Tatizo letu wanaume hutaka kufanya mapenzi na kila mwanamke anayekatiza mbele yetu lakin wkt huo huo hatutaki kusikia kuwa mwanamke tunayemfuata amewahi kufanya mapenz na mwanaume mwingine, hapa ndipo huja swala la kujali bikira!Obsession!!!! imeshakaa kwenye mind za wanaume kwamba ukikata utepe demu hakusahau, eti mkikutana hata akiwa ameolewa ni rahisi kukupa tena!!! sijui maneno haya yana ukweli au vipi. Mimi niliyemdungua hata hamu naye sina tena ingawa huwa tunaonana mara chache chache ni salamu na story za hapa na pale basi!
Ni kweli unayoyasema afro, nafahau ujanja ujanja umekua mwingi siku hizi bt nataka kukuhakikishia km mwanaume ni mzoefu wa mambo hayo mwenye toyota huumbuka.Hongera kama utanpata Mwenye halisi .. wengi sikuhizi mnapewa Toyota unaona umeopoa BM..Kazi kweli kweli...
Kitu ya kichina ni vyepesi kuitofautisha na original, ugumu huwa kwa nje, ndani vyagundulika kiulaini!Wanaume mwenyewe hata wakiikuta pia wanasema "Ah hiyo ya ki China,wengine wanasema huwezi kununua kiatu bila kupima size yako manake uk wana size zao China wana size zao,mie kwa upande wangu naona chamsingi nikumuomba mungu akupe mke mwenye maelewano mtifu na muelewa,Bikra sioni kama ni jambo kubwa sana sababu baada ya kutoka bikra nini kinafata?
Kitu ya kichina ni vyepesi kuitofautisha na original, ugumu huwa kwa nje, ndani vyagundulika kiulaini!
Ofcoz its true, bt there are some girls/women with focus, kwao malengo ndio chachu ya kuzitunza bikira zao!virginity is lack of opportunity
Virginity isn't on the mind of somebody, it is something physical, observable and touchable, its destruction process is known, thats why ya kichina ni vyepesi kubainika... Kitamba cheupe mkubwa, umesahau?Virginity is on mind of person, not phyically seen or felt. Ukiona mkeo ana vidonda kibao vya wapenzi kabla hamjaoana basi hiyo hesabu hana, maana mwanamke aliyeachwa bila kutoa bikra ana maumivu kidogo kuliko aliyeitoa na mtu akaingia mitini. Je kazi ngumu na michezo haviwezi toa bikra.
Mapenzi ni hisia na zina viwango vyake , usije ukachezacheza ukadhani feeling ya mtu utake kuwa naye baada itakuwa safi. Hujiulizi kwa nini wanaume huona vema kuoa mtu ambaye hajulikani mtaani pale '' Historcial Background'' na mwanamke aweza olewa mbali na kwao kiurahisi. Halafu huyo mwanaume anayeweza sema nimeona ya kichina anazo kichwani kweli na wewe ukisikia nakusema utajiskiaje '' Hizo ni dharau'', hivi waweza simulia huo ufisadi waziwazi namna hiyo. Cha msingi wanawake kuweni wasiri na mahusuiano yenu wakati mkiwa wachumba kujishow ni mbaya maana mtu akupataye baadaye kama mambo hayataiva ataona kama gundu maana mtaa mzima watu wanakujua ukoje.Wanaume mwenyewe hata wakiikuta pia wanasema "Ah hiyo ya ki China,wengine wanasema huwezi kununua kiatu bila kupima size yako manake uk wana size zao China wana size zao,mie kwa upande wangu naona chamsingi nikumuomba mungu akupe mke mwenye maelewano mtifu na muelewa,Bikra sioni kama ni jambo kubwa sana sababu baada ya kutoka bikra nini kinafata?
Bado inathamani kubwa, japo hawa madada zetu wanajitahidi sana kutufanya tusiithamini hii kitu!Naitafuta kwa gharama yoyote ile!
Yap! Wewe ndio umekuja pale nipatakapo mimi, nataka kujua madhara na faida ya bikira, wengi wetu tumekua tukizungumzia kitendo cha kuondoa bikira kwa manamke pasipo gusia faida na hasara zake ktk mahusiano, kuna maswali matatu hapo! Mkuu kwa nin hutaki kusikia juu ya bikira?mie sipendi bikira maana zinazingua tu....tena nikisikia anasema na Bikira namwambia nenda katolewe kwanza then uje...