mpiganaji86
Senior Member
- Sep 26, 2011
- 110
- 13
Wananchi wa mtwara hakuna kurudi nyuma
hilo suala liangaliwe kwa umakin wa hali ya juu
machafuko huanza hivo hivo
Hao ni nyuki wa mashineni (kazi yao ni kupiga kelele, hawaumi wala hawatengenezi asali)
Gesi itakwenda, wananchi wataendelea kuhutubia na kuandamana.
KIKUBWA NA CHA MSINGI, "MSG SENT" hata kama "WILL NOT BE DELIVERED"