Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

wasira anasema kuna kazi ya kufanya ya kupambanua ukweli na uongo, uchochezi na sera na kutofautisha giza na mwanga, anassma alishaianza na ataiendeleza katika kipindu kilichiopita
 
Mwigulu anasema mapambano yanaendea na mwamba maisha mazuri yapo sehemu tatu tu, kwa Yesu, Kwa Mtume Muhammad na CCM...

Huyu jamaa kwa kweli sijui kama ni mzima. Kwa hiyo anataka kusema wana CCM wanaishi maisha mazuri?!?
Hivi mtu anawadhihaki hivyo, kisha mnampa kura?!?
 
wasira anasema kuna kazi ya kufanya ya kupambanua ukweli na uongo, uchochezi na sera na kutofautisha giza na mwanga, anassma alishaianza na ataiendeleza katika kipindu kilichiopita

Anaongea hivyo huku nje gari la dola linamsubiria. Kama siyo uchochezi huo ni nini? Anatumia mali ya dola kwa shughuli za chama?!?
 
Huyu jamaa kwa kweli sijui kama ni mzima. Kwa hiyo anataka kusema wana CCM wanaishi maisha mazuri?!?
Hivi mtu anawadhihaki hivyo, kisha mnampa kura?!?

Angalieni wasije toa kafara kubwa ya sadaka, hizi tarehe ni za ki-freemason, na CCM ni mwanachama
 
Alipojieleza January Makamba alishangiliwa, Jk akasema hairuhusiwi...

Alisema anaomba kwa kuwa anaamini kwamba anaimudu na kwamba Mwenyekiti akitakiwa kutoa ithibati atasema kwa kuwa amekuwa mwakilishi wake kwa muda mrefu....

Kupata uongozi wa chama ni fadhila na naomba mnipe fursa ya kulipa fadhila ya kuilipa... Nataka chama kitume ujumbe kwa dunia kwamba kinao vijana wenye uwezo
 
Membe akiomba kura....

Miaka mitano nilisimama hapa nikapata kura za ushindi, sababu za 2007 bado zipo, niliomba ili nimsaidie m/kiti kukisaidia chama kukieleza duniani.... CCM lazima tuipe sura ya kimataifa... Dunia inajua kwamba CCM ni chama cha kimatafa kimeshiriki ukombozi... Kwa nafasi yangu tuue ndege wawili kwa jiwe moja... Kura zote za ndio tuziweke kwangu

Amesema kwa nafasi yake ataisaidia CCM kupata marafiki zaidi nje ya nchi
 
TUMBIRI nashukuru kwa kwa kunikumbusha umuhimu wa kutoa thanks hata hivyo sikuwa na nia kwamba sikuona thead ambayo niipenda la hasha bali ni udhaifu ambao nitaanza kuufanyia kazi kuanzia leo, otherwise nashukuru wewe na Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama hukuiona wala kuisoma, hilo suala la kusema hakujiuzulu umelipata wapi?

Hilo la kwenda Nigeria kujisafisha jina, mimi sijui!! Halafu, unasema ndivyo tunavyosema, unaniweka kwenye kundi gani?

Wewe uliiona na kuisoma? wewe nakuweka kwenye kundi lile la Wabaguzi wa Ujinga.
 
Membe aliomba kura.... Miaka mitano nilisimama hapa nikapata kura za ushindi, sababu za 2007 bado zipo, niliomba ili nimsaidie m kiti kukisaidia chama kukieleza duniani.... Ccm lazima tuipe sura ya kimataifa... Dunia inajua kwamba ccm ni chama cha kimatafa kimwshiriki ukombozi... Kwa naasi yangu tuue ndege wawili kwa jiwe moja... Kura zote za ndio tuziweke kwangu

amesema jwa nafasi yake ataisaidia CCM kupata marafiki zaidi nje ya nchi

hakika atakaeiua ama kuiokoa ccm yupo ndani ya ccm!
 
william Malecela... kwa sauti kama ya baba yake, alijutambulisha kwa jina maarufu le Mutuz..... Niluua naishi new york na nilufungua tawi pale na leo mwenyekiti wa muda w NEW YORK YUKO HAPA* akasema mtoto wa tingatinga kazima awe tinga tinga hawezi kuwa bajaji
 
Wewe uliiona na kuisoma? wewe nakuweka kwenye kundi lile la Wabaguzi wa Ujinga.

Mimi niliona, aliandika anajiuzulu kwa kuwa anataka kuwajibika kwa nafasi aliyokuwa nayo.

Duh! Wabaguzi wa Ujinga!! Chifu, vipi kitonga cha mchana hapo Kizito, kimekuvimbisha hadi umesahau ulichosema na kuulizwa?!?

Nilikuuliza kwamba, umesema mimi najua kwenda Nigeria ni kwa ajili ya kujisafisha. Na ukaniweka kwenye kundi la wanaojua kuhusu utaratibu huo. Nikakuuliza, umenijumuisha katika kundi lipi?
 
saa hizi kura zimeshapigwa na wanaenda kuhesabua.... Shyrose na Mwigulu wameenda wenyewe kusimamia kura
 
sasa Shibuda anatoa salam za APRM... mapema alizungumza Mbatia kwa niaba ya TCD ambapo yeye ni Mwenyekiti.... niw anazungumza Shibuda
 
Anasema CCM oyeeee... baada ya salam.... anasema anashukuru kwa Mwaliko na kushukuru kwa hotuba
 
Mhe.John Shibuda atoa hotuba mkutano mkuu wa ccm usiku huu,kaanza kwa kusema "CCM OYEEE"
Wajumbe wote walipuka kwa shangwe!
Huyu jamaa anaipenda sana ccm!
 
Anasema Serikali ina historia ya kujikosoana kujisahihisha.... Afrika imeiga kutoka Tanzania.... anayefahamu faida za Baraza la kujisahihisha, na Tanzania iko kwenye chati
 
Back
Top Bottom