Mkutano wa CCM Mbeya

ameanza hisitolia ya shuleni eti walisinzia chama kikaanza kuota gamba ameanza kuwaponda wapinzani wakipata kagimbo 1 wanashangilia wanaokoteza ajenda niliwapaka bungeni sasa wananinunia
 
Lengo la maandamano ni kwa wanaCCM wa Mbeya kuupongeza uamuzi wa NEC na Secretarieti mpya ya chama wa kuelekea kuijenga CCM katika mtazamo mpya, na Lengo la mkutano ni kuuelezea umma wa Mbeya zana nzima ya kujivua gamba na hatua zilizofikiwa mpaka sasa katika harakati za kukisafisha chama.

Kwa wale waliokaribu na mji wa Mbeya, mkutano huo utarushwa Live na Radio Generation FM.

mkuu asante kwa taarifa .... swali la nyongeza lenye kipengele a

a) je wanachokifanya kitapunguza mgao wa umeme?

nawakilisha
 
Lengo la mkutano ni kuelezea dhana ya kuvua gamba,wametangaza kwa siku 2 mfulilizo na kusisistiza watakaozumngumza kuwa ni

6
sendeka
nape
A Kilango
J Mhagama

Halafu mchana huu umeme hawajakata maeneo mengi ya Mbeya mjini,sijui kama ni kuwafurahisha visitors magamba
 
Kazaneni kutujuza,je yule diwani aliyejiuzuru amefika mkutanoni?angalie vizuri mtupe na picha kabisa.
 
J Muhagama hamna kitu, hilo ni kundi la kushindwa hawajawai kushinda move yoyote ile, Sitta aseme kwanza kwanini alikosa U-Spika.
 
Six anarudia rudia nadharia za Ngereja kuhs umeme. umeme eti ni la muda na wapinzani wanadandia!!
 
kaongeza mpya eti mbeya watazalisha umeme kutokana na miamba iliyopo mbeya!! kaongeza kwenye Inventory ya vyanzo vya umeme
 
kama kuna mtu yuko mbeya naomba atujuze kinachondelea kwenye maandamano na mkutano wa CCM. tupia hapa habari tujadili bandugu.
Great thinkers nimeangalia mkutano CCJ wakubwa na Vijana wao waliokuja hapa namuona SIX,NAPE bin NNAUYE bin MWANDOSYA,pia namuona Mwakiembe baba mdogo wa Nape,pia Namuona Anne kilango alietuambia watanzania kuwa anahongwa chai na Ngeleja,Pia namuona Mjane Jenista Muhagama huyu sijui kama na yeye ni CCJ.Sijaona cha maana zaidi ya Ngojera na kuongeza ahadi mpya kuwa Miamba itatoa umeme.Kwahiyo wana Jf waliokuja leo kutuletea kelele hapa Mjini ni wana CCJ walioko CCM.Toka jana usiku tumepewa buku 4000 kuhudhuria mkutanoni na Mabango kidogo wametupa sijaona la maana sana hapa .
 
Wakuu niko kwenye mkutano na kuna kelele sana ngoja ni sogee pembeni niwaajuze kinacho endelea huku
 
wakuu kwa kifupi ni kwamba wototo wa shule ndo wengi na wanaobakia ni wana magamba na uniform zao. ila ni kwamba kuna watu wamesombwa kutoka vijijini kuja kwenye mkutano.
 
Hao wanafunzi wanaowalazimisha wengi wao wanaipenda cdm so magamba wanajenga au wanabomoa chama chao?poor magamba.
 
Great thinkers nimeangalia mkutano CCJ wakubwa na Vijana wao waliokuja hapa namuona SIX,NAPE bin NNAUYE bin MWANDOSYA,pia namuona Mwakiembe baba mdogo wa Nape,pia Namuona Anne kilango alietuambia watanzania kuwa anahongwa chai na Ngeleja,Pia namuona Mjane Jenista Muhagama huyu sijui kama na yeye ni CCJ.Sijaona cha maana zaidi ya Ngojera na kuongeza ahadi mpya kuwa Miamba itatoa umeme.Kwahiyo wana Jf waliokuja leo kutuletea kelele hapa Mjini ni wana CCJ walioko CCM.Toka jana usiku tumepewa buku 4000 kuhudhuria mkutanoni na Mabango kidogo wametupa sijaona la maana sana hapa .
Kama viongozi wote wakuu wa CCJ walikuwepo basi mkutano wa CCJ ulifana sana.
 
orijino komedi wameshapanda? wakikaribia niambie mkuu mimi nipo hapa mabanda ya pembeni hao vijana huwa nawakubali sana
 
Hiyo miamba itatoa vipi umeme kama maji yameshindwa?wajibu hoja ya mfumuko wa bei,vyakula kupanda bei,umeme hakuna.
 
Six anarudia rudia nadharia za Ngereja kuhs umeme. umeme eti ni la muda na wapinzani wanadandia!!

Sita anajiondolea heshima aliyoanza kuipata kwa kuponda chadema. Hajui hapo mbeya ni wafurukutwa wakubwa wa cdm? Amuulize kilichompata Mpesya.
 
Hiyo miamba itatoa vipi umeme kama maji yameshindwa?wajibu hoja ya mfumuko wa bei,vyakula kupanda bei,umeme hakuna.
wanazidi kushangaza, sidhani kama wana majibu ya kuridhisha kwa hoja hizo!
 
Back
Top Bottom