Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Albashir na Mugabe wameshikana mikono- inaashiria kitu?
Du mbona Ghadafi amemwekea tena mnoko begani mama Mongela? Kuna nini? Du- hii kali!
Hiyo ni dalili kwamba wanafahamiana vizuri, ni ishara ya urafiki, hakuna maana nyingine. Hao ni comrades kwenye mawazo ya mlengo wa kushoto.
Mtanzania
Wewe unanchekesha kweli!
Kwa hiyo Mkiwa na mrengo wa kushoto- hiyo ndo jinsi ya kushikana na kuweka kiwiko cha mkono kwenye bega? Kwani mrengo wa kulia kuwa wanashikanaje kuonyesha urafiki wao?
Ha! ha! ha!
Mama Mongela anawakilisha Tanzania au Bunge la Afrika ambalo yeye ni Spika wake?
Hiyo ni dalili kwamba wanafahamiana vizuri, ni ishara ya urafiki, hakuna maana nyingine. Hao ni comrades kwenye mawazo ya mlengo wa kushoto.
Ni wazi kwamba Mama Mongela uwepo wake hapo ni kwa Wadhifa wa Uspika wa Bunge la Afrika,Na ndio maana yupo front line na Viongozi Wakuu wa Nchi,Lakini Mimi nimemtazama zaidi kama Mtanzania./QUOTE]
Mtazame zaidi as an african, a panafricanist..
Wapi, hao akina Mongela walishaachana na siasa za mlengo wa kushoto sio leo!