Dkt Kilembwe
Senior Member
- Apr 25, 2015
- 154
- 102
Katika mwendelezo wa ziara ya kukitambulisha chama, leo chama chetu cha ACT Wazalendo kitakuwa Mkoa wa Pwani jimbo la Kibaha Mjini. Mkutano utafanyika maili moja kuanzia saa nane mchana.
Mkutano utahutubiwa na kiongozi wa chama ndugu Zitto Zuberi Kabwe, akisindikizwa na wengineo akiwemo mwanamuziki Afande Sele, Mama Terry Habibu Mchange.
Karibuni
Mkutano utahutubiwa na kiongozi wa chama ndugu Zitto Zuberi Kabwe, akisindikizwa na wengineo akiwemo mwanamuziki Afande Sele, Mama Terry Habibu Mchange.
Karibuni