nashangaa kwanini wanamvumilia huyu mtu mpaka leo wakati ushahidi upo wa kutosha...
walioandika hapa ni watanzania wenye akili kabisa, walioaminishwa kuwa zitto ni msaliti na wakaamini, safari hii hawajaaminishwa na CCM , ila wameaminishwa na chadema
ujinga huu wa kuamini kila kitu pasi kutofikiria ndi umelipeleka taifa hapa
believe me, zitto aliko anatamani hali iwe shwari kabisa, vurugu hizi zinamharibia yeye na yeye hapendi
watanzania wenzetu hamjafikiria upande huu ila mmeamua kuandika vinyesi hivyo hapo juu
mwafrika ngozi ya ...........
Naomba kuuliza,hivi zile siku 14 hazijaisha tu?
Au mnamuogopa zzk
Wakimvua uwanachama jiandaeni na maandamano ya nchi nzima......
Wakimvua uwanachama jiandaeni na maandamano ya nchi nzima......
walioandika hapa ni watanzania wenye akili kabisa, walioaminishwa kuwa zitto ni msaliti na wakaamini, safari hii hawajaaminishwa na CCM , ila wameaminishwa na chadema
ujinga huu wa kuamini kila kitu pasi kutofikiria ndi umelipeleka taifa hapa
believe me, zitto aliko anatamani hali iwe shwari kabisa, vurugu hizi zinamharibia yeye na yeye hapendi
watanzania wenzetu hamjafikiria upande huu ila mmeamua kuandika vinyesi hivyo hapo juu
mwafrika ngozi ya ...........
Tufinyange tutupe kule...sielewi kwanini Zitto bado Yuko CDM mpaka leo
Zito afukuzwe!
Katafute waraka na uusome vizuuuuuriii...halafu rudi uchangie sasaTupe ushahidi na si maneno matupu