[h=5]Zitto aendeleaa kujimaliza kisiasa
Kwa siasa za namna hii,anazozifanya bwana Zitto kabwe kupitia kwa watu wanaojiita wafuasi wake ,natangaza rasmi anajimaliza kisiasa,kwa sababu CDM ni chama chenye wafuasi wengi sana nchini,hivyo kumfanyia vurugu mmoja ya viongpzi anaekubalika zaidi kisiasa nchini hasa na makundi ya vijana kma mimi ni kumkosea heshima Mungu,kumkosea heshima mtanzania,kumkosea heshima mwanaKigoma zaidi ni kumkosea heshima mwanaCHADEMA,naomba ieleweke wazi watu wanaobeba mabango na wanaojaribu kufanya fujo kwenye mikutano halali ya dk Slaa,wengi wao c wanaCDM ni magamba,then na kama wanatumiwa na Zitto hapa Zitto amekosea sana kwani ndo kwanza wanaCDM tunazidi kumchukia badala ya kumwonea huruma,me nafsi yangu inanituma kuwaza kwamba Zitto c mwana CDM bali anatumiwa na CCM,haiwezekani wananchi ,wanaCCM na hata wavuta bangi wanafanya fujo na kuvunja amani kwa kulitumia jina lake kuhalalisha upumbavu wao then yeye ameekaa kimya,anavuta hewa ya Dodoma,then anajiita mwanaCDM ,atasema anaipenda CDM?mnafiki tu ndo anaweza fanya hivyo,watu wanatoa matamko yanayokidhalilisha chama yeye kimya,watu wanafanya fujo kwenye mikutano ya CDM yeye kimya,watu wanapiga propaganda zinaotaka kuangamiza chama yeye kimya,wana CDM tulikuwa tunapigwa mabomu yeye kimya,watu waliuawa Arusha,mwanza,Singida,Morogorona Iringa yeye kimya,then anauota urais na kuulilia uenyekiti wa chama.aibu SANA,Kwa kiongozi mwenye busara na mapenzi mema na nchi na chama,mala baada ya maamuzi ya kamati kuu,angetulia na kusubiria maamuzi zaidi ya chama,bt imekuwa kinyume chake kutwa anatembea bize na namba za CM za waandishi wa habari na watangazaji kuwaomba wamfanyie mahojiano ili kupata huruma ya UMMA(Ostrich theory)ya kuficha kichwa huku mwili ukiwa nje,ameshindwa kukemea hata maadui wa chama(CCM)wanaokesha kutwa kumtetea na kumwongelea,nauliza umakini wa Zitto upo wapi?siasa safi iko wapi?ama ndo kuwatumia vijana wenzake kisiasa kma kina Mtela,kafulila,SHONZA,Nyakarungu,Gwanchele,Chagulani na Mchange ambao ndoto zao za kumtetea mtanzania kupitia CDM zimezikwa kwa sababu yake huku yeye akiendelea kukumbatiana na adui zetu kisiasa?me namwambia CDM ni ya watanzania wote, hao watu wanaolipwa na CCM kwa maagizo yake ili kufanya vurugu kwenye mikutano ya CDM huko Kigoma yanatuchukiza sana kwanza kama watanzania zaidi kama wana CDM,Binafsi kwa matendo yake ninatokea kumchukia sana na vitendo vyake huku akijifanya mzalendo..hatufai huyu ndani ya chama.[/h]