Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Naona Wilson Mkama yupo jukwaani. Anasema wajumbe waliofanikiwa kufika 2304 badala ya 2356. Akidi imetimia kwa ajili ya uchaguzi.
 
Kama ilivyotarajiwa, Mh. Shibuda amepata fursa ya kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM, mjini Dodoma. Shibuda ni miongoni mwa waalikwa kutoka vyama pinzani lakini kwa gia ya kupendekezwa kuwa mwakilishi kutoka APRM.

Kweni Shibunda yupo kundi gani kati ya magamba yanayosuguana?
 
Mwanzo asubuhi nilikuwa nasikia sauti ya J.Shibuda kama mc ila sasa simsikii tena kuna ukweli hapo?
 
Nape yuko over excited anashangilia na mambo ya kijinga na kumwita Mrema mtoto wa nyumbani eti kwa sababu alikuwa CCM. HV kuna kitu ga\ni cha kujifunza CCM
 
Ankal Ben Mkapa ni kama kalazimishwa kuwepo mkutanoni
 
NAPE ndio anajifunza chadema kwa sababu kila akiifikiria chadema anachanganyikiwa.
ametumwa mwakilishi victor kimesera lakini wao wamemwalika shibuda ili kuona chadema wanasemaje.
 
Mukama anamkaribisha M/kiti kwa jeuri ya chama cha mapinduzi huku akitoa vijembe
 
Naona Mukama anabwajaja kweli kweli kama yupo kwenye jukwaa la kampeni
 
mimi si kuku kwamba nataga mayai,!lakini nina uwezo mkubwa wa kutofautisha yai bovu na zima,membe ni mnafiki na mbovu
 
M/kiti wa chama ndio anaongea teh teh teh mkwereeeee
 
Wakuu huyu EL tunayesikia yuko katika mbio za Ikulu, mbona amekosa tukio kubwa la chama chake? Bado hajarudi toka Ujurumani? Je agombei nafasi yoyote kwenye NEC TAIFA. Am real less informed on ccm issues.
 
halafu katajwa kwa Mbwembwe nyingi..ni ujumbe tosha wanazijua lugha za vitendo huyu jamaa ni wa kummaliza kwa mbwembwe hizohizo.
 
watu waviuu wa kufikiri utawajua tu kwa matus,narudia kuwa ni lowasa tu 2015
 
Huyu jamaa balaaa lazima ashindwe William Malecela (51),*
 
Natamani na leo nishuhudie ngumi mbele M/kiti sijui itakuwa hivyo?
 
Back
Top Bottom