aparamiwe
halafu katajwa kwa Mbwembwe nyingi..ni ujumbe tosha wanazijua lugha za vitendo huyu jamaa ni wa kummaliza kwa mbwembwe hizohizo.
Kama ilivyotarajiwa, Mh. Shibuda amepata fursa ya kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM, mjini Dodoma. Shibuda ni miongoni mwa waalikwa kutoka vyama pinzani lakini kwa gia ya kupendekezwa kuwa mwakilishi kutoka APRM.