Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Kuna kiongozi yoyote wa CDM amewakana vijana waliomchafua Zzk??

Sio kumkana mtu tu. pia chama kimekana kuhusika na ule waraka uliomtuhumu Zito juu ya mabilioni ya Ujerumani. Zito ndo tatizo
 
Wengi mtakubaliana nami kuwahatma ya ZZK ndani ya CDM ilishafahamika kitambo, na hii imekuwa ikijidhihirisha kutokana na kauli mbalimbali zimezokuwa zikitolewa na viongozi mbalimbali waandamizi ndani ya Chama na kupokelewa kwa ushabiki mkubwa na baadhi ya watendaji ambao kwa namna moja au nyingine Siasa na Misimamo ya ZZK kwao wao imekuwa shida kubwa katika kujitimizia malengo yao binafsi.

Muda wasiku 11 ziliztolewa imefika mahala watu wameona ni kiini macho na unafiki kwani muda huo ulilenga kukiwezezesha Chama zaidi kupima upepo wa wanachama kufuatia azma hiyo ambayo iliyolengwa kutekelezwa hivi karibuni na sio kumuwezesha ZZK kutolea ufafanuzi hoja zilizowasilishwa kwake.

kumekuwa na maswali mengi pia kwanini SLAA kalazimisha kufanyika kwa ziara ya kile alichokiita ujenzi waChama kwa mikoa iliyoanishwa na Kurugenzi ya Habari ya CDM na kwanini pamoja na tahadhari nyingi amezokuwa akipewa kutoka kwa uongozi wa Chama Mikoa, hasa Mkoawa Kigoma bado ameendelea kung'ang'aniza uwepo wa ziara hiyo? swali ndilo lililonisukuma hasa kuanzisha uzi huu kwani sehemu nyingi lilipoulizwa Swali hili na maswali mengine mengi yenye kufanana na hili nimeona yakijibiwa kiujanjaunja.

Ukweli ni kwamba SLAA kaagizwa kwenda Kigoma kutest zari, mfano wa yule mpelelezi wa kikoloni, watu waHistoria mtanikumbusha nadhami alikuwa akiitwa (Karl Peter) kuona mwitikio wa watu wa Kigoma ni vipi wanaupokea uamuzi wa CCya CDM kumvua uongozi ZZK na suala la kumvua uanachama lililopangwa kutekelezwa hivi karibuni, hii inatokana na ukweli kwamba CDM ilijijengea wanachama waaminifu na waadilifu sana mkoani Kigoma kupitia ZZK tofauti na sehemu nyinginezo ambapo masilahi binafsi yamekuwa mbele zaidi. Mfano katika Uchaguzi wa mwaka 2010 SLAA alipata 40% KIGOMA ikilinganishwa na Kilimanjaro ambapo alipapata 5% pamoja na kwamba ndipo chama hicho kilipoasisiwa( HAPA NDIPO UTAONA ILE DHANA YA SHAMBA KUWA MBALI NA NYUMBANI ilipotekelezwa kwa vitendo na wana Kilimanjaro)

Wana Kigoma kwa umoja wetu tumempa ujumbe mzuri sana SLAA kwamba sisi sio WAJINGA kama wamevyokuwa wakijidanganya, isipokuwa watu wa Kigoma ni WAAMINIFU na WAADILIFU na hilo la uaminifu ndilo limelokuwa likiwasumbua sana dhidi ya ZZK. Habari ya kuwa tunakipenda CHAMA na sio MTU tumekwambia kwa vitendo kuwa NO ZITTO =NO CHADEMA KIGOMA, wanachotufanyia CDM ni DHIHAKA yakutupima uelewa wetu watu wa KIGOMA. SLAA (a.k. a Karl Peter) nenda kawaambie waliokutuma kuwa hivvyo ndivyo tulivyo watu wa KIGOMA na wala sio CCM wala nini kama mmevyokuwa mkijifariji, mimi mwenyewe nilieandika uzi huu ni mwanachama wa CDM-kazi kwenu, mkitaka mfukuzeni na mkitaka fanyeni mnavyotaka.

Lakini kadhia hii imetufungua macho Watanzania wengi juu ya Unafiki wenu. Kwanini Lema/ Chama mumchukie ZZK kwa kukataa posho? mumuchukie kutaka kutekelezwa kwa dhana ya Demokrasia kwa vitendo kwa kuendesha chaguzi ndani ya Chama kwa uwazi, matumizi ya fedha za Watanzania kwa uwazi(MAMBO AMBAYO YANGESAIDIA KUKITOFAUTISHA CHAMA HIKI NA VILE VILIVYOONEKANAKUUKUMBATIA UFISADI?) Acheni hizo, watu wanajitambuasana siku hizi kuliko mnavyokuwa mkidhani, tumefika mahala KURUGENZI YA HABARIKUWEKA PICHA ZA UONGO na SLAA kugonga LIKE , Kweli huku ndiko tulipotaka Chamakifike kweli-mmekuwa tayari kukiua Chama kuliko ninyi kukosa masilahi yenukweli? Kweli akina ARFI, DR . KITILA,Prof BAREGU na wengine wengi wote hawjitambui na ni wazandiki na MSIGWA, LEMA,LISSU ndio wenye machungu na wanaojitambua? Ndugu zangu hatuwezi kuiendelezanchi hii kwa misingi hiyo

Kama ni kweli sasa inamaana ZITTO KABWE hatafaa kuwa Rais sababu ataleta Matabaka...

Ni ikianza kwa Dr. Slaa itafuata kwa wanasiasa wengine... that's the END OF TANZANIA We LOVE and CHERISH for years

Maneno ya NYERERE yanaanza kuonekana ???
 
napita tu....,ila waache watoe mapovu,wafuasi wa zzk nawashauri muanzishe chama kingne ili jamaa yenu awe mwenyekiti,zito ana grandiose,na ndo tatizo
 
Zito u have a bright future achana na mini kabang na wachumia tumbo
 
Mimi ni mfuasi wa ZZK, avatar yangu ni ushahidi tosha.

Sipendi matendo ya viongozi wa Chadema, sipendi.
 
Wameanza na shaetani pale ubungo plaza watamalizana shetani kigoma
 
Vijana hawa ndio waratibu wa harakati hizi za kuvuruga mikutano ya Dr Slaa.

1.Habibu Mchange
2.Mtela Mwampamba
3.Adam Chagulani
4.Grayson Nyakarungu

Na hawa wote wamehamia ccm baada ya kufukuzwa Chadema.
Halafu hawahawa ndo walioratibu tamko la Zito na Kitila, Serena na kuendelea kuandaa matamko huko pembezoni. Lakin MUNGU mkubwa. hawajafanikiwa kuharibu move ya chadema mpaka leo, na hawataweza kamwe
 
Jamani acheni uongo na mwogopeni Mungu!! Hivi mnadanganya kwa faida gani? Ili iweje? Dr. Slaa kahutubia hadi kamaliza, Heche akahutubia hadi akamaliza, baadaye ndiyo vijana wanajitokeza na mabango na kuanza kurusha mawe. Polisi waliwadhibiti na mwenyekiti wa wilaya akafunga mkutano. Sasa huo uongo mnaopamba wa nini?

BAVICHA endeleeni kudanganya watanzania ambao hawakuwepo eneo la tukio, kwa taarifa yako aliyezungumza ni Mwenyeiti CDM Wilaya na M/Kiti CDM wa Kanda na baadaye Babu Slaa aliponyenyuka tuu purukushani zikaanza na ukweli ni kwamba jiwe la uso lilimpata.
 
BAVICHA endeleeni kudanganya watanzania ambao hawakuwepo eneo la tukio, kwa taarifa yako aliyezungumza ni Mwenyeiti CDM Wilaya na M/Kiti CDM wa Kanda na baadaye Babu Slaa aliponyenyuka tuu purukushani zikaanza na ukweli ni kwamba jiwe la uso lilimpata.
Asante kwa taarifa sahihi mkuu, hawa jamaa wanajitahidi sana kuuficha ukweli. Ht itv walichakachua picha kwenye taarifa yao ya hbr
 
BAVICHA endeleeni kudanganya watanzania ambao hawakuwepo eneo la tukio, kwa taarifa yako aliyezungumza ni Mwenyeiti CDM Wilaya na M/Kiti CDM wa Kanda na baadaye Babu Slaa aliponyenyuka tuu purukushani zikaanza na ukweli ni kwamba jiwe la uso lilimpata.
Mkuu nakushauri uanzishe mada/ thred uelezee ilivyookuwa kwa usahihi ili watu wajue. Halafu weka na kwenye majukwaa mengine ya mitandao
 
Vijana hawa ndio waratibu wa harakati hizi za kuvuruga mikutano ya Dr Slaa.

1.Habibu Mchange
2.Mtela Mwampamba
3.Adam Chagulani
4.Grayson Nyakarungu

Na hawa wote wamehamia ccm baada ya kufukuzwa Chadema.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Kama mnawajuwa hawa hiyo red brigade ya Chadema kazi yake ni nini?

Mliwezaje kumdhibiti Fatuma Kimario tena akiwa na cheo cha mteule wa Rais ndio mnasumbuliwa na hawa kunguni?
 
Lazima msaliti tummbwage, Zitto anatuletea usaliti kwa hiyo kubwagwa ni lazima tu!!
 
Baada ya dr.slaa kuparamia jukwa ,wanainchi wa kasulu kuka stand bye kwakumsikiliza,gafla mabango yakapandishwa hewani na vurugu kwasana.dr akawaomba wanainchi kutulia ili aweze kusoma mabango ilishindikana nahatimaye watu wasio fahamika wakaanza kurusha mawe,polisi hawakuchewa kurusha mabomu ya machozi,watu wakatoweka eneo la tukio,walipo rudi kuendelea na vurugu dr.slaa jukwaani hayupo tena na wafuasi wake wameondoko.mkutano hakufanyika.kwasasa anaelekea kigoma sipati picha itakuwaje!
.

Mods unganisheni na ile nyingine
 
Back
Top Bottom