Mkutano wa ACT - Wazalendo Kibaha, June 28, 2015

Wew mpuuzi kama wapuuzi wenzako watu wako field wew unaleta uzuzu Hapa "kwa hiyo Wew huwa unapenda sana propaganda za humu mtandao ,na kuna siku utafanyia kampeni huku halafu utakuja kujiridhisha kuwa umepata watu nyomi

Watu nyomi? Hapo kuna ndugu zenu ccm,kuna waheshimiwa wanachama na wapenzi na wakereketwa wa chama tukufu cdm,wamekuja kuwachora,eti nyomi?teeeeeeh,teeeeh,muulize lyatonga mrema mwaka 95
 
nakwambia hivi huyo kama mlimkataa cdm basi sio wote watakaomkataa. Nyinyi sio waungu na nakwambia tena zitto ni mpango mwngine hio ngoma kaka mbowe zero kashindwa kukatikia mauno sembuse ww sisimizi

Habari ya kutukanana inatoka wapi mkuu?au ndio mlivyofundishwa na huyo kiongozi mkuu wenu,hapa jf kuna binadamu hakuna sisimizi mkuu
 
Tangazo Tangazo Tangazo chadema naomba mkachukue fedha yetu kwa bwana zitto kabwe ile aliye amriwa na mahakama alipe gharama za kuendeshea kesi mahakamani hizo pesa zina umuhimu mkubwa kwa sasa zinge chapisha kadi nyingi sana maana jinsi mnavyo mwacha siku zote hizi a nafikiri mambo yamekwisha kumbe bado kabisa maana huyu kijana si anapesa za kuanzisha chama chake hebu mbowe nenda mahakamani ukakumbushe charges ya bwana zitto atulipe pesa yetu naomba kuwasilisha kwenu
 
Hongera sana mkuu,umekumbusha jambo la msingi sana,huyo msaliti alete fweeeeza
 
ttzo hujasikiliza alichosema kaka mwambie mbowe upepo mbaya nafaham hakujui lkn muhabarishe upepo mbaya
 
hahaahah jipe moyo hata km uweke nadhiri gani. Act inachapa mwendo kaka naona mmeamua kumshangilia lowassa maana babu kapoteza muelekeo teh teh teh
 
Act wazalendo inachanja mbuga wilaya kwa wilaya,mkoa kwa mkoa,mtaa kwa mtaa ile saccos ya wachaga wao kila siku kawe kwa gwajima na uchagani kwao
 
Katika mwendelezo wa ziara ya kukitambulisha chama, leo chama chetu cha ACT Wazalendo kitakuwa Mkoa wa Pwani jimbo la Kibaha Mjini. Mkutano utafanyika maili moja kuanzia saa nane mchana.

Mkutano utahutubiwa na kiongozi wa chama ndugu Zitto Zuberi Kabwe, akisindikizwa na wengineo akiwemo mwanamuziki Afande Sele, Mama Terry Habibu Mchange.

Karibuni

mwaka huu uchaguzi n balaa. jambo la msingi nkuchagua mtu sio chama.
 
Naona Zitto kaamua kweli kweli kusambaza Uzalendo.

Hapo ndio uone nguvu za mafisadi zilivyo,
hapo ndio uone wanasasiasa wanafiki na uchwara walivyo
Lowassa na kundi lake la mafisadi wameamua hasa kutoa fungu la maana kujitengenezea njia mbadala iwapo watakwama CCM,
Zitto ndio sasa anajipambanua ni mwanasiasa wa aaina gani

vyama vyote vya siasa vilianza kwa kusuasua na kwa baadhi ya viongozi wao kujitolea fedha zao mpaka wengine waliishia kufilisika kabisa (Mapalala)

Zitto anatoa wapi pesa za kuzunguka nchi nzima?
 
Chama cha wasaliti hicho. Wamepanda usaliti tayari mavuno ya usaliti wameshaanza kuyaonja, mavuno halisi ni octoba! Zito atakuwa kundi moja na akina MASUMBUKO lamwai, wako wapi Leo?
Endelea kuimba wimbo uliofundishwa na Mbowe! Maana hilo ndio wajibu wako.
 
Hapo ndio uone nguvu za mafisadi zilivyo,
hapo ndio uone wanasasiasa wanafiki na uchwara walivyo
Lowassa na kundi lake la mafisadi wameamua hasa kutoa fungu la maana kujitengenezea njia mbadala iwapo watakwama CCM,
Zitto ndio sasa anajipambanua ni mwanasiasa wa aaina gani

vyama vyote vya siasa vilianza kwa kusuasua na kwa baadhi ya viongozi wao kujitolea fedha zao mpaka wengine waliishia kufilisika kabisa (Mapalala)

Zitto anatoa wapi pesa za kuzunguka nchi nzima?

Mrema enzi zake alipata wapi hela za kusukumwa na kubebwa na wananchi??

Tukubali tu kwamba Zito ni kati ya wanasiasa wanaokubalika.
 
Back
Top Bottom