Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Leo akiwa Dodoma Chimwaga alionekana kutiwa wasiwasi na harakati za mabadiliko na elimu ya uraia ili maarufu 'movement for change ya mahasimu wao CHADEMA inayoendelea kutolewa nchi nzima.

CCM HAIWEZI KUONDOLEWA 2015,HAIWEZEKANI,WENZETU WANADAI 2015 WANAINGIA MADARAKANI,HUKO NI SAWA NA KUINUA MBELEKO KABLA YA KUWA NA UHAKIKA WA KUPATA MTOTO KWA NAMNA YOYOTE ILE HAIWEZEKANI.mwisho wa kumnukuu.

Nimejiuliza sana maradhi yote haya yanayokisibu chama hiki kufikia 2015 kitakuwa hakijakata roho tu!?

Source:Mimi mwenyewe humu ndani ya ukumbi nilipokuwa nimejihudhurisha.
 
Mimi niliona, aliandika anajiuzulu kwa kuwa anataka kuwajibika kwa nafasi aliyokuwa nayo.

Duh! Wabaguzi wa Ujinga!! Chifu, vipi kitonga cha mchana hapo Kizito, kimekuvimbisha hadi umesahau ulichosema na kuulizwa?!?

Nilikuuliza kwamba, umesema mimi najua kwenda Nigeria ni kwa ajili ya kujisafisha. Na ukaniweka kwenye kundi la wanaojua kuhusu utaratibu huo. Nikakuuliza, umenijumuisha katika kundi lipi?

Nikakujibu: Kundi la Wabaguzi wa Ujinga.

Msiojuwa kuwa unaweza kustaafu kwa kujiudhuru na wala msiojuwa maana ya kujiudhuru na kustaafu.
 
Kuna dalili kubwa sana January Makamba akapata kura nyingi sana katika nafaai kumi za bara kupita wagombea wengine na huenda Membe akapata kura kama za JK mwaka 2002 ambako alikua wa 12 kati ya wagombea 20.... lakini siasa za wakati ule na za sasa ni tofauti sana
 
Hana haja ya kuhofia M4C bali madhambi yake aliyotenda akiwa madarakani. Anyways, tunamuombea apate anachostahili kama akina Gaddafi na Mubarak.
 
shibuda anasema hakuna zizi la ng'ombe lisilo na nzi.... wapinzani wanakwama kwa sababu muna mtandao... dhima ya chama chochote ni vikao.... utawala wa uongozi una changamoto zake....
 
Kama kawaida Shibuda anasema vyama vya siasa acheni kushindana kwenye vyombo vya habari.... muachene na tabia ya kifuniko... anampongeza JK kwa subira
 
shibuda anasema aNashangaaa mtoto wa mwalimu kuwa mwalimu ni kosa? na sasa kuna ubaya gani mtoto wa mwanasiasa kuwa mwanasiasa?
 
Makosa ya CCM ni nyie wenyewe, kwani wajumbe hamfanyi mikutano ya hadhara? mnasubiri viongozi wakija.... wapinzani wanafanya mikutano wananchi wanabaki na miheuko.... wenyeviti wangapi waliitisha... Mwinyi akisema uongo mara saba wa sabini huwa ukweli.... anaonekana kuwasaidia CCM wafanye nini kudhibiti upinzani... acheni kiwanda cha kufyatua fitna
 
Shibuda anasema CCM ni chama tabibu na wapinzani wanaibua maradhi, wakisema mfalme ana minyoo, tokeni mutoea tabibu
 
Shibuda anasema moto huchoma vitu vyote, lakini udi huvuma ndani ya kaa la moto na yeye ni udi...
acheni kutamanisha watu.... sisi sote ni machotara wa TANU na ASP.... duh! nilidhani anakabidhiwa kadi
 
shibuda anasema aNashangaaa mtoto wa mwalimu kuwa mwalimu ni kosa? na sasa kuna ubaya gani mtoto wa mwanasiasa kuwa mwanasiasa?

Anamaanisha nini hapo du huyu mzee kwa misemo utadhani mtu wa pwani.
 
its sickening to see those green attire, i nearly vomit when i first tune to TBCCM and found bribe masters throwing a huge party!

You will be vomiting for couple of years until you go to the hell. CCM will lead the country for number of years. Huko ulipo ni porojo tu.
 
Naona JK anashangaa kwanini ccm hawafanyi mikutano kama CDM.
 
Nikakujibu: Kundi la Wabaguzi wa Ujinga.

Msiojuwa kuwa unaweza kustaafu kwa kujiudhuru na wala msiojuwa maana ya kujiudhuru na kustaafu.

Duh! Chifu, mimi bado nakwambia hilo kundi unaloniweka, haliendani na suala nililokuuliza.

Sasa kama alistaafu kwa kujiuzulu, sasa kwa nini unakataa yeye kuitwa waziri mkuu aliyejiuzulu? Au unataka aitwe waziri mkuu aliyestaafishwa kwa kujiuzulu kwa manufaa ya umma?
 
Back
Top Bottom