Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi...

Status
Not open for further replies.
Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi..

Hayo maneno anayasema muda huu Jangwani LIVE ITV yaani kwa Ujumla kageuka Lusinde. Cha kujiuliza je Matusi ni sera ya CCM?

Mbona huyu Nape anaporomosha matusi jukwaani pale Jangwani Chadema Square.


Source: Live ITV.

mboa aliahidi kuwa mkutano wa leo watajikita kwenye sera
 
FYI: Al-qaeda, Taliban, Uamsho, Al-shabab n.k they no where represent Islam nor God BUT a Devil's bad intention to mankind. PLZ-PLZ dont ever associate acts by these gangs with Islam, NEVER-EVER
 
Kwani kasema uongo? Ni wahuni kweli,kama ni watu wa maana wasinge fanya mambo ya kihuni.kwanza hao wanamwakilisha nani? Waislamu wenye akilitimamu wanawaona kama wala msuba tu.
 
Du! Waislam Nawaheshimu sana japo mimi sio Mwislam siwezi hata siku moja nikawatukana kwani wote tunamuabudu mungu mmoja kupitia njia tofauti lakini Nape hakuliona hilo kawaita majambazi hii ni hatari sana
 
duh! Nappe noma kawaita wanaumsho majambazi na wanaoipinga necta wahuni.! Huyu kweli katumwa kuimaliza ccm.
 
Nape leo kathibitisha yeye ndio muhuni,kulikuwa hakuna haja ya kutumia lugha hile,mbona viongozi wake wana kaa nao hao wahuni kuongea nao
 
kelele nyiiingi ukija uchaguzi matokeo yanakuwa hivi
MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA UZINI – ZANZIBAR
Chama cha Mapinduzi 5377
Chama cha Demokrasia na maendeleo 281
Chama cha Wananchi(CUF) 223
TADEA 14
FFP 8
Kura zilizopigwa 5902
Kura zilizoharibika 28
Wasiopiga kura 2852
 
Nape ni mkiristo, unadhani atatumikia nini kama sio kanisa lake? Huoni msalaba mkubwa shingoni. M,bona hasemi necta?

Hapa wenzetu ndipo mnapo kosea nape yuko kwenye shughuli ya ccm yote yanayo fanyika ni ya kichama sasa maswala ya ukristo na kanisa yanakujaje hapa?.ndio maana ina kuwa vigum kufanikiwa kwenye mambo yenu kwa sababu tabia yenu ni kuadhibu kitu ambacho hakihusiki.kwakufuata mawazo yenu potofu kwa kutukanwa kundi la uamsho tunaweza kusema nape ametumwa na jk kuwatukana kwani ndie bosi wake na ni muislam mwenzenu.
 
nipo zanzibar: Nape aanza kupingwa, Uamsho kutoa kauli nzito jioni hii.
Watato tamko hilo katikia msikiiti wa Daraja bovu.
Kwakweli nape amechefua watu wengi Zanzibar.
Amewataja viongozi wa UAMSHO Ni wahunu huku Hata Mweenyekiti wake Jk Hajafanya uhuni kama huu.maana Shein katika hotuba yake aliwaita UAMSHO ni masheikh wanaoheshimika ndio maana wakapewa usajili
Watu wengi walitegemea NAPE kuzungumzia SAKATA LA NECTA na waislam na sio UAMSHO tena

Nape hana washauri. Vyama makini sana kabla ya kutoa matamko tata huwa wanafanya survey. Kunakuwa na kitengo cha utafiti ndani ya chama chenye lengo la kujua mawazo ya wananchi kabla ya kutoa kauli tata. Kitendo cha CCM kuwategemea TISS kama pollstar wao wanachemsha big time.

Nape angejua kuwa Muislam nduguye ni muislam basi asingevuka mstari ambao JK, Shein et al katika hotuba zao hawakuuvuka. Nape will go this time ameishakuwa distraction kwa CCM.
 
UAMSHO is jst a 'bunch gangs'. Like any other criminal gang, they should face the reality. I dont personally see anything wrong with Napes stand on this!

No mattet what , our goverment is supposed to impose total ban to this Uamsho
 
Ndugu zangu mtu yoyote yule anastahili kuheshimiwa kwa utu wake na pia kama anadai jambo fulani lazima asikilizwe na siyo kumtukanwa kwani hakuna mtu anayefurahia matusi ndivyo hivyo nape umekosea sana nakushauri ufute kauli yako na chama chako hakuna anayependa uigawanye nchi na kuchochea malumbano badala ya kuwahimiza watanzania kuidumisha amani.Ndugu wanaUAMSHO nawaombeni mlaani kauli hiyo na pia mtumie busara kwa kumpuuzia huyu bwana na msisitize kwa mnacho kidai ili kiweze kurekebishwa na tuendeleze nchi yetu na pia kuifanya kisiwa cha amani.
 
Ntawashangaa sana uamsho kama hawatalaani na kutaka ccm iwaombe radhi kwa hili, ikiwa shein mwenyewe kwenye hotuba yake hakuwalaani uamsho moja kwa moja kwani uhuni huo ulifanywa na watu wachache sana
 
hata mimi nimesikia this is loss of reputation to muslims. Take my word.

Mnasahau nyie mlichoma makanisa watu wakakaa kimya??????hilo ndo mmeona tusi?????me chadema damu lkn kwa hili ndugu zangu nisifike mbali mnafikiria vibaya!
 
nape hujui kama ni mkiristo? wakiristo wote ni lao moja. angalia hapa JF tu

Uamsho ndiyo nini ? Ni wapuuzi tu acha awape ukweli si matusi .Wanaharibu maisha ya watu ndiyo Muungano huo au udini wao na KAFU yao wanataka kutuletea shida ?Tutawakabili kwa nguvu zote badala ya kuamka watalala .Wadini wakubwa hao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom