Mkutano wa ACT - Wazalendo Kibaha, June 28, 2015

Ukisikia kudoda ndio huku, thread ipo toka saa sita lakini mpaka sasa ni page ya 1.
 
Chama cha wasaliti hicho. Wamepanda usaliti tayari mavuno ya usaliti wameshaanza kuyaonja, mavuno halisi ni octoba! Zito atakuwa kundi moja na akina MASUMBUKO lamwai, wako wapi Leo?

Umemsahau Aman Kabour
 
ukitegemea kubebwa na udini , ukabila na ukanda chama chako kitabakia kwenye infant stage na kufia papo hapo,unatrudisha 1995

Kweli mkuu,wametoka mtwara na lindi kwa mategemeo hayo hayo ya udini baada ya mikoa mingine kufurumushwa
 
Mcubic bwana,utafanya editing hadi key pads za komputa yako zififie

Mkuu natumia simu.....nlikuwa nakosea jina lako kwenye quote.... Ndio siri ya several editions.
 
Ukisikia kudoda ndio huku, thread ipo toka saa sita lakini mpaka sasa ni page ya 1.

Hahahhaha kudoda jf ww angalia umma wa kibaha wakisambaziwa uzalendo. Unafikiri ni rahisi kuorganize hayo nenda ww kasmame kapata utapata mtu
 
Mkuu natumia simu.....nlikuwa nakosea jina lako kwenye quote.... Ndio siri ya several editions.

Ebu twambie hizo picha ni kutoka wapi na wapi mkuu,najua kasulu,kibondo na wapi?umejitahidi kuunga vizuri sana
 
Komputa ndiyo nini? halafu kwenye computer kuna keyboard.

Pole naona nimeigusa kazi yako,inawezekana ndio kibarua kilicho kuhamishia act kwa muda kuandaa picha hizo kama za kibaha,mtaaibika kweli hadi october.
 
Hahahhaha kudoda jf ww angalia umma wa kibaha wakisambaziwa uzalendo. Unafikiri ni rahisi kuorganize hayo nenda ww kasmame kapata utapata mtu

Kwa chadema huo ni mkutano unaoitishwa na diwani.
 
Ebu twambie hizo picha ni kutoka wapi na wapi mkuu,najua kasulu,kibondo na wapi?umejitahidi kuunga vizuri sana

Hizo zote ni za maili moja kibaha.....huku pwani safi tu...tunasikiliza hoja bila kuzomea.....nyie mbeya hamna minimum tolerance
 
Pole naona nimeigusa kazi yako,inawezekana ndio kibarua kilicho kuhamishia act kwa muda kuandaa picha hizo kama za kibaha,mtaaibika kweli hadi october.

Mkuu kwa nini tuabike. ..sisi wabunge wawili wanatutosha tu.....bado tunajenga chama....punguza hofu chama bado kichanga
 
Mzalendo mcubic,hao wabunge wawili mtawapata jimbo gani?kama kiongozi mkuu hasingefukuzwa mwandiga labda angeingia tena bungeni maana alikubalika wakati yupo cdm.
 
Back
Top Bottom