Mkutano wa ACT - Wazalendo Kibaha, June 28, 2015

Mkutano wa ACT - Wazalendo Kibaha, June 28, 2015

Mzalendo mcubic,hao wabunge wawili mtawapata jimbo gani?kama kiongozi mkuu hasingefukuzwa mwandiga labda angeingia tena bungeni maana alikubalika wakati yupo cdm.

Jamaa Wew unaubishi wa Kijinga kweli yaani alikubalika kwa kuwa tu alikuwa CDM ,kwa taarifa yako ,baada ya kumfukuza zitto ndio CDM imejidhiirisha aina ya chama kilivyo ,Hapa kigoma ndio mmemuongezea wananchi ari ya kuzidi kumpenda na kumchagua ,zitto kurudi bungeni ni 101%
 
Jamaa Wew unaubishi wa Kijinga kweli yaani alikubalika kwa kuwa tu alikuwa CDM ,kwa taarifa yako ,baada ya kumfukuza zitto ndio CDM imejidhiirisha aina ya chama kilivyo ,Hapa kigoma ndio mmemuongezea wananchi ari ya kuzidi kumpenda na kumchagua ,zitto kurudi bungeni ni 101%

Labda agombee udiwani tu ndio size yake.afadhali ya mrema na cheyo wana uhakika wa kupata ubunge kuliko zzk
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kitu hapo! mvua za vuli hizo

Bavicha Hoyeeeee......!!!...ACT tunakuja kukamilisha kazi iliyowashinda.. !!!!...Tunafanya utaratibu wa kufungua ofisi za kanda ya Kaskazini Moshi mjini...Naomba wananchi wa Moshi mtuunge mkono katika kusambaza demokrasia ya kweli na ya kizalendo...
 
Jipe moyo mkuu
mkuu sio kwamba najipa moyo. ila naongea ukweli. hutaamini kitakachotokea october; kwanza Zitto lazima arudi bungeni kwa vyovyote vile. wanakigoma wameamua kumrudisha huyo jamaa hata kama akina mbowe-lema-slaa hawatapenda. na kwa taarifa yako chadema watapoteza kura nyingi sana kwenye maeneo mengi. na kwa ubaguzi waliouonesha binafsi siwezi kuwapa kura yangu hata iweje. hapo hawa mamlaka wameanza kuyafanya hayo wakiwa na mamlaka itakuwaje? si tunairudisha nchi kwenye udikteta?
Zitto kugombea uenyekiti tu imekuwa nongwa na kuundiwa mizengwe yote hii, halafu mnataka tuwachague? najua baada ya kusoma post hii utakuja na matusi kibao kunitukana lakini yatosha kukuambia chadema hii ya kidikteta ya akina mbowe kwenda ikulu wasahau. uko huru kutukana na wala sitakuripoti kwa mods, KARIBU.
 
Hahaha naona hata mods wameamua wawachunie siku hizi, awali mlipokuwa mnafanya mikutano mkiweka tu picha mods wameshazipandisha.
THREAD INA SIKU YA 3 LAKINI PAGE NI YA 5
 
Back
Top Bottom