Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi...

Status
Not open for further replies.
wamsomee albadiri tu apotee mazima anatujazia majanga katika taifa hili, ukiondoa umasikini, maradhi na ujinga. Nape Nnauye ndio janga lingine liliongezeka.
 
yaan nahic kuvunja tv nikickia hayo mambo ya hawa wehu.na huyu mwakyembe hana jipya kumbe ndo maana walimtengeneza.
 
Hii ni hatari sana kwa chama Tawala kudharau Dhehebu kubwa hapa Duniani kama Waislam

Mbona yeye ka wasema Uamusho, sasa hapo uislam unaingiaje? basi kwa hili Nape atakuwa amesaidia kuleta ukweli juu ya hao uamusho maana baada ya wao kuchoma makanisa kilichofuata ilikuwa ni propaganda tu! inawezekana kabisa Uamusho ni affront ya uislam katika mapambano juu ya imani zingine, maana wanaposemwa umesemwa uislam ebo!!
 
Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi..

Hayo maneno anayasema muda huu Jangwani LIVE ITV yaani kwa Ujumla kageuka Lusinde. Cha kujiuliza je Matusi ni sera ya CCM?

Mbona huyu Nape anaporomosha matusi jukwaani pale Jangwani Chadema Square.


Source: Live ITV.

wewe tangu lini ukawa ni msemaji wa waislam? Wacha waislamu wenyewe watatoa tamko. Na nyie ma mods wa dini wakubwa. Asubuhi nimetoa thread ya NECTA mkaitoa haraka haraka, lakini hii kwa kuwa ina lengo la kuwagawa waislam mmeamua muiache. Acheni unafiki.
 
Kwa matusi hayo !, vipi TBC wamekata matangazo kama kawaida yao?. Au maneno ya uchochezi kwa CCM ni ruksa?
 
Maandamano ya sheikhs na immams kupinga kauli u
Ya Nnape Ijumaa ijayo
 
Nape anaamini akitukana waislam ccm itarudi hadhi yake. wapi wapi? CCM imebaki lindi na Mtwara tu. na huko kwa kauli hii ua waislam majambazi na wezi ni wazi ccm inakwisha zake
 
Hawajui vizuri hawa watu,tusikilizie kesho na kesho kutwa atalipata jibu zuri sana kutoka kwao.
 
Lkumbe nape hamna kitu. Mkiristo utamjua tu

Umeosha akili, kila jambo unalitazama kidini, wasio Waislamu au wasio Wakristo utawachukuliaje?
Mtu akizungumza kinyume na Waislamu huyo ni Mkristo, akizungumza kinyume na Wakristo basi akili yako atakuwa Muislamu.
 
nipo zanzibar: Nape aanza kupingwa, Uamsho kutoa kauli nzito jioni hii.
Watato tamko hilo katikia msikiiti wa Daraja bovu.
Kwakweli nape amechefua watu wengi Zanzibar.
Amewataja viongozi wa UAMSHO Ni wahunu huku Hata Mweenyekiti wake Jk Hajafanya uhuni kama huu.maana Shein katika hotuba yake aliwaita UAMSHO ni masheikh wanaoheshimika ndio maana wakapewa usajili
Watu wengi walitegemea NAPE kuzungumzia SAKATA LA NECTA na waislam na sio UAMSHO tena
Ndoa ndoana. Leo umemgeuka mwanandoa mwenzio? Kweli wewe wa hapahapa
 
UAMSHO is jst a 'bunch gangs'. Like any other criminal gang, they should face the reality. I dont personally see anything wrong with Napes stand on this!
 
Kwa mara ya kwanza namuunga mkono nape,hata serikal ya znz ilikiri kuwa wahuni ndo walichoma makanisa.Lakn hao wahuni ni uamsho so vuvuzela yupo sawa at this time around
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom