Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi...

Status
Not open for further replies.
Naamini kuna njia nyingine bora ya ku-deal na UAMSHO kuliko kutukanana majukwaani. Kwa mtazamazo wangu kauli ya Nape au niseme matusi ya Nape kwa UAMSHO yanaweza kuichimbia kaburi CCM huko Zanzibar. CCM watakuwa na wakati mgumu sana kuosha huu ukurutu ulitandazwa na Nape. Nani amemshauri kusema hayo maneno?
 
Ndugu zangu mtu yoyote yule anastahili kuheshimiwa kwa utu wake na pia kama anadai jambo fulani lazima asikilizwe na siyo kumtukanwa kwani hakuna mtu anayefurahia matusi ndivyo hivyo nape umekosea sana nakushauri ufute kauli yako na chama chako hakuna anayependa uigawanye nchi na kuchochea malumbano badala ya kuwahimiza watanzania kuidumisha amani.Ndugu wanaUAMSHO nawaombeni mlaani kauli hiyo na pia mtumie busara kwa kumpuuzia huyu bwana na msisitize kwa mnacho kidai ili kiweze kurekebishwa na tuendeleze nchi yetu na pia kuifanya kisiwa cha amani.
Mbona yule katibu wa UVCCM kule Zanzibar alimwaga mitusi ya nguoni dhidi ya sheikh Farid na wanauamsho hamjatoa kauri yoyote ya kulaani?
 
Uamsho wamekana kuhusika na Uhuni na uchomaji wa makanisa ZnZ ! Wamesema kuna wahuni ndio walichoma Makanisa hayo.

Kuwaaminisha watu kuwa Kundi La Uamsho ni Kundi la Ujambazi mi kudhalilisha wanajumuia wote wa Uamsho na Waislam wa Znz !

Sisi Waislamu wa Bara hatuko tayari kuona Huyu kijana akitutukania Ndugu zetu Waislam wa Visiwani , na tutatoa tamko la kumlaani na kama hataomba radhi tutamsomea kisomo. Nape katudhalilisha Waislam kuwa ni Wahuni.
 
Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi..

Hayo maneno anayasema muda huu Jangwani LIVE ITV yaani kwa Ujumla kageuka Lusinde. Cha kujiuliza je Matusi ni sera ya CCM?

Mbona huyu Nape anaporomosha matusi jukwaani pale Jangwani Chadema Square.


Source: Live ITV.
Tamko kuhusu Zanzibar ni nini?? Mbona sijaipata?
 
Uamsho wamekana kuhusika na Uhuni na uchomaji wa makanisa ZnZ ! Wamesema kuna wahuni ndio walichoma Makanisa hayo.

Kuwaaminisha watu kuwa Kundi La Uamsho ni Kundi la Ujambazi mi kudhalilisha wanajumuia wote wa Uamsho na Waislam wa Znz !

Sisi Waislamu wa Bara hatuko tayari kuona Huyu kijana akitutukania Ndugu zetu Waislam wa Visiwani , na tutatoa tamko la kumlaani na kama hataomba radhi tutamsomea kisomo. Nape katudhalilisha Waislam kuwa ni Wahuni.
Hivi alqaida na alshababu dini yao ni ipi
 
[MENTION][/MENTION]
Ccm hawazitaki kura za waislam

Hizi chuki za kidini mnazopandikiza miongoni mwa jamii laiti mngejua adhari zake kila mtu angejitahidi kuziacha, chukua mfano tu wa kinachotokea Nigeria! Imagine umetoka nyumbani na familia yako chrismass au pasaka mpo kanisani mnasali kanisa linalipuliwa wote mnaishia hapo!! Tusichukulie mzaha swala la udini au kulishabikia acheni siasa ibaki siasa na dini ibaki dini! Kuna nchi duniani watu wanogopa kutaja dini yao au kuvaa hadharani alama za dini kama misalaba kanzu au barakashea! hoja za siasa zijibiwe kisiasa na sio kidini! Ole wetu watanzania tunatamani na kuita vita vya kidini kwa nguvu!!Time will tell!!
 
nimependa sana kauli ya Nape natamani aendelee kutoa kauli kama hizi
unajua kwa nn? kwa sababu anazidi kukipeleka chama kaburini
naamini ndugu zangu waislamu wameshajua CCM haiwatakii mema
wameshawarubuni mahakama ya kadhi na pia wanawatukana
BIg up Nape sijasikia hiyo hotuba lkn lisemwalo lipo.
 
Hapa wenzetuwaislam mnafanya makosa nape yuko kwa ajili ya chama na matamko yote anayatoa kwa niaba ya ccm.sasa mambo ya ukristo na kanisa yana kujaje hapa.ndio maana ina kuwa vigum kufanikiwa kwenye mambo yenu kwa sababu kwenye madai yenu huwa mnaingiza vitu ambavyo havihusiki na mnacho kidai.kwa kufuata mawazo yenu potofu kama uamsho wametukanwa na nape basi ameagizwa na mwenyekiti wa ccm jk ambae ni bosi wake na ni muislam mwenzenu.
 
Ntawashangaa sana uamsho kama hawatalaani na kutaka ccm iwaombe radhi kwa hili, ikiwa shein mwenyewe kwenye hotuba yake hakuwalaani uamsho moja kwa moja kwani uhuni huo ulifanywa na watu wachache sana
Kwa walichofanya zanzibar cha kuchoma makanisa na mali za kanisa na kuiba mali za kanisa hawana tofauti na majambazi hakuna dini inayofundisha kuchoma nyumba za ibada au kuiba mali za wengine wale waliofanya hayo sio waislamu ni majambazi na wahuni!
 
hivi tamko la ccm si ndio tamko la cuf kwa hiyo na cuf wamewatukana wanauamusho.!
 
nape hujui kama ni mkiristo? wakiristo wote ni lao moja. angalia hapa JF tu


Mkubwa acha uchochezi!! Huo ***** wa Nape usiuhusishe na Ukristo mkubwa. Hivi wewe unatoka wapi kiasi kwamba humfahamu Nape kiasi hicho???!!!
 
Nape ni mkiristo, unadhani atatumikia nini kama sio kanisa lake? Huoni msalaba mkubwa shingoni. M,bona hasemi necta?
We utakuwa umetumwa... Na utakuwa umejiunga JF ili umtetee muislam yeyote hata kama anakosea. Nampenda sana muislam au mkristu yeyote anayempongeza mwenzie akifanya jema na vilele akimpinga mwenzie akifanya au kuongea ujinga
 
wanapojitambulisha na kusema...ccm oyeee, natamani kutapika, kwasababu wanaigiza vilevile kipindi cha nyerere walipokuwa wanazunguka kutufumba akili....inakera hadi nimezima tv.

waislam wa type kama ya kwako mna shida sana. Tunaoujua uislamu uliostaarabika hatupambani na watu, bali na kila aina ya dhambi ambayo ni chukizo mbele za Mola.
 
waislam wa type kama ya kwako mna shida sana. Tunaoujua uislamu uliostaarabika hatupambani na watu, bali na kila aina ya dhambi ambayo ni chukizo mbele za Mola.
wewe umauza akili umebaki kopo...mimi muislam, sitakuja niwe muislam hata siku moja...angalia post zangu zote utajua kama mimi ni muislam au la....ivi wewe unaposikia mtu anasema...kidumu chama chama cha mapinduziiiiiii, anaongea kwa nyodo kama enzi zile za chama kimoja, unajisikia raha tu? hakika akili yako itakuwa sio nzuri...
 
Mh!.........

Ndio tamko hilo waliosema watalitoa?

nilitaka kukugongea like kuja kusnitukia ninatumia kasimu, sasa nadhani umeshaanza kumwelewa Nape polepole, unaambiwa Nape tangu akiwa shule alikuwa ni mtu wa kulipuka katika kitu chochote bila kutafakari madhara yake, hapa jf tumeongea sana kuhusu huyu Nape na mmekuwa mnamtetea kama vile hamna akili, ona anayoyafanya sasa lakini subiri keshamwaga gesi ndani ya chumba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom