Hoja yao ni gesi ianzie kutumika Mtwara kwanza kabla ya kupelekwa popote ndani au nje ya nchi.
Wanauliza kwanini ichimbwe Mtwara halafu ipelekwe Dar/Bagamoyo kwanza na sio kubaki Mtwara kwanza?
Hapa kuna hamasa kubwa sana, wanasema km nchi ni ya kilimo na serikali inasema dsm inatoa mapato asilimia 80 je dsm kuna kilimo gani?
nimeanza mchakato na upenguzi yakinifu wa kubadili uraia wangu kutoka mwanaMara kuwa Mtwaran, Mjerumani alifanya makosa kuingia Mtwara, JK anarudia makosa yale yale!!!
Uraia wa wananchi wa mtwara unatia shaka, sauti yao na maoni yao ni haki yao na ni muhimu ila sura ya madai yao yanazidi kuacha maswali yenye majibu wasiyoyataka kuyasikiliza..nasikia huko Mara nao wanaandamana kutaka madini yao ya nyamongo waachiwe...hakuna hoja gas iletwe Dsm.
Wanaoratibu mikutano hii wawe wazi kwa Wananchi,haiwezeakani gas isiende Dar ila la kupigania hapa ni kuwa kabla haijaenda angalau serikali ihamasishe wawekezaji walete viwanda Mtwara,Lindi.
Angalia Kilwa,gas imekwenda Dar lakini la maana walilopata ni kuwekewa umeme toka kituo kidogo cha Somanga.
Kwanini pasingejengwa hata kiwanda kidogo cha cement na kuboresha bandari.
Serikali itoe vivutio kwa wawekezaji ili kusini pawe na maendeleo.
Lkini,kwa mujibu wa VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa,hao watu wanaandaliwa adhabu na CCM...nchi hii sasa imekuwa Comedy tupu
u must be so so dull and dumb
Wanaoratibu mikutano hii wawe wazi kwa Wananchi,haiwezeakani gas isiende Dar ila la kupigania hapa ni kuwa kabla haijaenda angalau serikali ihamasishe wawekezaji walete viwanda Mtwara,Lindi.
Angalia Kilwa,gas imekwenda Dar lakini la maana walilopata ni kuwekewa umeme toka kituo kidogo cha Somanga.
Kwanini pasingejengwa hata kiwanda kidogo cha cement na kuboresha bandari.
Serikali itoe vivutio kwa wawekezaji ili kusini pawe na maendeleo.
KILWA UKIACHA UMEME KUTUMIKA MANYUMBANI,PIA KUNA VIWANDA VIDOGO2, PIA KUNA KIWANDA CHA SARUJI KINATOA SARUIJI INAITWA KILWA CEMENT AMBAYO INATUMIKA KUSINI KUTOKE,HALAMASHAURI INAPATA KARIBU MIL 100 KILA MWEZI KUTOKANA Na gas..... UKIANGALIA KIUCHUMIA KWA KILWA GAS IMEWANUFAISHA WANANCHI HUSASANI KWA BIASHARA ZINAZOTUMIA NISHATI YA GAS.......
ni wa wananchi unahutubiwa na baadhi ya wananchi na umeandaliwa na wananchi