Mkutano soko kuu Mtwara- muendelezo wa gesi.

Mkutano soko kuu Mtwara- muendelezo wa gesi.

mkuu mud za hawa wananchi wanaonesha wako serious hapa kuna mvua watu hawaondoki wanasikiliza hotuba, na wanasema mikutano itaendelea kesho na kesho kutwa.

ukipata wasaa wa kutuwekea na picha jiskie ujasiri kufanya hivo mkuu
 
picha zitafuata waku wala msihofu.
 
Wanasema wana mtwara hawapigi ges kutumika na watanzania wengine wanachotaka kiwanda kijengwe mtwara halafu umeme usafirishwe kokote hata china!
 
Hapa kuna hamasa kubwa sana, wanasema km nchi ni ya kilimo na serikali inasema dsm inatoa mapato asilimia 80 je dsm kuna kilimo gani?

Kuna mashamba kama bandar, TRA,ofisi za umma na taasis za kijamii na zao kubwa ni UFISADI...ndo linalochangia pato la DSM
 
wawajengee powerplant hapohapo halafu umeme usambanzwe na kwingine,watu wapate AJIRA
 
Msirudi nyuma wana mtwara!

Hapa kuna mkutano agenda kuu ni kuhus kusafirisha gesi kwenda dar es salaam hapa wanasema kikwete amechokoza moto hawata rudi nyuma. wanasema gesi haitoki liwalo na liwe. nawasilisha. na zaidi wanamlaani hawa ghasia wanamwita msaliti.
 
Maskini Magamba, yanakataliwa kila kona ya nchi sasa, imebaki kwa watani zangu wanyamwezi wa Tabora ndio bado wanayakumbatia.
 
hapa wanasema mkuu wa mkoa anauhujum mkoa wa mtwara, wanatoa mfano ameshawishiwa na mfanyabiasha mmiliki wa safari redio aifungie maisha club na mkurugenzi wa manispaa akapewa amri hyo na yy akaiteleleza, maisha club wakafungua kesi na wakashinda na manispaa sasa inatakiwa kiulipa maisha club tsh milion 800.
 
hawa ghasia ana wakati mgumu sana. mzungumzaji mmoja anasema ametembea kata zote za mtwara vijijini wananchi hawamtaki hawa ghasia.
 
...tutaanza kuwachunguza uraia wa hao wamakonde! isije ikawa watu wa nchumbiji ndo wanatusumbua! halafu nasikia PanAfrica Energy wana mkono wao pia!... gesi itatoka tu! hao ngoja wapumue pumue maana midomo ni yao Mungu kawapa!
:target::target::target:

Uraia wa wananchi wa mtwara unatia shaka, sauti yao na maoni yao ni haki yao na ni muhimu ila sura ya madai yao yanazidi kuacha maswali yenye majibu wasiyoyataka kuyasikiliza..nasikia huko Mara nao wanaandamana kutaka madini yao ya nyamongo waachiwe...hakuna hoja gas iletwe Dsm.
 
hapa wanasema mkuu wa mkoa anauhujum mkoa wa mtwara, wanatoa mfano ameshawishiwa na mfanyabiasha mmiliki wa safari redio aifungie maisha club na mkurugenzi wa manispaa akapewa amri hyo na yy akaiteleleza, maisha club wakafungua kesi na wakashinda na manispaa sasa inatakiwa kiulipa maisha club tsh milion 800.

Yalaaahh, kumbe Ruge noma. Yani hiyo hela hata mika miaa ya uchimbaji gesi amuwezi kuipata kama gawio. Na huyo hakimu biashara gani ya Disko yenye faida ya 800Mil ?
 
sasa wanasema kama waliweza kupigana vita vya majimaji sasa wataingia tena msituni kwa majimaji nyingine hii kwa ajili ya gesi!
 
hawa ghasia ana wakati mgumu sana. mzungumzaji mmoja anasema ametembea kata zote za mtwara vijijini wananchi hawamtaki hawa ghasia.

Ni upuuzi, hawajui adui yao nani..
 
Chadema style! michango inatolewa kufanikisha mikutano zaidi. mkutano umekwisha.
 
sasa wanasema kama waliweza kupigana vita vya majimaji sasa wataingia tena msituni kwa majimaji nyingine hii kwa ajili ya gesi!

Kipindi kile walikua na kinjekitile ngwale..sasa hivi wana nani? Walikua na madai ya msingi sasa hivi madai yao ni nini? Hawa watu wa mtwara wanalishwa maneno hawajui wanachodai
 
Back
Top Bottom