Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Nimetaarifiwa na Mzalendo Mwl. Kaijage kuwa leo ACT Wazalendo wayafanya mkutano mkubwa ambao haujawahi kufanyika huko NYARUGUSU kwenye kambi za wakimbizi wanaotoka Burundi.
ACT wanasambaza uzalendo kwa ndugu zetu wakimbizi.
Kiongozi mkuu wa chama atawapa elimu ya ujamaa wa nyerere wakimbizi hao
Mwenyekiti Taifa atawaambukiza UNYERERE ndugu zetu warundi wanaokimbia machafuko kwao.
Tayari mipango imekamilika. Karibuni NYARUGUSU mwambukizwe unyerere, ujamaa na uzalendo.

Last edited by a moderator: