Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Zitto tayari amefikia mwisho wa zama zake, cdm Kamwe msifanye losa kutomuondoa kwenye chama. Msaliti adhabu yake ni kifo tu. Tusiwe na soga wala huruma tulikomboe Taifa letu toka mikononi mea mafisadi.
 
Acha kuwa taahira, Tanzania hii sasa hakuna mtu asiyejua kuwa Zitto anatumika wenye busara wanajua na huwa tunasema "time will tell" lakini anguko la Zitto ndo limeshafika atawatumia vijana wasio jitambua kwa mda mfupi sana lakini mwisho watakuja kukumbuka na kujitambua.

taahira ni wewe unaeshindwa kujibu hoja , unaishi kwa propaganda-andika hoja zako hapa
 
Zitto tayari amefikia mwisho wa zama zake, cdm Kamwe msifanye losa kutomuondoa kwenye chama. Msaliti adhabu yake ni kifo tu. Tusiwe na soga wala huruma tulikomboe Taifa letu toka mikononi mea mafisadi.

kama chadema ilivyofikia, kutoka kwenye kushangiliwa mpaka kupigwa mawe-sudden fall
 
Amepewa siku 14 sio 11. Kama wewe ni mwanachama wa Chadema kama unavyodai, ulipaswa kujua kwamba hizo siku 14 zipo kikatiba kabla mwanachama hajafukuzwa uanachama !

Waliotoa huo ujumbe na kuleta fujo ni watu wasiozidi 20, ambao kwa dalili zote inaonyesha ni mapindikizi ya CCM. Kama hao ndio unaona wanawakilisha wana-kigoma, basi nadhani nitakuwa sijafanya makosa nikikufananisha na kichaa anayefikiria kwamba yupo timamu !

Wengi mtakubaliana nami kuwahatma ya ZZK ndani ya CDM ilishafahamika kitambo, na hii imekuwa ikijidhihirisha kutokana na kauli mbalimbali zimezokuwa zikitolewa na viongozi mbalimbali waandamizi ndani ya Chama na kupokelewa kwa ushabiki mkubwa na baadhi ya watendaji ambao kwa namna moja au nyingine Siasa na Misimamo ya ZZK kwao wao imekuwa shida kubwa katika kujitimizia malengo yao binafsi.

Muda wasiku 11 ziliztolewa imefika mahala watu wameona ni kiini macho na unafiki kwani muda huo ulilenga kukiwezezesha Chama zaidi kupima upepo wa wanachama kufuatia azma hiyo ambayo iliyolengwa kutekelezwa hivi karibuni na sio kumuwezesha ZZK kutolea ufafanuzi hoja zilizowasilishwa kwake.



kumekuwa na maswali mengi pia kwanini SLAA kalazimisha kufanyika kwa ziara ya kile alichokiita ujenzi waChama kwa mikoa iliyoanishwa na Kurugenzi ya Habari ya CDM na kwanini pamoja na tahadhari nyingi amezokuwa akipewa kutoka kwa uongozi wa Chama Mikoa, hasa Mkoawa Kigoma bado ameendelea kung'ang'aniza uwepo wa ziara hiyo? swali ndilo lililonisukuma hasa kuanzisha uzi huu kwani sehemu nyingi lilipoulizwa Swali hili na maswali mengine mengi yenye kufanana na hili nimeona yakijibiwa kiujanjaunja.

Ukweli ni kwamba SLAA kaagizwa kwenda Kigoma kutest zari, mfano wa yule mpelelezi wa kikoloni, watu waHistoria mtanikumbusha nadhami alikuwa akiitwa (Karl Peter) kuona mwitikio wa watu wa Kigoma ni vipi wanaupokea uamuzi wa CCya CDM kumvua uongozi ZZK na suala la kumvua uanachama lililopangwa kutekelezwa hivi karibuni, hii inatokana na ukweli kwamba CDM ilijijengea wanachama waaminifu na waadilifu sana mkoani Kigoma kupitia ZZK tofauti na sehemu nyinginezo ambapo masilahi binafsi yamekuwa mbele zaidi. Mfano katika Uchaguzi wa mwaka 2010 SLAA alipata 40% KIGOMA ikilinganishwa na Kilimanjaro ambapo alipapata 5% pamoja na kwamba ndipo chama hicho kilipoasisiwa( HAPA NDIPO UTAONA ILE DHANA YA SHAMBA KUWA MBALI NA NYUMBANI ilipotekelezwa kwa vitendo na wana Kilimanjaro)

Wana Kigoma kwa umoja wetu tumempa ujumbe mzuri sana SLAA kwamba sisi sio WAJINGA kama wamevyokuwa wakijidanganya, isipokuwa watu wa Kigoma ni WAAMINIFU na WAADILIFU na hilo la uaminifu ndilo limelokuwa likiwasumbua sana dhidi ya ZZK. Habari ya kuwa tunakipenda CHAMA na sio MTU tumekwambia kwa vitendo kuwa NO ZITTO =NO CHADEMA KIGOMA, wanachotufanyia CDM ni DHIHAKA yakutupima uelewa wetu watu wa KIGOMA. SLAA (a.k. a Karl Peter) nenda kawaambie waliokutuma kuwa hivvyo ndivyo tulivyo watu wa KIGOMA na wala sio CCM wala nini kama mmevyokuwa mkijifariji, mimi mwenyewe nilieandika uzi huu ni mwanachama wa CDM-kazi kwenu, mkitaka mfukuzeni na mkitaka fanyeni mnavyotaka.

Lakini kadhia hii imetufungua macho Watanzania wengi juu ya Unafiki wenu. Kwanini Lema/ Chama mumchukie ZZK kwa kukataa posho? mumuchukie kutaka kutekelezwa kwa dhana ya Demokrasia kwa vitendo kwa kuendesha chaguzi ndani ya Chama kwa uwazi, matumizi ya fedha za Watanzania kwa uwazi(MAMBO AMBAYO YANGESAIDIA KUKITOFAUTISHA CHAMA HIKI NA VILE VILIVYOONEKANAKUUKUMBATIA UFISADI?) Acheni hizo, watu wanajitambuasana siku hizi kuliko mnavyokuwa mkidhani, tumefika mahala KURUGENZI YA HABARIKUWEKA PICHA ZA UONGO na SLAA kugonga LIKE , Kweli huku ndiko tulipotaka Chamakifike kweli-mmekuwa tayari kukiua Chama kuliko ninyi kukosa masilahi yenukweli? Kweli akina ARFI, DR . KITILA,Prof BAREGU na wengine wengi wote hawjitambui na ni wazandiki na MSIGWA, LEMA,LISSU ndio wenye machungu na wanaojitambua? Ndugu zangu hatuwezi kuiendelezanchi hii kwa misingi hiyo
 
Wameanza na shaetani pale ubungo plaza watamalizana shetani kigoma

wanaacha kwenda kukijenga Chadema wasipojitambua KLm (5% uchaguzi wa 2010) eti wanakuja kujenga chama Kigoma tunaojitambua (40%) uchaguzi wa 2010-hakuna maandamano wala nini KLM_falsafa tumeitambua
 
Watanzania tumeapa kuitokomeza ccm hata kama ccm wataendelea kuhujumu mikutano ya chadema. CCM endeleeni kuvuruga amani katika mikutano ya chadema lakini mjue kwamba Hatuko tayari kuendelea kutawaliwa na Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi. Maana halisi ya ufisadi ni Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi hivyo ccm msizani maovu yenu kuyaita ufisadi maana yake hatujui
Jamani acheni uongo na mwogopeni Mungu!! Hivi mnadanganya kwa faida gani? Ili iweje? Dr. Slaa kahutubia hadi kamaliza, Heche akahutubia hadi akamaliza, baadaye ndiyo vijana wanajitokeza na mabango na kuanza kurusha mawe. Polisi waliwadhibiti na mwenyekiti wa wilaya akafunga mkutano. Sasa huo uongo mnaopamba wa nini?
 
Sijaamini nilichokisoma leo magazetini kuhusu vurugu zilizotokea Kasulu Kigoma kwenye mkutano wa Dr. Slaa yaani wana kigoma mnakubali kutumikishwa na magamba kufikia hatua ya kumpiga kwa mawe Rais wetu mtarajiwa? Mna laani nyie wana kigoma japo si wote Mungu mkubwa hali itakuwa shwari tu na maccm aibu itawarudia. ZZK kwa nini hivyo lakini?

Mwenye taarifa anijuze hali ya Dr. wetu.

Nawasilisha wapenda mabadiliko mtaipenda mada hii!
 
Hivi huko kigoma hakuna hata mtu mwenye kasimu ka mchina kenye kamera. Maana hizo "vurugu" kwa jinsi mnavyozieleza isingeshindikana kupata japo kapicha kamonga. Jinsi magamba mlivyojipanga kutekeleza propaganda hii iweje mshindwe kuleta picha za hizo vurugu?
 
Zito angalia mara mbili , unapoteza muda wako CHADEMA , hiyo ni NGO yao hutakiwi, wewe sio wa kaskazini hawakutaki , sio lazima CHADEMA nenda upendapo , kuna watu wanaona CHADEMA ni sehemu ya DEAL zao sasa umewagusa mkono hawakutaki.
 
Ndugu!
Katika wiooote waliopata kuchangia mjadala Hui ningependa kukupa biiiiiiig upppppppp. Kwanza ni sahihi kabisa kwamba AKINA MANGI WAMESHAAMUA HATMA YA ZZK name swala la kumpa Siku 14 za kujieleza ni usanii.
Hawajiamini katika maamuzi wanayotarajia kuyachukua na hi yo wameamua kumtuma CARL PETERS aende akapime upepo was athari zitakazopatikana pindi uamuzi wao utakapofikiwa.
MAJIBU WAMEYAPATA NA NI MAJIBU MUJARAB..........
hawana akili Hawaii name wataendelea name uamuzi wao bila kujali athari. Nilishawahi Kusema "" MANGIZ AND PUPPETS ARE READY TO SEE CHADEMA DEAD,THAN SEE IT STRONG UNDER NON CHAGA LEADERSHIP""
kwa wachaga, chadema sio chama cha siasa Bali ni kikundi cha kutekeleza CHAGA DYNASTY. Any one who try to come across will be annihilated for good.
CARL PETERS kashapata ujumbe na head office wameshaisoma. Without ZZK, NO CHADEMA IN LAKE ZONE NOR WESTERN ZONE and with the CENTRAL ZONE gone! you remain with your NORTHERN ZONE which is equally shared with CCM.
------- Hawaii wanatunyima fursa ya kuitetemesha CCM kwa sababu ya kuendekeza uchaga
 
Watanzania tumeapa kuitokomeza ccm hata kama ccm wataendelea kuhujumu mikutano ya chadema. CCM endeleeni kuvuruga amani katika mikutano ya chadema lakini mjue kwamba Hatuko tayari kuendelea kutawaliwa na Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi. Maana halisi ya ufisadi ni Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi hivyo ccm msizani maovu yenu kuyaita ufisadi maana yake hatujui
Sisapoti vurugu. Nampa pole Slaa kwa kupigwa mawe. Nawaomba wananchi wa kasulu mutumie njia za amani kudai haki zenu
 
Hivi kapigwa kweli????!!!!!!!

Nchi haitatawalika!!!!!!

Muwe mnaweka akiba ya maneno ati sio mkipandwa mizuka mnasema bila kuchuja! !!!!!!!

Hapo mawe tu bado mortars,granades na mengineyo ya caliber tofauti....amri ya time limit na hakuna mikusanyiko!!!!!!!

Mpime kauli zenu next time;mwenyeezi Mungu ampe afueni kama kaumia
 
Baada ya dr.slaa kuparamia jukwa ,wanainchi wa kasulu kuka stand bye kwakumsikiliza,gafla mabango yakapandishwa hewani na vurugu kwasana.dr akawaomba wanainchi kutulia ili aweze kusoma mabango ilishindikana nahatimaye watu wasio fahamika wakaanza kurusha mawe,polisi hawakuchewa kurusha mabomu ya machozi,watu wakatoweka eneo la tukio,walipo rudi kuendelea na vurugu dr.slaa jukwaani hayupo tena na wafuasi wake wameondoko.mkutano hakufanyika.kwasasa anaelekea kigoma sipati picha itakuwaje!

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Zedekia Makunja alisema jana: “Ni ushauri tu tunatoa kwa Dk Slaa kwamba anaweza kuahirisha kutokana na hali ilivyo hapa.” Hata hivyo, Kamanda Makunja alisema pamoja na yote hayo bado Polisi mkoani, Kigoma imejipanga imara kukabiliana na vurugu zozote zinazoweza kutokea katika ziara hiyo.
Lakini Dk Slaa alipoulizwa kuhusu ushauri huo alisema hawezi kufuta ziara hiyo na kusema hahofii chochote. Alisema na alishafahamu siku nyingi kuwa hayo yanayotokea. Juzi, vijana mbalimbali waliandamana kwa pikipiki na wengine wakitembea kwa mguu huku wakiwa na mabango kupinga ziara ya Dk Slaa Kigoma. Anatarajiwa kuwasili Kigoma Kaskazini keshokutwa.
Nani wa kulaumiwa kwa chochote kitakachowakuta watu wakaidi?

Source Mwananchi
 
Baada ya dr.slaa kuparamia jukwa ,wanainchi wa kasulu kuka stand bye kwakumsikiliza,gafla mabango yakapandishwa hewani na vurugu kwasana.dr akawaomba wanainchi kutulia ili aweze kusoma mabango ilishindikana nahatimaye watu wasio fahamika wakaanza kurusha mawe,polisi hawakuchewa kurusha mabomu ya machozi,watu wakatoweka eneo la tukio,walipo rudi kuendelea na vurugu dr.slaa jukwaani hayupo tena na wafuasi wake wameondoko.mkutano hakufanyika.kwasasa anaelekea kigoma sipati picha itakuwaje!
.

Huyo mzee mpaka wamtowe macho ndio ajuwe ameshajiishia kumbe.Rudi kanisani we Babu umesha chuja kwenye siasa, mpaka unapopolewa kwa mawe hujaelewa tu hakuna anaetaka kusikia upuuzi wako.
 
Watanzania tumeapa kuitokomeza ccm hata kama ccm wataendelea kuhujumu mikutano ya chadema. CCM endeleeni kuvuruga amani katika mikutano ya chadema lakini mjue kwamba Hatuko tayari kuendelea kutawaliwa na Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi. Maana halisi ya ufisadi ni Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi hivyo ccm msizani maovu yenu kuyaita ufisadi maana yake hatujui

Mwambie mbowe asitumie rasilimali za chama ikiwemo wewe kuimarisha kambi yake.
 
Back
Top Bottom