golwebo_mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 2,270
- 693
owky mister
kwani lazima, ile afya unaionaje!!??
hiyo ndo ccm,wananchi wanakonda, viongozi wananenepa, sikipendi chama hiki kama najisi.Kuna mazee yamevimba matumbo ****** makubwa yaani mpaka wanatia kinyaa, wanaume wana mawowo yaani harufu ya rushwa na ufisadi kwenda mbele!
kama ccm ni baba wa demokrasia basi, hiyo wapinzani hawafai kujifunza!Upinzani nao wamealikwa CDM imewakilishwa na Peter Kibasela Nape anawaambia amewaalika waje wajifunze Demokrasia. CCM baba wa Demokrasia
Channel Ten, saa moja na nusu usiku. Ni mahojiano niliyofanyiwa na Hoyce Temu, juma la jana. Itahusu zaidi masuala ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari na nafasi ya Mitandao ya Kijamii kwenye kukuza demokrasia na changamoto zake. Usikose!
Maggid Mjengwa,
Iringa.
shibuda ni mwanachama hai wa ccm. Cdm wasimtegemee!CDM wanawakilishwa na Peter Kimesela, Lakini naona SHIBUDA ndani.
Njaa zitasababisha mmpe sifa za utukufu shetani.pharaoh tupo pamoja,tumechoka kuongozwa na watu wasio na uwezo wa kiungozi,tunahtaji watu shupavu kama lowasa!prime wake awe magufuli serikal itakuwa imesimama sana,nenda lowasa
African Peer Review Mechanism...Mpango wa kujitathmini wa nchi za Afrika. Shibuda ni kunguru asiyefugikasamahani nn kirefu cha APRM