Mkutano mkuu maalum wa CCM Kidijitali

Mkutano mkuu maalum wa CCM Kidijitali

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,190
Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule vijijini. Mfano Mjumbe wa Mkutano Mkuu toka kule Itilima, Rorya, madaba, Mlangali je wana uelewa na mtandao?. Nimesoma kupitia Youtube kuwa Wajumbe toka Mkoa wa Simiyu hawatashiriki mkutano huu wa kidijitali badala yake wanataka mkutano wa uso kwa uso ili kuwawezesha kuuliza maswali pale panapotakiwa.

Ushauri wangu:- Mkutano Mkuu Maalum uitishwe upya na Wajumbe wote waitwe Dodoma ili wakutane uso kwa uso ili watoe ushauri wao na kuuliza maswali kama itabidi.

Nawasilisha.
 
Wanaogopana sana sasa hadi mkutano kufanyika kidigitali kwani wanakwepa nini walijipitisha..!
 
Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule vijijini. Mfano Mjumbe wa Mkutano Mkuu toka kule Itilima, Rorya, madaba, Mlangali je wana uelewa na mtandao?. Nimesoma kupitia Youtube kuwa Wajumbe toka Mkoa wa Simiyu hawatashiriki mkutano huu wa kidijitali badala yake wanataka mkutano wa uso kwa uso ili kuwawezesha kuuliza maswali pale panapotakiwa.

Ushauri wangu:- Mkutano Mkuu Maalum uitishwe upya na Wajumbe wote waitwe Dodoma ili wakutane uso kwa uso ili watoe ushauri wao na kuuliza maswali kama itabidi.

Nawasilisha.
Maamuzi ya mkutano mkuu tayari yapo amna jipya isipokua lazima ya barikiwe na mkutano mkuu ndo holo tu, mjumbe wa Rorya au Itlima hawezi kubadilisha chochote atakipewa nafasi ya kuuliza.
 
Maswali watauliza mtandaoni na watajibiwa
 
Maamuzi ya mkutano mkuu tayari yapo amna jipya isipokua lazima ya barikiwe na mkutano mkuu ndo holo tu, mjumbe wa Rorya au Itlima hawezi kubadilisha chochote atakipewa nafasi ya kuuliza.
Hahahaaa
 
Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule vijijini. Mfano Mjumbe wa Mkutano Mkuu toka kule Itilima, Rorya, madaba, Mlangali je wana uelewa na mtandao?. Nimesoma kupitia Youtube kuwa Wajumbe toka Mkoa wa Simiyu hawatashiriki mkutano huu wa kidijitali badala yake wanataka mkutano wa uso kwa uso ili kuwawezesha kuuliza maswali pale panapotakiwa.

Ushauri wangu:- Mkutano Mkuu Maalum uitishwe upya na Wajumbe wote waitwe Dodoma ili wakutane uso kwa uso ili watoe ushauri wao na kuuliza maswali kama itabidi.

Nawasilisha.
lazima wapandishwe yutong za CCM kwenda DODOMA
mwashambwa choice variable chiembe crocodileteeth tupia neno basi kidijitali
 
Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule vijijini. Mfano Mjumbe wa Mkutano Mkuu toka kule Itilima, Rorya, madaba, Mlangali je wana uelewa na mtandao?. Nimesoma kupitia Youtube kuwa Wajumbe toka Mkoa wa Simiyu hawatashiriki mkutano huu wa kidijitali badala yake wanataka mkutano wa uso kwa uso ili kuwawezesha kuuliza maswali pale panapotakiwa.

Ushauri wangu:- Mkutano Mkuu Maalum uitishwe upya na Wajumbe wote waitwe Dodoma ili wakutane uso kwa uso ili watoe ushauri wao na kuuliza maswali kama itabidi.

Nawasilisha.
Jamani kwama kweli mna uchungu na nchi hii inavyomalizwa na CCM, kaeni kimya tu wanapokosea.
Wengi tunatamani sana CCM ife ili nchi yetu iweze kusonga mbele.

Tukumbuke CCM imara haiwezi kufa, wacha waendelee kujitia ubovu ili iwe rahisi kuanguka.

Msiwashtue.
 
Katiba ya CCM inaruhusu kufanya mkutano kwa njia ya kidigitali, tatizo watu hawasomi taratibu mnakurupuka kwa hisia zenu tu
 
Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule vijijini. Mfano Mjumbe wa Mkutano Mkuu toka kule Itilima, Rorya, madaba, Mlangali je wana uelewa na mtandao?. Nimesoma kupitia Youtube kuwa Wajumbe toka Mkoa wa Simiyu hawatashiriki mkutano huu wa kidijitali badala yake wanataka mkutano wa uso kwa uso ili kuwawezesha kuuliza maswali pale panapotakiwa.

Ushauri wangu:- Mkutano Mkuu Maalum uitishwe upya na Wajumbe wote waitwe Dodoma ili wakutane uso kwa uso ili watoe ushauri wao na kuuliza maswali kama itabidi.

Nawasilisha.
Hackers waingilie huu mkutano na kuuzuia. Tunawategemea jamani. Fanyeni kweli.
 
Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule vijijini. Mfano Mjumbe wa Mkutano Mkuu toka kule Itilima, Rorya, madaba, Mlangali je wana uelewa na mtandao?. Nimesoma kupitia Youtube kuwa Wajumbe toka Mkoa wa Simiyu hawatashiriki mkutano huu wa kidijitali badala yake wanataka mkutano wa uso kwa uso ili kuwawezesha kuuliza maswali pale panapotakiwa.

Ushauri wangu:- Mkutano Mkuu Maalum uitishwe upya na Wajumbe wote waitwe Dodoma ili wakutane uso kwa uso ili watoe ushauri wao na kuuliza maswali kama itabidi.

Nawasilisha.
Pilipili usisozila zakiwashia nini we bwege? Fanya mambo yako.
 
Back
Top Bottom