Mkutano wa CCM Mbeya

Kwa wale mliopoteza zenu poleni sana! Wanaume tunazisaka sana!
Mngekua mnazisaka na mnazitilia maanani hao “waliopoteza zao“ kama unavyowaita wote wangekua wake za watu kama ndio kigezo maana nao walikua nazo once na waliozitoa hawakuziona ni mali.Huwezi tu kusema mnazisaka (hapa sijui unaongelea wanaume wangapi) wakati nyie nyie ndio mliochukua za hao “waliopoteza“ na bado mkawaacha.Ukiweza kutetea hoja yako kwa kusema ni kwanini “hao waliopoteza zao“ bado wapo wapo ndo utakua umeonyesha kweli kwamba wanaume “WENGI“ kama unavyosema mwenyewe wanatilia maanani na kuthamini hizo bikira.
 
nilimwamini mwanzo, lakini nimekuja kugundua ni mzushi tu...... pale aliposema Richmond discussions BASI.... nikaona hee huyu Babu vipi?? kwanza umri umekwenda...hawezi kufikiri ... he cannot think, judge and decide....halafu bado yupo ndanwi ya CCM... huwezi kupigania haki ukiwa ndani ya CCM ya Leo...heb u atuondokee....
 
Mi naisaka kwa udi na uvumba, kama unayo nambie nitangaze ndoa!
 
6 ni mnyamwezi au msukuma, hawa jamaa wanatabia ya kutodhubutu kufanya sole decision. Ni waoga wanapenda kwenda kimakundi kama nyumbu wakiwatanguliza wengine wao wako nyuma. 6 hana uwezo wa kufanya kitu peke yake. Anayataka madaraka lakini anaogopa kuchukua risk ya kuikana ccm maana hana uhakika na matokeo ya maamuzi yake.

Mfano mwingine ni Mbunge mpiganaji wa Nzega Mzee Selelii aliyenyamazishwa kama moto uliomwagiwa maji ghafla.

Kutokana na uoga wa hili kabila amekaa kimya anasubiria hisani ya Jk labda ka ukuu wa wilaya au mkoa. Kama angekuwa mwanaume mwingine angeingia chadema na kulichukua jimbo lake bila jasho.

Wana siasa wa type hii hawawezi Kupambana na ccm hata kama wanajifanya kuipinga leo na kesho wanalazimishwa kwenda kuandamana mbeya wanakwenda.

6 hafai kuwa kwenye orodha ya wapiganaji nchi hii.

Huwezi kuwa ccm halafu ukajidai mpigananji. Wako wapi akina Mwakyembe na Eng. Manyanya? Kama kweli ni wapiganaji kwanini walikimbia CCJ.

Mkutano wa mbeya ulikuwa wa ccj nambayo ni nyumba ndogo ya ccm. Wanadhani 2015 ni zamu ya nyumba ndogo hiyo. Thubutu waatakutana na mizengwe ya kufa mtu ya JK mwaka huu ni wawenzetu wazanzibar au akina mama zetu!

Vyovyote itakavyokuwa iwe ni mke mkubwa au mdogo ccm haina mvuto tena!



.
 
Watanzania tunayo matatizo makubwa... Viongozi wetu hawana budi watupe mwelekeo wa kuweza kuyabadishi maisha yanayoeleka kuturudisha kwenye maisha ya karne ya kumi na mbili. Wimbo wa maamuzi magumu, kujivua gamba will not help us..

Nashukuru kwa JF. Hapa ndipo sebuleni kwangu siku hizi..
 
Wapendwa wana wa JF naomba mnikumbushe huenda nimesahau...ni line Sitta akiwa kama mbunge aliongea hayo aliyoyaongea mbeya? My feeling ni kwamba bungeni ndio sehemu sahihi za kujadili hoja hizo ambazo kwa kweli ni za msingi sana?
 
Mi naisaka kwa udi na uvumba, kama unayo nambie nitangaze ndoa!
Hayo ni mawazo yaliyoganda kwahiyo hata siku moja usitegemee mwanamke anaejielewa akaona ofa yako ni ya maana.Hiyo bikira haiishi milele na siyo itakayohangaika kulea ndoa.Nyie ndio wale mnao watu kwa sura zao siku akipata ajali tu mnakimbia!
 
Wana JF na declare kuwa Mbeya is my origin home. Hao wanachuo ni wakuja, inamaana mkutano haukuwa na mashiko kwa wakazi wa Mbeya. Sera za kizamani za kudanganya waTz, kuuza umeme nje wakati hata megawatt 800 hawajafikia miaka 50 ya uhuru. Kweli hii ni serikali legelege kuzidi hata Somalia. Mungu tuondolee hii laana ya CCM.
 
Mtanzania ya leo kwenye front page yenye font size ya 2000 wamesema,(Nanukuu) CCJ YAHAMIA MBEYA. Kwa hiyo list umeitaja hapo Mtanzania hawajakosea
 
Mkuu kwa wanachuo kupewa kadi za CCM wala halinipi shida kwakuwa wakati nipo chuoni na mimi nilijidanganya, ofcourse nilidanganywa pia kuwa ukiwa nje ya CCM ukimaliza chuo hutapata kazi kwa urahisi. Jambo ambalo baadae nilithibitisha kuwa ni ujuha grade one. Hao vijana ngoja wawe mtaani, wakutane na mfumo kandamizi wa ccm kwenye kila nyanja, waone mfumo unavyowabagua wasionacho, nakuhakikishia hizo kadi watazichambia na kutafuta za chadema wenyewe.
 
Hayo ni mawazo yaliyoganda kwahiyo hata siku moja usitegemee mwanamke anaejielewa akaona ofa yako ni ya maana.Hiyo bikira haiishi milele na siyo itakayohangaika kulea ndoa.Nyie ndio wale mnao watu kwa sura zao siku akipata ajali tu mnakimbia!
Hahahahahaa! Babygal unanifurahisha, ongoa hofu bwana!
 
mkuu tunashukuru sana,umejaribu sana kutulia ili taarifa ieleweke,
naomba niseme neno moja tu,kujiuzulu kwa yule fisadi ndio chanzo cha mkutano wa mbeya,
hiyo ilishapangwa kwamba ajiuzulu ili wapate nafasi ya kupenya kwa wanachi
lakini wanashindwa kuelewa hawa wananchi walishawachoka long time ago
 
big up duble cris kwa detailed taarifa ya kilichojiri Mby jana. heading ya Mtanzania sijaiona but kama wameandika hivo live at least we are now moving. bado njia ni nyeupe kwa cdm
 
Mimi napenda used.
Haina usumbufu.
Haina kuleteana ubabe.
Yaingia bila shida.
Napenda used.
 
Aina ya wasomi tulionao bongo ni laana tupu. How comes wanafunzi 300 wa TEKU wanajiunga na CCM? Yaani wanashindwa hata na wasukuma mikokoteni ambao wanaweza kuyaona matatizo ya nchi na kuikimbia CCM? Hapa ndo naona kabisa ukombozi wa nchi hii upo mbali sana.
 
Sita hapo kaongea kisiasa tu... mtu yeyote kuongea aliyoyaongea sita angeweza... Story kibao hakuna la maana... Sasa kama wao ndo kati ya CCM wasafi kwa nini asiseme katika tatizo la umeme mimi kama member wa BARAZA la mawaziri natoa mapendekezo a, b, c, d... ambayo yakitekelezwa na serikali then hili giza litateketea kabisa....Ila yeye ni kusema wenzake tu!!!! MAJUNGU, FITINA na UZANDIKI....

Na kuhusu CCJ why didnt he come out clean b4 hajatajwa??? Kipindi kapewa PROPOSAL ya kugombea URAIS CCJ why in the next morning didn't tell us??? SIASA MAJI TAKA.... He is also filthy RICH possibly more than RA!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…