Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Wew ndo uniambie sitak mtu mwingine kiongozi!
Mwl kaijage ndiye mwenye kazi yake,na mimi ni mwanachama wa kawaida kutoka katubuka
Wew ndo uniambie sitak mtu mwingine kiongozi!
Hiki chama kumbe bado kipo .
Mkuu mimi ni mwanachama,kuna msemaji wa chama
Mnamatatizo sana lakini yote hayo nisababu ya ZERO WENU MBOWENimetaarifiwa na Mzalendo Mwl. Kaijage kuwa leo ACT Wazalendo wayafanya mkutano mkubwa ambao haujawahi kufanyika huko NYARUGUSU kwenye kambi za wakimbizi wanaotoka Burundi.ACT wanasambaza uzalendo kwa ndugu zetu wakimbizi. Kiongozi mkuu wa chama atawapa elimu ya ujamaa wa nyerere wakimbizi haoMwenyekiti Taifa atawaambukiza UNYERERE ndugu zetu warundi wanaokimbia machafuko kwao.Tayari mipango imekamilika. Karibuni NYARUGUSU mwambukizwe unyerere, ujamaa na uzalendo.
Piga kimya kama na wew haujui basi ili tusijaze server mkuu
Kujaza au kutojaza seva ni kazi ya tcra kwani sisi ni walaji tu,husiwe na shaka wa kwetu katubukaPiga kimya kama na wew haujui basi ili tusijaze server mkuu
Mnamatatizo sana lakini yote hayo nisababu ya ZERO WENU MBOWE
Wenye akili finyu wanakejeli lakn nyarugusu hawaishi wakimbizi tu na hata wakimbizi wanapaswa kuelimishwa kwa faida ya Afrika
Mie najua Agizo la Chama Tawala ndio ACT
Zero Mbowe ndio amemfanya ayatoll.ah Zitto awe mkimbizi wa kisiasa anamrishwa hata na Mwigulu aliyemkuta Ztto kwenye siasaMnamatatizo sana lakini yote hayo nisababu ya ZERO WENU MBOWE
Kwa mwendo huu soon usishangae ACT wakifungua tawi Burundi kwenda kupambana na Piere Nkurunzinza.
Maana kuna watu wanadai kuwa Mfalme Zitto anakubalika sana Burundi.
...a.y.a.to.ll.h kashapoteza dira,amatafuta swaga za kumtoa kimaisha ...
Hayo nimanenoyakotu, ila miniwashauri fanyeni siasa masuala yakuizungu mzia ACT ni upuzi na kukosa lakuwatetea wananchiZero Mbowe ndio amemfanya ayatoll.ah Zitto awe mkimbizi wa kisiasa anamrishwa hata na Mwigulu aliyemkuta Ztto kwenye siasa
Nawaeleza mwaka huu mtaelewa nyie kazieni siasa za chuki ambazo hazina tena nafasi karne hii, CCM&CDM nyie ndie mnae haribu nchi hii, CCM kama serikali CDM kama chama cha kuwatetea wananchi mmeshindwa na kuunda mizengwe,chuki,uhasama na kuvisha vijana ufuasi wa kuropoka na matusi kuwa ndio hoja,nchi hii itakombolewa na WAZALENDO hamna wengineUnyerere