Hapa kuna mkutano agenda kuu ni kuhus kusafirisha gesi kwenda dar es salaam hapa wanasema kikwete amechokoza moto hawata rudi nyuma. wanasema gesi haitoki liwalo na liwe. nawasilisha. na zaidi wanamlaani hawa ghasia wanamwita msaliti.
Mkutano huo ni wa nani? Unahutubiwa na nani na umeandaliwa na nani?
ni wa wananchi unahutubiwa na baadhi ya wananchi na umeandaliwa na wananchi
ni wa wananchi unahutubiwa na baadhi ya wananchi na umeandaliwa na wananchi
Nafikiri wamerejea hotuba ya JK ya mwisho wa mwezi imewatia hasira,kwa maoni yangu JK alitoa majibu mepesi kwenye maswali magumu!
Hapa kuna mkutano agenda kuu ni kuhus kusafirisha gesi kwenda dar es salaam hapa wanasema kikwete amechokoza moto hawata rudi nyuma. wanasema gesi haitoki liwalo na liwe. nawasilisha. na zaidi wanamlaani hawa ghasia wanamwita msaliti.
Wanaoratibu mikutano hii wawe wazi kwa Wananchi,haiwezeakani gas isiende Dar ila la kupigania hapa ni kuwa kabla haijaenda angalau serikali ihamasishe wawekezaji walete viwanda Mtwara,Lindi.Hapa kuna mkutano agenda kuu ni kuhus kusafirisha gesi kwenda dar es salaam hapa wanasema kikwete amechokoza moto hawata rudi nyuma. wanasema gesi haitoki liwalo na liwe. nawasilisha. na zaidi wanamlaani hawa ghasia wanamwita msaliti.
Hapa kuna hamasa kubwa sana, wanasema km nchi ni ya kilimo na serikali inasema dsm inatoa mapato asilimia 80 je dsm kuna kilimo gani?
ni wa wananchi unahutubiwa na baadhi ya wananchi na umeandaliwa na wananchi
...tutaanza kuwachunguza uraia wa hao wamakonde! isije ikawa watu wa nchumbiji ndo wanatusumbua! halafu nasikia PanAfrica Energy wana mkono wao pia!... gesi itatoka tu! hao ngoja wapumue pumue maana midomo ni yao Mungu kawapa!
:target::target::target: