Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

sijamwelewa Shibuda kabisa.

Anawashauri CCM? Eti hawafanyi mikutano?
 
Mkutano umearishwa mapaka kesho saa 3 asubuhi matokeo ya uchaguzi yatatangazwa kesho
 
Mkuu Balantanda,
Nashukuru nimepata copy...Chadema wamekwenda kujifunza Dodoma.

umejiuliza wanaweza jifunza nini?mimi nimejifunza kuwa CCM ni chama cha hovyo sana hana dola inawaruhusu kufanya ujinga na uovu wowote bila hofu.

nimejifunza kuwa CCM hadi mwenyekiti ni mzuri wa mipasho.
 
Wana bodi nimemuona Shibuda kupitia matangazo ya moja kwa moja (LIVE) Shibuda na inasemekana kahutubia kwenye mkutano huo.kulikoni mahudhurio ya Shibuda kwenye shughuli za CCM zinaongezeka?
 
alishaona mwisho wake ndani ya CDM umeshafika hivyo anajiandaa kulamba matapishi yake
 
Mkutano umearishwa mapaka kesho saa 3 asubuhi matokeo ya uchaguzi yatatangazwa kesho

Duh! Jamaa kwa kuchakuchua matokeo ni balaa? Yaani kura za watu 2000, wameshindwa kutangaza matokeo leo?!?
 
siyo habari iliyovunjika hii, ni kawaida yake.

Ukiona fahali linatembea peke yake, jua limeparaganyika
 
Membe akiomba kura....

Miaka mitano nilisimama hapa nikapata kura za ushindi, sababu za 2007 bado zipo, niliomba ili nimsaidie m/kiti kukisaidia chama kukieleza duniani.... CCM lazima tuipe sura ya kimataifa... Dunia inajua kwamba CCM ni chama cha kimatafa kimeshiriki ukombozi... Kwa nafasi yangu tuue ndege wawili kwa jiwe moja... Kura zote za ndio tuziweke kwangu

Amesema kwa nafasi yake ataisaidia CCM kupata marafiki zaidi nje ya nchi

kwani hajawahi fanya hivyo miaka yote?Kweli CCM hovyo, chama ninasema kipewe nafasi ya kufanya, wanachama nao wanaomba nafasi ya kufanya ambayao wanayo mikononi kwa miaka kibao.
 
What a political prostitute that This Buda is! Chi Buda or say Buda is a good opportunist that can lick any ass to get his way.
 
penye shughuli huwa hapakosi washereheshaji na mashairi yasiyo na vina..ni sawa na kujisaidia haja kubwa ukiwa umesimama..mwacheni tu
 
Naona JK anashangaa kwanini ccm hawafanyi mikutano kama CDM.

Ritz anajua hilo?mwenyekiti wa CCM anajifunza kwa CDM,anashangaa ustaarabu mpya machoni pake.Watajifunza sana tuu.
 
Wana bodi nimemuona Shibuda kupitia matangazo ya moja kwa moja (LIVE) Shibuda na inasemekana kahutubia kwenye mkutano huo.kulikoni mahudhurio ya Shibuda kwenye shughuli za CCM zinaongezeka?

Kaalikwa kama mjumbe wa APRM, CDM waliwakilishwa na Victot Kimesera. Ila kwenye majumuisho ya JK, inaonekana kachemka...
 
Loo! S.H.I.B.U.U.U.DA! Aibu kubwa kwako. Mwenyekiti MBOWE Mnyang'anye kadi huyo F.A.L.A. Aende akafanye consultation ya kufanya mikutano! Nyambafu zake
 
Wana bodi nimemuona Shibuda kupitia matangazo ya moja kwa moja (LIVE) Shibuda na inasemekana kahutubia kwenye mkutano huo.kulikoni mahudhurio ya Shibuda kwenye shughuli za CCM zinaongezeka?

Amealikwa kama mwenyekiti wa APRM ndiyo maana amehutubia
 
Waheshimiwa, MODS wa JF tunashukuru kwa kutupa jukwaa la uwazi kuzungumzia mambo ya msingi yanayohusu taifa letu. Ama baada ya shukrani, napenda kutoa dukuduku zangu kutoka hapa Dodoma kuhusiana na Tatizo la Ufisadi. Chama Changu CCM. kinalea Mafisadi, tena mafisadi Wabaya. Tumeshuhudia watu wasiokuwa na sifa za uongozi kupewa tiketi za ndege kutoka Marekani kuhudhuria Kikao hapa Dodoma.

Napenda kuzungmzia machache kuhusiana na Chama chetu kinavyolea na kuwazawadisha magwiji wa Ufisadi.

Mh. Joseph Mbilinyi almaarufu SUGU, alikutana na viongozi wa shirika lisilokuwa la kiserikali Malaria-Nomore huko marekani na kukubaliana kufanya nao kazi Tanzania. Wakiwa katika hatua za mwanzo kuanzisha NGO hiyo nchini Tanzania, hela ya uzinduzi wa shirika hilo nchini Tanzania ilikuwa ni nyingi. Zaidi ya $100million. Kwa maana hiyo hiyo ilikuwa vyema kuwahusisha viongozi wa nchi katika mchakato Mzima.

Mh. Mbilinyi (Sugu) aliwasiliana na Ikulu ili kumhusisha Rais na huu mradi muhimu wa kutokomeza ugonjwa wa malaria. Baada ya kufika Ikulu January Makamba, msaidizi wa Rais maswala ya hotuba, aliudaka huo mradi na viongozi wake.January aliwasiliane na promoter na rafiki yake wa Clouds Ruge Mutahaba na kupanga dili ya kunufaika na mradi huo. Mpaka leo, licha ya vyombo vya usalama kufahamu tukio hilo, January na Ruge hawajachukuliwa hatua zozote za kifisadi

January na Ruge walimtupilia mbali Sugu ambaye ndiye aliyekuja na Idea ya kila kitu. Kutumia jina la Ikulu kwa manufaa binafsi, Ruge na January waligeuza Malaria No more kuwa mradi wao na Ikulu. Badala ya kuwasaidia walalahoi, waliwatoza kiingilio na pia Kuwauzia neti ambazo walistahili kupewa bure huku watu mashuhuri yaani VIP kuingia bure kwenye uzinduzi na pia kupewa vyandarua vya bure. Hela iliyokusanywa ilikuwa ni ndefu sana. Sugu aliyekuja na wazo, hakupewa hata senti tano. Nijiulize,
1. Ruge aliingiaje kwenye huu mradi,
2.Hela zilizokusanywa zilikuwa ni za nani na zimeenda wapi?
3. Mradi wa wafadhili unaosaidia wananchi inakuwaje iwe ni mradi unaokusanya hela kutoka kwao?

Nikiwa mmoja wao, nilipewa neti ya bure niliyoikataa, kwani nyumbani kwangu hakukuwa na mbu. Vyombo vya usalama hadi leo vimekuwa kimya. January wala Ruge hawajashughulikiwa. Kama sio usultani huu ni nini. Takukuru, TISS na manegineyo, nashindwa kabisa kujua wajibu wenu kwenye hii nchi. January kama kiongozi ndani ya chama chetu CCM na mbunge , lazima ajisafishe na huu ufisadi.

January Ametuhumiwa na kuandamwa na ufisadi mbalimbali ikiwemo kuwaonga wapiga kura, kuingia madarakani kwa hila na hujuma za baba yake Mzee Yusuf Makamba, ila jibu tunaloomba ni hili la Malaria No-more. Wamezoea kusema kila kitu ni upepo utakaopita. Huu ni upepo unaorudi
 
Back
Top Bottom