Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Anapoteza muda tu, kichwani bado vipeperushi vinamzingua
 
Anampongeza Makamba kwa kufanya kazi nzuri ya kujenga chama, na anasema sio sahihi kwa yale aliyoanzisha yaishe baada ya yeye kustaafu...
 
Mkutano mkuu wa CCM Dom ulioripotiwa kugubikwa na rushwa -- yaani "Mkutano wa watoa rushwa wa CCM" una mustakabali gani kwa Watz wengi waliozama katika dimbwi la umasikini. Jee wananchi wanaweza kuwatarajia hao watoa rushwa kuwa na mikakati ya kuwainua hali zao.?

Ni swali la Msingi sana -- kwani mtoa rushwa ili apate wadhifa hawezi kamwe kuwa na lengo la kuwatumikia wananchi, bali ni kuchumia matumbo yao.
 
Naona Kikwete kama anamsifia sana Makamba kuliko katibu mkuu wa sasa Mkama. Huenda kile kinachosemekana Makamba kurudishwa kikatimia
 
hao waiba kura hawajasynchronize na back ground activities.Anaomba awasikie wengine wakati anajua kichwa chake hakiweza chambua mambo harakaharaka.Sasa anaanza mipasho na unyago ktk mkutano live wa chama.
 
kuna umuhimu wa kuwa na wanachama wengi, ili tuwe na kura nyingi za kuanzia
 
Rugeee huyu huyu ndio fundi mitambo atakiona mzee wa visasi dhaifu mwenyewe....lazima atamwadabisha na huku dhaifu leo hajiamini.
 
Kikwete; kuwa na kiongozi ambaye haguswi wala kushtushwa na hali mbaya ndani ya chama, bora asingekuwapo. Na kuwa na kiongozi anayefanya mabaya dhidi ya CCM yenyewe, sawa kuwa na nyoka (watu wanashangilia)
 
Kikwete simuelewimkwa kweli...haya kuna mtu kavua kiati kaweka miguu juu ya kiti...kheee
 
Back
Top Bottom