Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Swali: Ukianzisha mradi ama NGO yenye ku-aim kuwasaidia wananchi, nje ni lazima upitie ikulu?
 
Duh! Jamaa kwa kuchakuchua matokeo ni balaa? Yaani kura za watu 2000, wameshindwa kutangaza matokeo leo?!?

wakati zaidi ya 100M za wamarekani zimetangazwa siku hiyo hiyo
 
Mkutano umearishwa mapaka kesho saa 3 asubuhi matokeo ya uchaguzi yatatangazwa kesho

We sio kweli au?Yaani hata sisi wachache matokeo kesho kweli..aiwezekani ngoja niingie ndani kwenye mkutano ..naona kuna watu aibu imewashika wanatafutiwa njia ya kufichiwa aibu. sasa fair election ipo wapi????
 
yaani matokeo ya chama tu majibu kesho ya nchi si yatachukua wiki nzima??????? Au wanataka kuchakachua?????....


Mkutano umearishwa mapaka kesho saa 3 asubuhi matokeo ya uchaguzi yatatangazwa kesho
 
Swali: Ukianzisha mradi ama NGO yenye ku-aim kuwasaidia wananchi, nje ni lazima upitie ikulu?

Kama ulaji ni mzito, inabidi. Ndio maana Ruge na January walinufaika na NGO. Hela za kampeni Zaidi ya zile za ngono toka Barrick, nyingine ilitoka Malaria NO more
 
Loo! S.H.I.B.U.U.U.DA! Aibu kubwa kwako. Mwenyekiti MBOWE Mnyang'anye kadi huyo F.A.L.A. Aende akafanye consultation ya kufanya mikutano! Nyambafu zake

Wewe ndiyo una nyambafu zako kwa sababu fikra zako haziendani na karne tuliyonayo hapa duniani.

Kwa mawazo yako siasa na utofauti wa itikadi ni vita na uhasama. Hili ndilo tatizo la kulishwa maneno hasi na wanasiasa uchwara na wabinafsi na kuyameza bila kufikiria kama unaweza kuvimbiwa na matatizo yake ndiyo haya. Your spitting nonsense to a wise man but poison to idiotic and brainless people.

Kwanza ulitakiwa ujue yuko pale kwa mwaliko gani na siyo kuanza kurusha maneno ya kejeri bila kipimo.

Hebu tujaribu kuwa angalau na fikra pana.
 
85% ya wana Chadema wapo CCM huo ndio ukweli wote kwa pamoja wapo makini kufuatilia kinachoendelea Dodoma.

usijidanganye kihivyo.Wau wapo makini wana analyse trends ndani ya CCM zitakazowasaida una udhaifu.Na kuna watu wakipeta watu wanapata furaha kwani watakuwa wanathibitisha predictions zao,na hivyo kuweka hakika ya ushindi.
 
Napata wasiwasi wana Chadema nao wanavutana kweli kweli kuhusu Mangula, wengi wanamsifia na kushangilia...Chadema kitabaki kuwa chama cha upinzani miaka yote. Ikitokea CCM wakampitisha Lowassa kuwa mgombea urais ndio kabisa Chadema itakuwa inaelekea kufa kifo cha kawaida.

teh teh..mangula kadhalilishwa sana, kama CCM wamekubali au awamelazimishwa arudi.Tayari ni ishara something is wrong.Hivyo ndivyo vitu vinavyowaweka watu ktk TV kufuatilia mienendo ya CCM.Mara nyingine wanaweza suggest kitu CCM wafuate to their demise.
 
Ndio maana Sugu anahasira sana na hao panya..!
 
Duh! Chifu, mimi bado nakwambia hilo kundi unaloniweka, haliendani na suala nililokuuliza.

Sasa kama alistaafu kwa kujiuzulu, sasa kwa nini unakataa yeye kuitwa waziri mkuu aliyejiuzulu? Au unataka aitwe waziri mkuu aliyestaafishwa kwa kujiuzulu kwa manufaa ya umma?

Hajastaafishwa amestaafu, hakuna asiyestaafu kwa udhuru, maana kujiudhuru ni kutoa udhuru kwa lile uliloliamuwa na kama alistaafu kwa kujiudhuru kuna tatizo lipi hapo?
 
ni lowasa tu 2015,nenda lowasa,go edo,go lwaiganani,go mwanaume wa kuchukua maamzi magumu kwa manufaa ya nchi,

Subiri muda ufike MUNGU akitujalia uzima.
 
kwa kweli, anadhalilisha wanamme wa kisukuma

Maneno yako ndiyo yana kudhalilisha kwa sababu fikra zako zimepitwa na wakati.

You still talk about tribe and ethnic group. I'm sorry for you.

Halafu amedhalilisha nini?. kuhudhuria mkutano wa CCM ndiyo kuwadhalilisha Wasukuma? Unataka kuniambia wale wote wanahudhulia mkutano wa CCM wanadhalilisha makabila yao. Brainless and idiotic thinking can only define that theory.

Your thinking is outdated and try to update or renew.
 
Waheshimiwa, MODS wa JF tunashukuru kwa kutupa jukwaa la uwazi kuzungumzia mambo ya msingi yanayohusu taifa letu. Ama baada ya shukrani, napenda kutoa dukuduku zangu kutoka hapa Dodoma kuhusiana na Tatizo la Ufisadi. Chama Changu CCM. kinalea Mafisadi, tena mafisadi Wabaya. Tumeshuhudia watu wasiokuwa na sifa za uongozi kupewa tiketi za ndege kutoka Marekani kuhudhuria Kikao hapa Dodoma.

Napenda kuzungmzia machache kuhusiana na Chama chetu kinavyolea na kuwazawadisha magwiji wa Ufisadi.

Mh. Joseph Mbilinyi almaarufu SUGU, alikutana na viongozi wa shirika lisilokuwa la kiserikali Malaria-Nomore huko marekani na kukubaliana kufanya nao kazi Tanzania. Wakiwa katika hatua za mwanzo kuanzisha NGO hiyo nchini Tanzania, hela ya uzinduzi wa shirika hilo nchini Tanzania ilikuwa ni nyingi. Zaidi ya $100million. Kwa maana hiyo hiyo ilikuwa vyema kuwahusisha viongozi wa nchi katika mchakato Mzima.

Mh. Mbilinyi (Sugu) aliwasiliana na Ikulu ili kumhusisha Rais na huu mradi muhimu wa kutokomeza ugonjwa wa malaria. Baada ya kufika Ikulu January Makamba, msaidizi wa Rais maswala ya hotuba, aliudaka huo mradi na viongozi wake.January aliwasiliane na promoter na rafiki yake wa Clouds Ruge Mutahaba na kupanga dili ya kunufaika na mradi huo. Mpaka leo, licha ya vyombo vya usalama kufahamu tukio hilo, January na Ruge hawajachukuliwa hatua zozote za kifisadi

January na Ruge walimtupilia mbali Sugu ambaye ndiye aliyekuja na Idea ya kila kitu. Kutumia jina la Ikulu kwa manufaa binafsi, Ruge na January waligeuza Malaria No more kuwa mradi wao na Ikulu. Badala ya kuwasaidia walalahoi, waliwatoza kiingilio na pia Kuwauzia neti ambazo walistahili kupewa bure huku watu mashuhuri yaani VIP kuingia bure kwenye uzinduzi na pia kupewa vyandarua vya bure. Hela iliyokusanywa ilikuwa ni ndefu sana. Sugu aliyekuja na wazo, hakupewa hata senti tano. Nijiulize,
1. Ruge aliingiaje kwenye huu mradi,
2.Hela zilizokusanywa zilikuwa ni za nani na zimeenda wapi?
3. Mradi wa wafadhili unaosaidia wananchi inakuwaje iwe ni mradi unaokusanya hela kutoka kwao?

Nikiwa mmoja wao, nilipewa neti ya bure niliyoikataa, kwani nyumbani kwangu hakukuwa na mbu. Vyombo vya usalama hadi leo vimekuwa kimya. January wala Ruge hawajashughulikiwa. Kama sio usultani huu ni nini. Takukuru, TISS na manegineyo, nashindwa kabisa kujua wajibu wenu kwenye hii nchi. January kama kiongozi ndani ya chama chetu CCM na mbunge , lazima ajisafishe na huu ufisadi.

January Ametuhumiwa na kuandamwa na ufisadi mbalimbali ikiwemo kuwaonga wapiga kura, kuingia madarakani kwa hila na hujuma za baba yake Mzee Yusuf Makamba, ila jibu tunaloomba ni hili la Malaria No-more. Wamezoea kusema kila kitu ni upepo utakaopita. Huu ni upepo unaorudi

Mkuu kwanza punguza jazba kisha jibu masuali. Ipi ni shida yako kama mwana ccm
1. Kualikwa na kulipiwa kwa wajumbe kutoka ghambo? Hata wewe umelipiwa kama ni mjumbe tofauti ni kiasi tu.
2. Dili la maleria? Kwa mujibu wa maelezo yako ikulu inahusika, unawezaje kumuita January fisadi bila kuihusisha taasisi ambayo mkuu wake ni mwenyekiti wako wa chama?
3. Wewe ni mmoja wa wagombea wa viti 10 bara?
4. Unataka sisi JF tufanye nini kuhusu mambo ya chama chenu?

Ushauri

Zungumzeni mambo yenu ya majeraha ya uchaguzi muyamalize hukohuko kwenye chama chenu!
 
Back
Top Bottom