Mkutano wa AU na EU katika picha

Albashir na Mugabe wameshikana mikono- inaashiria kitu?

Hao Watu wanafanana kwa Mengi!.Lakini naona Uwakilishi wetu pia una Nguvu, Mama Mongela anazungumza na mmoja wa Viongozi Mahiri Africa Mzee Muhammar Gadhafi.
 
Hiyo ni dalili kwamba wanafahamiana vizuri, ni ishara ya urafiki, hakuna maana nyingine. Hao ni comrades kwenye mawazo ya mlengo wa kushoto.
 
Hiyo ni dalili kwamba wanafahamiana vizuri, ni ishara ya urafiki, hakuna maana nyingine. Hao ni comrades kwenye mawazo ya mlengo wa kushoto.

Mtanzania
Wewe unanchekesha kweli!
Kwa hiyo Mkiwa na mrengo wa kushoto- hiyo ndo jinsi ya kushikana na kuweka kiwiko cha mkono kwenye bega? Kwani mrengo wa kulia kuwa wanashikanaje kuonyesha urafiki wao?

Ha! ha! ha!
 
Mtanzania
Wewe unanchekesha kweli!
Kwa hiyo Mkiwa na mrengo wa kushoto- hiyo ndo jinsi ya kushikana na kuweka kiwiko cha mkono kwenye bega? Kwani mrengo wa kulia kuwa wanashikanaje kuonyesha urafiki wao?

Ha! ha! ha!

Mzalendohalisi,

Hayo ni maneno yako wala sio yangu.Soma tena ujumbe wangu, nina maana urafiki wao unatokana na kuwa na mawazo sawa kwenye mlengo wa kushoto. Sababu za watu kuwa rafiki ziko nyingi sana, mimi nimeitaja hiyo moja. Kama unataka kuongezea zingine ongeza lakini hayo yatakuwa mawazo yako.

Sioni kitu cha ajabu kwenye hiyo picha.
 
Mama Mongela anawakilisha Tanzania au Bunge la Afrika ambalo yeye ni Spika wake?

Ni wazi kwamba Mama Mongela uwepo wake hapo ni kwa Wadhifa wa Uspika wa Bunge la Afrika,Na ndio maana yupo front line na Viongozi Wakuu wa Nchi,Lakini Mimi nimemtazama zaidi kama Mtanzania.

Kama isingekuwa huo Uspika asingekuwepo hapo,kwani hana Wadhifa wowote mwingine unaomruhusu kuwepo karibu na Wakuu wa nchi kwa Mtindo huo,kwani hata Huko Bungeni hayupo kwenye kamati ya mambo ya Nje!!
 
Hiyo ni dalili kwamba wanafahamiana vizuri, ni ishara ya urafiki, hakuna maana nyingine. Hao ni comrades kwenye mawazo ya mlengo wa kushoto.

Wapi, hao akina Mongela walishaachana na siasa za mlengo wa kushoto sio leo!
 
Ni wazi kwamba Mama Mongela uwepo wake hapo ni kwa Wadhifa wa Uspika wa Bunge la Afrika,Na ndio maana yupo front line na Viongozi Wakuu wa Nchi,Lakini Mimi nimemtazama zaidi kama Mtanzania./QUOTE]

Mtazame zaidi as an african, a panafricanist..
 
TANZANIA said here today that it was totally against campaigns at isolating Zimbabwe and vilifying its President Robert Mugabe, saying such moves have so far hurt millions of people in the central African nation.

“Our position just like all others in SADC (South African Development Community) is to allow Zimbabwe solve its political crisis through peaceful means,” Foreign Affairs and International Cooperation Minister, Bernard Membe, told journalists here today.

He said SADC has given South African President Thabo Mbeki mandate to mediate the political impasse between the ruling ZANU-PF and Movement for Democratic Change (MDC) led by Morgan Tsvangirai.

“We are strongly appealing to the international community to give space to Zimbabwe to solve their problems amicably and determine the destiny of their motherland. Sanctions and isolating Zimbabwe have already led to untold misery among the people.

“Sanctions have already led to the scarcity of fuel, educational material, fertiliser, spare parts of various machinery including those used in water supply and health facilities installation,
” he explained. Earlier, President Mugabe made a spirited defence of his government's human rights record amid what he described as “shameful and malicious trumped up charges against it.

” Mr Mugabe told over 70 European and African leaders at the summit that his government was duty bound to protect the dignity of Zimbabweans after achieving independence some 27 years ago.

He said thousands of Zimbabweans died in the struggle to regain their land and his government was aware that there were some forces who were dreaming to make the country their colony again.

In characteristic salute with a clenched fist, Mr Mugabe declared: “We are Zimbabweans. And Zimbabwe will never again be a colony.” Mr Mugabe did not mince words by hitting back on the German Chancellor Angela Merkel who on Saturday urged African and European leaders to challenge Mugabe on his country's human rights abuse.

“The world cannot stand by while human rights are being trampled underfoot. We must take responsibility because Zimbabwe concerns us all,” she said. President Mugabe said he was not taking the German Chancellor's words serious because he believed they were not coming from her heart.

“She and a few others in Europe are mere megaphones. “They are just presenting a message and vision of someone in Number 10 Downing Street in London (meaning British Prime Minister Gordon Brown), who is serving in the government of our colonial master,” he said. “Never again will Zimbabwe be a colony,” he concluded his brief but strong speech.
 
Mh. Membe sijui alikuwa wapi



Na waliokuwa wakimpinga Mugabe hawakuwa mbali









Hivi ni mimi au huyu jamaa anafanana na Bono?


Ghaddafi na Omari Bongo wa Gabon (Wote wako madarakani tangu late 60s na hawaonyeshi nia ya kuachia)


Rais Kufuor


Rais Mbeki


Rais Vieira


Rais Bongo


Rais Dos Santos


Jamaa amekaa kama Rock Star

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…