wilchuma
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,102
- 333
Kwa mwendo huu soon usishangae ACT wakifungua tawi Burundi kwenda kupambana na Piere Nkurunzinza.
Maana kuna watu wanadai kuwa Mfalme Zitto anakubalika sana Burundi.
Ahahaha aaahahaha
Kwa mwendo huu soon usishangae ACT wakifungua tawi Burundi kwenda kupambana na Piere Nkurunzinza.
Maana kuna watu wanadai kuwa Mfalme Zitto anakubalika sana Burundi.
mara ACT Wazalendo,mara ACT Tanzania,mara ACT Wasaliti,sasa tuelewe lipiKwa hiyo ukisikia mimi ni baba yako utaamini? Acha akili matope mama.
Siyo mbaya kwani wakipewa kadi za act wataongeza idadi ya wanachama wa chama chetu
Act-wazalendo adui namba moja wa chadema,ZZK rafiki namba moja wa Mbatia,Kafulila na Mdee "big Challenge! Kwa UKAWA.
Hahahaaa Cdm katika rangi tofauti ambayo ni hatari sana kwa ustawi wa jamii ya kizalendo....cc tunajua yaliofanyika Burundi kupitia rais wao ndo yale aliofanya mwenyekiti wetu Fulani kujimilkisha chama kikatiba kitu ambacho ni kibaya kwa ustawi was jamii na demokrasia ya nchi hivyo kwenu nyiny ni furah yanaotekea Burundi lakini kwetu sisi ACT ni changamoto na kuna umuhim wa kuwapa uzalendo ndugu zetu wa jirani hawa......ukijua kirefu cha ACT ndo itakurahisishia kujua nn viongoz wetu kitaifa wamedhamiria kwenda kufanya..

Utaongea sana sisi act wazalendo,act tanzania,act mwigamba,act kiongozi mkuu tunadundaHahahaaa Cdm katika rangi tofauti ambayo ni hatari sana kwa ustawi wa jamii ya kizalendo....cc tunajua yaliofanyika Burundi kupitia rais wao ndo yale aliofanya mwenyekiti wetu Fulani kujimilkisha chama kikatiba kitu ambacho ni kibaya kwa ustawi was jamii na demokrasia ya nchi hivyo kwenu nyiny ni furah yanaotekea Burundi lakini kwetu sisi ACT ni changamoto na kuna umuhim wa kuwapa uzalendo ndugu zetu wa jirani hawa......ukijua kirefu cha ACT ndo itakurahisishia kujua nn viongoz wetu kitaifa wamedhamiria kwenda kufanya..
Kweli mkuu kwani mwenyekiti wetu si ndio asili yake huko walikotoka hao wakimbizi?
Mim mgeni mkuu hats sijui unaweza ukanisaidia...
Wakimbizi na wasaliti ni kitu kimoja tofauti ni kwamba mmoja kakimbia nchi kwa usaliti mwingine kakimbia chama kwa usaliti.
kiongozi wa ACT mwenyewe ni mkimbizi kwa hiyo huko ameenda kwa wajomba zake
Mtafute mwl kaijage
Mkuu mimi ni mwanachama,kuna msemaji wa chamaWew ndo uniambie sitak mtu mwingine kiongozi!